Usimamizi Wa Shule Luwingu Files Wordpress Com-Books Pdf

USIMAMIZI WA SHULE luwingu files wordpress com
06 Nov 2019 | 309 views | 0 downloads | 15 Pages | 559.55 KB

Share Pdf : Usimamizi Wa Shule Luwingu Files Wordpress Com

Download and Preview : Usimamizi Wa Shule Luwingu Files Wordpress Com


Report CopyRight/DMCA Form For : Usimamizi Wa Shule Luwingu Files Wordpress ComTranscription

Kumbukumbu, Ni nyaraka zenye taarifa mbalimbali zilizohifadhika katika sehemu maalumu na. kumbukumbu hizo huhusisha taarifa za vifaa fedha wanafunzi wafanyakazi matukio. na hata mipango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya shule ama kituo . Kumbukumbu ni muhimu sana katika shule au kituo pia katika ofisi kwani. husaidia, Kutoa mwelekeo sahihi juu ya uongozi na utawala katika shule au kituo. Kufanya tathmini ya shule kituo, Kuondoa migogoro isiyo ya lazima katika shule kituo. Kujua maendeleo ya mwanafunzi mtumishi na hata ya shule au kituo. Kubaini changamoto mbalimbali za kituo au shule , Kumbukumbu mbalimbali za shule kituo. A VIFAA, Vifaa katika shule au kituo vimegawanyika katika makundi matatu vifaa vya.
darasani na ofisini vitabu kiada ziada rejea na samani kumbumbu ya kununuliwa. kwa vifaa hivyo hurekodiwa katika aidha daftari maalumu au fomu. iliyoandaliwa katika vitabu huwepo na daftari ambalo hutumika kurekodi vitabu. vyote nunuliwa idadi vilivyoazimwa na vilivyoondolewa kwenye matumizi vivyo hivyo. hata kwenye vifaa vingine , Ni muhimu sana kuhakikisha kuwa kumbukumbu za vifaa vyote vinyoingia au. kutoka katika stoo zifuatazo ni hati zinazotumika kutunzia kumbukumbu katika. stoo, a Hati ya kununulia vifaa ni fomu inayotumika katika kuidhinisha malipo ya. manunuzi, b Hati ya uwasilishaji delivery note vifaa vyote vilivyonunuliwa au pokelewa. huonekana katika hati hii na inapasa kutiwa sahihi na afisa mtoaji vifaa na. afisa mdhibiti pia afisa mpokeaji katika stoo anapaswa pia kutia. sahihi kugonga muhuli na kuandika tarehe vilipopokelewa na ukurasa la leja. ambamo jina la kifaa hicho limeingizwa, c Hati ya kupokelea vifaa hii ni fomu inayotumika kuthibitisha kuwa vifaa. vimepokelewa katika stoo hujazwa na mtunza stoo baada ya kupokea na. kuhakisha vifaa, d Leja ya stoo mara baada ya kupokelewa ni lazima kumbukumbu zake.
ziwekwe katika kitabu hiki cha leja , e Hati ya kutolea vifaa ika katika muundo wa kijitabu na huonesha vifaa vipi. vimetolewa na vilivyowasilishwa Jina la aliyetoa na kupokea na cheo chake. f Kitabu cha kiazimishia vifaa hutumika kutolea vifaa ambavyo havitumiki. vikaisha k m vitabu majembe ndoo kompyuta, g Rejesta ya kutolea vifaa hii hutumika kwa ajili ya kutolea vifaa vinavyodumu. na vile vinavyotumika na kuisha , h Bin card hii ni kadi ambamo huingizwa taarifa za kifaa kimoja na. kubandikwa kwenye kifaa hicho bini kadi hutumika kufuatilia vifaa. vinavyoingia vilivyobaki ndani ya stoo na vinavyotolewa angalia viambatisho. vya miundo uk , B FEDHA, Katika shule ama kituo fedha ni sehemu muhimu ya utekelezaji wa kazi na. uendeshaji wa ofisi wa kila siku shule inatakiwa kuweka mambo ya fedha katika. hali ya uwazi ili kuepusha migogoro isiyo ya lazima uwazi huo ni pamoja na uwepo. wa kumbukumbu za hati mbalimbali za kifedha, a Stakabadhi.
Kitabu hiki kitatumika kupokea mapato ya shule ama kituo na mara nyingi mapato. ya shule ama kituo yanatokana na ada za wanfunzi michango mbalimbali kutoka. kwa wazazi watu binafsi makampuni au misaada kutoka kwa wafadhili pamoja na. fedha nyingine zozote zitakazopokelewa kwa ajili ya shule . b Hati ya malipo, Hiki ni kitabu kinachotumika kuidhinisha malipo kwa kufuata utaratibu ufuatao. Malipo yatafanyika pale tu ambapo hati ya malipo imeandaliwa. Imeidhinishwa na kupitiwa na wahusika, Viambatanisho vyote kama ankra bei hati wasilisho vimeambatanishwa. Mlipwaji lazima asaini kukubali kupokea malipo, c Kitabu cha mapato na matumizi. Hiki ni daftari maalumu leja ambapo mapato yote ya shule ama kituo lazima. yaorodheshwe kwenye kitabu hiki , d Kitabu cha fedha taslimu petty . Mbali na malipo yanayofanyika kwa kutumia hundi malipo ya matumizi ya ofisi ya. kila siku yanalipwa kwa kutumia fedha kidogo zitakazotunzwa ofisini . Hati za kumbukumbu za fedha zipo nyingi zilizotajwa hapo juu ni baadhi yake tu . C WANAFUNZI, Kumbukumbu za wanafunzi ni muhimu sana kuwepo kwani ndiyo msingi ama.
dhumuni kuu la uwepo wa shule kumbukumbu hizo ni pamoja na. i Kitabu cha usajili hiki ni kitabu chenye orodha ya majina ya wanafunzi au. watoto waliopo katika kituo ama shule huonesha pia mwaka alioanza shule. namba yake ya usajili na sehemu atokayo, ii Daftari la mahudhurio ni daftari ambalo linaonesha mahudhurio ya kila siku. ya mwanafunzi, iii Daftari la adhabu hili ni daftari lenye maelezo ya wanafunzi wanofanya. makosa na kupewa adhabu , iv Ripoti za kitaaluma haya ni matokeo ya majaribio mitihani ambayo. mwanafunzi anafanya kwa muda wote awapo shuleni uwepo wa ripoti hizi. husaidia sana kujua maendeleo yake kitaluma, v Ripoti za maendeleo ya kiafya na kitabia kumbukumbu hizi ni muhimu na. husaidia sana kuwajulisha wazazi jumuiya na kiserikali . D WAFANYAKAZI , Katika kundi la wafanyakazi katika shule kituo limegawanyika katika makundi.
mawili wafanyakazi wasio walimu na walimu hata hivyo haizuii kuwa na. kumbukumbu zao katika mambo haya, i Daftari la mahudhurio hili ni daftari linaloonesha mahudhurio ya. wafanyakazi wote kwa siku zote za kazi kila mfanyakazi anapaswa. kujiorodhesha kila siku na kusaini kuwa amefika kazini na kwa muda gani . ii Maazimio na maandalio ya masomo hizi ni nyaraka aandaazo mwalimu ili. yawe miongozo katika ufundishaji wake, iii Shajara za masomo ni daftari la masomo analojaza mwalimu hasa baada ya. kufundisha , iv Taarifa za wafanyakazi lazima ziwepo taarifa ili zihuzuzo kila mfanyakazi. ikiwemo elimu tarehe ya kuajiriwa kupandishwa cheo na masuala ya. kinidhamu , E MATUKIO, Shule ama kituo lazima kiweke kumbukumbu ya matukio mbalimbali baadhi yake. ni, i Kalenda yenye kuonesha matukio ya shule, ii Ratiba ya vipindi ya kila siku .
Maisha ya kumbukumbu na matumizi yake, Maisha ya kumbukumbu pia hulinganishwa na maisha ya viumbe hai kwa kuwa. huzaliwa huishi na kufikia ukomo hufa na ukomo wa kumbukumbu ni pale. ambapo zinakuwa hazihitajiki kabisa katika matumizi ya kiofisi na huharibiwa kwa. mujibu wa kanuni na taratibu kwa ujumla umuhimi wa kumbukumbu unaguza. maisha ya mtu mmoja mmoja taasisi na hata serikali kwani hutumika katika. Kutoa taarifa ya maendeleo ya kituo shule, Kupandisha au kushusha cheo kwa watumishi. Kutoa ripoti za kitaaluma kwa wanafunzi, Kutathmini utendaji wa wafanyakazi. Kutoa taarifa ripoti za matumizi ya kifedha, Kutoa historia ya shule kituo. Utunzaji wa kumbukumbu za maendeleo ya kituo shule. Kumbukumbu ni uti wa mgongo wa shule kituo ama taasisi yoyote ile pia ni damu. na mishipa ya kuasfirishia taarifa ndani na hata nje ya kituo au. shule kumbukumbu hutumika kuweka taarifa za kazi mipango na mikakati. mbalimbali ya kituo shule kwa hiyo utunzaji wa kumbukumbu katika shule ni. jambo la lzima kwani husaidia kuonyesha uwazi katika uwajibikaji hivyo. inashauriwa mtu kikundi shule na taasisi yoyote kutunza kumbukumbu zake vema. Kila kituo shule inaihitaji kumbukumbu katika kazi zake za kila siku na ustawi. wake kumbukumbu hizi ni pamoja na barua taarifa za shule ramani taarifa za. fedha vikao picha taarifa za wanafunzi na mengineyo kumbumbu hizi zinaweza. kuhifadhiwa kwa njia kuu mbili zifuatazo, I Njia kawaida hii ni njia ambayo inatumika tangu zamani hadi sasa ambapo.
huhusisha taarifa za walimu wanafunzi mipango mbalimbali ya shule. huwekwa katika maandishi picha na michoro mbalimbali katika karatasi na. huhifadhiwa katika mafaili na kuwekwa katika shelfu droo na makabineti. taarifa hizi , II Njia ya kielekroniki hii ni njia ya kisasa kabisa ya kutunza kumbukumbu. ambapo kumbukumbu huwekwa katika maandishi sauti picha tuli na picha. tembezi video huwekwa njia hii hutumia vifaa kama. tarakirishi kompyuta simu za mkononi tarakirishi mpakato laptops . Cds santuli Memory cards na Flush, Picha hizo ni baadhi ya vifaa vya kuhifadhia kumbukumbu katika njia zote mbili za. kawaida na kielekroniki , SHUGHULI ZA MAENDELEO ZA SHULE KITUO. Shule kituo ni taasisi iliyoanzishwa kwa malengo maalumu uongozi katika. shule kituo ni wa lazima ili kusimamia kufikiwa kwa malengo wekwa Kufikiwa kwa. malengo ndiyo maendeleo yenyewe na ili maendeleo hayo yafikiwe kila mfanyakazi. lazima atomize vema majukumu aliyopangiwa na kiongozi wa shule kituo baadhi ya. majukumu ni pamoja na, Kuchambua na kutekeleza miogozo mbalimbali itolewayo na serikali juu ya. uendeshaji wa shule kituo, Kuhakikisha uwepo wa vitendea kazi kwa ajili wa walimb.
u wapishi wasimamizi wa miradi ya shule kituo, Uwepo wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia. Kutayarisha masomo nukuu za somo azimio na maandalio . Uwepo wa chakula kwa wanafunzi katika shule kituo. Kufanya mawasiliano yenye tija kwa wafanyakazi serikali na wadau. mbalimbali, Kusimamia uwepo wa miundombinu ya kutosha kwa wanafunzi na. wafanyakazi, Kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji mali za shule kituo. Kuandaa mikutano kwa wafanyakazi wazazi kamati za shule na wadau. wengine, Kusimamia utoaji bora wa elimu, kwa kawaida ili majukumu yaweze kufanyika kwa ufanisi hugawanywa kwa. wafanyakazi waliopo na hugawanyika katika idara mbalimbali ufanisi wa kila idara. hupelekea kuwepo na maendeleo ya shule ama kituo katika Nyanja mbalimbali. ikiwemo taaluma na uchumi taz mchoro wa mgawanyo wa majukumu. Muundo wa uongozi na mgawanyo wa majukumu katika shule. MWALIMU MKUU, KAMATI YA SHULE, MWALIMU MKUU MSAIDIZI.
M VIFAA, M TAALUMA M NIDHAMU M AFYA M MIRADI WAFANYAKAZI . WASIO WALIMU, W IDARA WALIMU UONG WANAF M CHAKULA MWAL MICHEZO. WANAFUNZI, Kielelezo cha muuundo wa uongozi na mgawanyo wa majukumu katika shule . Majukumu ya mwalimu mkuu, Mwalimu mkuu ni kiongozi na msimamizi mkuu wa shughuli zote za manejimenti. na utawala katika shule Pamoja na mambo mengine majukumu ya mwli mkuu ni. Kusimamia utekelezaji wa mtaala wa elimu eneo hili linahusisha utumiaji wa. sera na miongozo ya elimu katika kutekeleza malengo au kazi mahususoi za. ufundishaji kushirikisha walimu na wafanyakazi wasio walimu katika. kuandaa mpango wa jumla wa maendeleo ya shule pia kutathmini maendeleo. ya shule kitaaluma na mengineyo, Kuongoza watumishi jukumu hili linahusu kusimamia au kuelekeza.
watumishi ili kufanikisha ufundishaji na ujifunzaji hii hujumuisha. kushirikisha watumishi kuandaa sheria na kanunui mbalimbali kufuatilia. ikama na maslahi ya watumishi kuandaa taarifa mbalimbali za shule nk. Kusimamia ustawi wa wanafunzi kuweka kumbukumbu za. wanafunzi kudhibiti nidhamu ya wanafunzi kusimamia uandikishaji wa. wanafunzi, Kusimamia rasilimali za shule mwalimu mkuu akiwa mtendaji mkuuna. msimamizi wa mali za shule ana wajibu wa kuhakikisha kuwa kunakuwepo. utaratibu wa kuzitumia rasilimali hizo kwa umakini na ufanisi . Kujenga na kuimarisha mahusiano wadau wa elimu shule ni sehemu ya jamii. au jumuiya kwa sababu kuna mwingiliano katika utekelezaji wa majukumu. mbalimbali hivyo ni muhimu shule ikadumisha uhusiano na taasisi. zinazosimamia Elimu kama mamlaka za ndani kwenye ngazi ya harimashauri. kata na kijiji , Kusimamia mahudhurio ya walimu hii kuhakikisha kila mfanyakazi anasaini. katika daftari maalumu la mahudhurio , Kutoa motisha kwa walimu na wafanyakazi wasio walimu ikiwemo. kuwahusisha walimu katika mchakato wa kupanga na kufanya maamuzi. yahusuyo uendeshaji wa shule , Kuwajibika kwa mamlaka za juu MEK DEO REO . Majukumu ya Kamati ya shule, Kamati za shule zimeundwa kisheria na katibu wa kamati ni mwalimu mkuu na.
baadhi ya majukumu yake ni, Kuhakikisha uandikishaji wa wanafunzi. Kuhakikisha kuwa wanafunzi wanahudhuria, Kusaidia kuboresha ustawi wa walimuwaliopo shuleni. Kusimamia na kuweka alama mipaka ya shule, Kuhakikisha shule inapata ushirikiano kutoka kwa wananchi . Kuhakikisha shule inakuwa na samani na miundo mbinu ya kutosha . Kusimamia mapato na matumizi ya shule , Majukumu ya mwalimu mkuu msaidizi. Kusimamia wakuu wa idara taaluma miradi nk, Kukaimu madaraka kutoka kwa mwalimu mkuu.
Kusimamia maagizo mbalimbali apewayo na mwalimu mkuu. Kutekeleza mtaala, Kuratibu mipango mbalimbali ya shule . Majukumu ya mratibu taaluma, Kumshauri mwalimu mkuu katika mambo yote yahusuyo taaluma. Ni mwenyekiti wa wa kamati ya taaluma, Kuhakikisha mihutasari na vitabu maazimio na maandalio yanakuwepo na. yanahifadhiwa sawasawa kwa kumbukumbu, Kuratibu mitihani yote ya ndani na nje. Kuhakikisha uwepo na kusimamia ratiba ya vipindi, Majukumu ya mwalimu wa nidhamu.
Kuhimiza nidhamu bora na maadili kwa wanafunzi wote. Kuandaa na kusimamia sheria za shule, Kutoa ushauri kwa wanafunzi na wazazi juu ya mambo mbalimbali ya kitabia. Kushughulikia tuzo na zawadi mbalimbali za wanafunzi . Katika kutekeleza majukumu mbalimbali ya shule kituo kunahitajika kuwa na. wadau wengine je wadau ni akina nani , Ni mtu au kikundi cha watu shirika au taasisi yenye maslahi au uhusiano kwa njia. moja au nyingine na taasisi husika katika shule ni watu kikundi cha watu taasisi au. mashirika ambayo kwa njia moja au nyingine yana maslahi katika shule hivyo. katika utekelezaji wa shughuli za kimaendeleo wadau wanaumuhimu sana kwani. huleta hamasa na hutoa michango mbalimbali ya kimaendeleo vilevile husaidia. kuleta maelewano , Wadau katika shule ni, i Mwalimu mkuu. ii Walimu, iii Kamati ya shule, iv Wanafunzi, v Serikali ya kijii. vi Jamii, vii Halmashauri, viii Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali.
Kusimamia utekelezaji wa mtaala wa elimu eneo hili linahusisha utumiaji wa sera na miongozo ya elimu katika kutekeleza malengo au kazi mahususoi za ufundishaji kushirikisha walimu na wafanyakazi wasio walimu katika kuandaa mpango wa jumla wa maendeleo ya shule pia kutathmini maendeleo ya shule kitaaluma na mengineyo

Related Books

Manual para favorecer el desarrollo de competencias de

Manual para favorecer el desarrollo de competencias de

Manual para favorecer el desarrollo de competencias de lectura y escritura Tercer ciclo es una publicaci n de la Direcci n General de Desarrollo de la Gesti n e Innovaci n Educativa de la Subsecretar a de Educaci n B sica realizada a trav s del Proyecto para atender a la Poblaci n en Situaci n de Extraedad por

Manual de Redacci n

Manual de Redacci n

Esperamos que este manual de redacci n sea capaz de brindar los conocimientos necesarios para la redacci n de documentos en su forma m s amplia Las Autoras Prefacio a la segunda edici n Como expresara quien para nosotras es una de las autoridades m s brillantes en el campo de la redacci n cient fica Robert Day en su libro C mo escribir y publicar trabajos cient ficos calificado

Manual de redacci n Escritura Acad mica UNAM

Manual de redacci n Escritura Acad mica UNAM

El Manual de redacci n cient fica Escribir art culos cient ficos es f cil despu s de ser dif cil Una gu a pr ctica se enfoca en el desarrollo de las habilida des para la redacci n cient fica es decir el proceso que inicia al sentarse a escribir un art culo una vez que se decide que la recolecci n de datos sobre un trabajo de investigaci n ha concluido El prop sito de este

Spare parts catalog Yanmar engines A 4LHA STE P B

Spare parts catalog Yanmar engines A 4LHA STE P B

Spare parts catalog Yanmar engines A 4LHA STE P B 4LHA STZE P C 4LHA DTE P D 4LHA DTZE P E 4LHA HTE P F 4LHA HTZE P

Published for cus ers of Hy Vee Food Store Marshall

Published for cus ers of Hy Vee Food Store Marshall

FOR SALE Kenmore 5 burner gas cook top glass drop in 125 firm 2 used tires 225x60Rx16 25 pair Ph 401 0425 2 Hy Vee Trader Published for Hy Vee by the Marshall Independent THE HY VEE FUEL SAVER REWARDS PROGRAM SIGN UP TODAY FILL YOUR CART FUEL YOUR CAR 010314t56250db FOR SALE Wieder weight system 200 or BO Ph 476 7578

Personality Purdue

Personality Purdue

Theories of Personality View of the causes and motives underlying personality and personality development 1 The Psychodynamic Approach 2 The Humanistic Approach 3 The Trait Approach 4 The Social Cognitive Approach Personality Theories History Grand Theories Freud Jung Adler Attempted to explain all behavior Most theories at this time contained a Core what we have

IMPLICIT THEORIES OF PERSONALITY 1

IMPLICIT THEORIES OF PERSONALITY 1

IMPLICIT THEORIES OF PERSONALITY 1 Implicit Theories of Personality Across Development Impacts on Coping Resilience and Mental Health Jessica L Schleider1 and Hans S Schroder2 1 Department of Psychology Harvard University 2Department of Psychology Michigan State University Jessica L Schleider M A corresponding author

7 PERSONALITY DEVELOPMENT THEORIES OF 7 1 WHAT IS

7 PERSONALITY DEVELOPMENT THEORIES OF 7 1 WHAT IS

PERSONALITY DEVELOPMENT THEORIES OF 7 1 WHAT IS PERSONALITY DEVELOPMENT Personality development has been a major topic of interest for some of the most prominent thinkers in psychology Our personalities make us unique but how does personality develop How exactly do we become who we are today In order to answer this question many prominent theorists developed theories to describe various

Personality Theories DPHU

Personality Theories DPHU

Personality Theories 432 PSYCHOLOGY Exploring Behavior Here personality is being used as a general label for the amount of social skill and finesse Think About It The question The skit that at the start of the chapter described two high school students talking about a sister s and a brother s personality What

Chapter 14 Theories of Personality

Chapter 14 Theories of Personality

378 Chapter 14 Theories of Personality behind these mistakes even though people claimed they were just acci dental and quickly corrected themselves Similarly when he listened to people describe their dreams he believed the dreams had some uncon scious meaning even though the people who dreamed them did not know what they meant Freud was a neurologist who practiced in Vienna in the

Theories of Personality Weebly

Theories of Personality Weebly

The Scientific Study of Personality 5 Building Scientific Theories 6 Inductive versus Deductive Approaches 6 The Establishment of Laws 8 Testing the Theories Research Methods 8 Experimental Method 9 Correlational Method 11 Case Study Method 15 Criteria for Evaluating Scientific Theories 17 Critical Thinking Questions 20 Glossary 21 Suggested Readings 25 Contents PART TWO Psychoanalytic and