Sheria Iliyotumika Utangulizi-Books Pdf

SHERIA ILIYOTUMIKA UTANGULIZI
06 Feb 2020 | 405 views | 1 downloads | 128 Pages | 287.53 KB

Share Pdf : Sheria Iliyotumika Utangulizi

Download and Preview : Sheria Iliyotumika Utangulizi

Report CopyRight/DMCA Form For : Sheria Iliyotumika UtanguliziTranscription

SEHEMU YA PILI, TARATIBU ZA UAJIRI NA UPANDISHAJI DARAJA. 4 Watumishi wa Umma, 6 Ujazaji wa nafasi zilizowazi. 7 Tangazo la Ajira na utaratibu wa usaili, 8 Kamati ya ushauri wa utaalamu kuhusu suala la ajira. 9 Muda wa majaribio na kuthibitishwa kazini, 10 Masharti ya Uajiri. 11 Ajira ya mkataba baada ya kustaafu, 12 Watumishi wa kuazimwa.
13 Ulipaji mishahara, 14 Mamlaka ya kupandishwa daraja na kubadilishwa kada. 15 Kupandishwa daraja kwa watumishi wa umma, 16 Sababu zinazopelekea kupandishwa cheo. 17 Kukubali au kukataa cheo, 18 Muda wa kupandishwa cheo. 19 Uteuzi katika utumishi, 20 Taratibu za kushikilia wadhifa. 21 Kusita kwa ajira, 22 Uajiri kwa aliyewahi kuachishwa kazi au kuingia hatiani kwa.
kosa la jinai, 23 Kustaafu kwa hiari, 24 Kustaafu kwa lazima. 25 Muda wa kutoa taarifa ya kuacha kazi, SEHEMU YA TATU. MASHARTI YA AJIRA KWA MAKUNDI MAALUM, 26 Hifadhi kwa watumishi wajawazito na wanaonyonyesha. 27 Kazi za usiku kwa watumishi wa kike, 28 Uajiri kwa watu wenye ulemavu. 29 Ajira kwa mtu mwenye VVU UKIMWI, 30 Kipaumbele cha ajira kwa watu wenye mahitaji maalumu.
SEHEMU YA NNE, MAADILI YA WATUMISHI WA UMMA, 31 Viwango vya kimaadili. 32 Miiko ya watumishi wa umma, 33 Matumizi ya vileo. 34 Kivazi katika sehemu za kazi, 35 Vitendo vya ukosefu wa nidhamu. 36 Udhalilishaji wa kijinsia, 37 Mkataba wa huduma. 38 Mgongano wa maslahi katika Utumishi wa Umma, 39 Kutoa au kuchukua Zawadi.
40 Kupokea au kutoa hongo, 41 Uwajibikaji kwa Uongozi. SEHEMU YA TANO, TARATIBU ZA KIOFISI NA MAWASILIANO. 42 Saa za Kazi, 43 Watumishi wanaoingia kwa zamu, 44 Mahudhurio kazini. 45 Daftari la mahudhurio, 46 Marufuku kutohudhuria kazini. 47 Mawasiliano kuwa katika lugha ya Kiswahili, 48 Mawasiliano rasmi ya Taasisi za Umma.
49 Mawasiliano katika Afisi za Utumishi wa Umma, 50 Mawasiliano kati ya Waziri na Mtumishi wa Umma. 51 Mawasiliano nje ya Taasisi, SEHEMU YA SITA, USIMAMIZI WA TAARIFA NA KUMBUKUMBU. 52 Masjala katika utumishi wa Umma, 53 Upatikanaji wa kumbukumbu binafsi. 54 Udhibiti wa kumbukumbu za Serikali, 55 Kuondoa kuharibu au kubadilisha kumbukumbu. 56 Kuchapisha taarifa za Afisi kwa asiyehusika, SEHEMU YA SABA.
VIWANGO VYA AJIRA NA MAHUSIANO KAZINI, 57 Muda wa zaidi katika kazi. 58 Likizo la mwaka, 59 Likizo ya dharura na Muda, 60 Likizo ya Maradhi. 61 Likizo ya uzazi, 62 Likizo la Mume wa Mke aliyejifungua. 63 Likizo bila ya malipo, 64 Hatua zitakozochukuliwa likizo bila ya malipo inapomalizika. 65 Utekelezaji wa makubaliano ya pamoja, 66 Masharti ya kuingia katika Makubaliano.
67 Mambo ya kuingia kwenye makubaliano, 68 Chombo cha majadiliano. 69 Muundo wa chombo cha majadiliano, 70 Kazi za chombo cha majadiliano. 71 Taratibu za kuwasilisha malalamiko kwa muajiri, 72 Hatua za uwasilishaji wa lalamiko. 73 Kushughulikiwa kwa lalamiko, SEHEMU YA NANE, 74 Nafasi za Mafunzo katika Kazi. 75 Uchunguzi wa afya, 76 Mkataba wa mafunzo, 77 Taratibu za udhamini wa Mafunzo.
78 Posho la mafunzo ya muda mfupi nje ya nchi, 79 Posho la mafunzo ya ndani ya nchi. 80 Kutoa taarifa kwa Ubalozi wa Tanzania, 81 Mafunzo baada ya saa za kazi. 82 Marekebisho ya mshahara kwa aliyerudi masomoni, SEHEMU YA TISA. FURSA ZA WATUMISHI WA UMMA, 83 Fursa ya kupata Mshahara wa likizo. 84 Mkopo wa Mshahara, 85 Posho la safari za kikazi.
86 Posho la kukaimu na kushikilia nafasi, 87 Posho la mazingira hatarishi. 88 Posho la kazi maalum, 89 Posho la uhamisho, 90 Maposho mengineyo. SEHEMU YA KUMI, USIMAMIZI WA RASIMALI WATU, 91 Mpango wa Rasilimali Watu. 92 Ufuatiliaji na tathmini, 93 Tathmini ya utendaji kazi. 94 Uhamisho wa mtumishi wa umma, SEHEMU YA KUMI NA MOJA.
MASHARTI YA AJIRA KWA RAIA WA KIGENI, 95 Ajira kwa mtumishi wa kigeni. 96 Mkataba, 97 Likizo ya mwaka, 98 Likizo ya dharura. 99 Kuambatana na familia wakati wa safari, 100 Utaratibu wa usafiri. 101 Malipo ya ushuru na kodi nyenginezo, 102 Uchunguzi wa Kiafya. 103 Mkopo kwa mtumishi wa kigeni, 104 Shughuli za kisiasa.
105 Kumalizika mkataba, 106 Kifo cha mtumishi wa kigeni. SEHEMU YA KUMI NA MBILI, UTARATIBU WA MAKOSA YA NIDHAMU NA JINAI. 107 Utaratibu wa Makosa ya kinidhamu, 108 Utaratibu wa Makosa ya jinai. 109 Mwenendo wa kinidhamu kuwa siri, 110 Adhabu kwa mujibu wa uzito wa kosa. 111 Utaratibu wa hukumu ya makosa ya kinidhamu, 112 Taarifa ya rufaa.
114 Muda wa kusikiliza rufaa, SEHEMU YA KUMI NA TATU. MATIBABU YA WATUMISHI WA UMMA, 115 Matibabu pamoja na uchunguzi wa afya ya mtumishi wa umma. SEHEMU YA KUMI NA NNE, 116 Makabidhiano, 117 Ruhusa za safari kwa mtumishi wa umma. 118 Utaratibu wa uombaji wa likizo kwa wateuliwa, 119 Vyeti vinavyotambulika na Serikali. 120 Kukabiliana na maafa, 121 Gharama za maziko, 122 Matumizi ya simu.
123 Ununuzi wa Vifaa vya kazi, 124 Vipando vya Serikali. 125 Huduma ya kwanza kwa watumishi, 126 Vifaa vya kiusalama. 127 Nyumba na samani za Serikali, 128 Muhuri wa Afisi. 129 Hakimiliki, 130 Nishani, 131 Kuagwa kwa watumishi wa umma. 132 Gazeti rasmi la Serikali, 133 Kushiriki katika siasa.
134 Wafanyakazi wa kujitolea, 135 Kutokuwepo kwa watumishi wa kutwa. 136 Kanuni za utumishi zinakerebishika, ORODHA YA VIAMBATANISHO. KIAMBATISHO A Ardhilhali ya kuingia kazini, KIAMBATISHO B Upimaji wa kidaktari. KIAMBATISHO C Mkataba wa kuingizwa kazini, KIAMBATISHO D Ahadi. KIAMBATISHO E Mkataba wa Uajiri baada ya kustaafu, KIAMBATISHO F Mkataba wa ajira Maalum kwa uteuzi.
wa Mheshimiwa Rais, KIAMBATISHO G Shahada ya Utumishi Certificate of. KIAMBATISHO H Muongozo wa utengenezaji wa, mkataba wa utoaji wa huduma. KIAMBATISHO I Mkataba wa Udhamini wa Masomo, au mafunzo kwa watumishi umma. KIAMBATISHO J Mkataba wa Uajiri wa Kutwa, Kanuni hizi zinachukua nafasi ya Kanuni za Utumishi wa. Baraza la Wawakilishi 2005 Maadili ya Utumishi wa, Mahakama 1985 na Kanuni za Utumishi Serikali 1997.
Kanuni hizi zina lengo la kutoa ufafanuzi wa masharti ya Sheria. ya Utumishi wa Umma ili kutoa muongozo wa uendeshaji. wa masuala hayo Vile vile zina madhumuni ya kuziba. mapengo ambayo yangejitokeza katika utekelezaji na. uendeshaji wa utumishi, Kwa kuwa Kanuni hizi haziwezi kuelezwa kuwa ni za. ukamilifu Watumishi wa umma wanasisitizwa wanapoona. upungufu wowote au haja yoyote ya kufanya marekebisho. kuchangia na kutoa maoni yao Afisi Kuu ya Utumishi wa. Umma ili kuweza kuziimarisha zaidi Waziri wa Utumishi. baada ya kuzingatia maoni hayo atapaswa kuchukua hatua. zinazostahiki, SHERIA YA UTUMISHI WA UMMA, NAMBA 2 YA 2011. KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA ZA, MWAKA 2014, Chini ya kifungu cha 37 4. KWA UWEZO niliopewa chini ya kifungu 37 4 cha, Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 2 ya 2011 Mimi. HAROUN ALI SULEIMAN Waziri Wa Nchi OR Kazi, na Utumishi wa Umma Zanzibar natunga Kanuni zifuatazo.
SEHEMU YA KWANZA, UTANGULIZI, 1 Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Utumishi wa Jina fupi. Umma za mwaka 2014 na zitaanza kutumika mara baada na kuanza. ya kutiwa saini na Waziri na kuchapishwa katika Gazeti Rasmi kutumika. la Serikali, 2 Isipokuwa kama itaelekezwa vyenginevyo Kanuni hizi Matumizi. zitatumika moja kwa moja katika usimamizi wa Utumishi wa ya. Umma na ndizo zitakazodhibiti muundo uendeshaji na Kanuni. usimamizi wa Taasisi zote za Umma kama ilivyoelezwa katika. kifungu 2 cha Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 2 ya. 3 Katika Kanuni hizi isipokuwa kama maelezo yatahitaji Tafsiri ya. vyenginevyo, Afisa katika utumishi wa Umma maana yake ni. muajiriwa katika Utumishi wa Umma mwenye, wadhifa au daraja linalotambuliwa chini ya. muundo wa utumishi unaohusika, Afisi Kuu ya Utumishi wa Umma maana yake ni Afisi.
Kuu ya Utumishi wa Umma ya Utumishi wa umma, inayosimamia masuala ya utumishi wa umma. Bodi ya Madaktari maana yake ni Bodi iliyoundwa, chini ya Sheria ya Madaktari na Madaktari wa. Meno Namba 12 ya 1999, Daktari wa Serikali maana yake ni Daktari. aliyeteuliwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, kwa kufanya uchunguzi na matibabu kwa. watumishi wa umma, Familia kwa madhumuni ya Kanuni hizi maana yake.
Baba mama mke mume mtoto kaka dada, mamamkwe na babamkwe. Gazeti maana yake ni Gazeti Rasmi la Serikali ya, Mapinduzi ya Zanzibar. Idara maana yake ni kitengo chini ya Wizara Taasisi. inayojitegemea au Uwakala ulioanzishwa kwa jina, hilo na kwa kawaida inaongozwa na Mkurugenzi. au Afisa wa cheo kama hicho kwa jina lolote, Jamaa maana yake ni ndugu wa karibu waliyomo. ndani ya familia ya mtumishi, Kamisheni maana yake ni Kamisheni ya Utumishi.
wa Umma iliyoanzishwa chini ya kifungu cha 116, cha Katiba ya Zanzibar. Katibu Mkuu Kiongozi maana yake ni Kiongozi wa, Utumishi wa Umma wa Zanzibar kwa mujibu wa. kifungu cha 49 2 cha Katiba ya Zanzibar, Katibu Mkuu maana yake ni Afisa Mtendaji Mkuu. Kinyume cha Utaratibu maana yake ni kinyume cha, sheria Kanuni na miongozo. Kumbukumbu maana yake ni taarifa yoyote ya, maandishi bila kuzingatia ipo katika muundo gani.
inayotumika kama ushahidi iliyopokelewa na, kuhifadhiwa na taasisi yeyote katika utekelezaji. wa majukumu ya taasisi husika, Mamlaka ya Usimamizi wa Nidhamu maana yake. ni mtu yeyote au mamlaka iliyopewa uwezo chini, ya Katiba Sheria ya Utumishi wa Umma au. Sheria nyengine yoyote kuchukua hatua za, kinidhamu dhidi ya mtumishi yeyote wa umma. aliyeteuliwa au aliye chini yake, Mahakama ya Kazi maana yake ni kitengo cha.
Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyoanzishwa kwa, Sheria ya Mahusiano Kazini Namba 1 ya 2005. Makundi maalumu kwa madhumuni ya Kanuni hizi, maana yake ni wanawake watu wenye ulemavu. na watu wanaoishi na Virusi Vinavyosababisha, Ugonjwa wa Ukimwi au kuathirika na ugonjwa. Mafunzo ya muda mrefu maana yake ni mafunzo, yanayoanzia kipindi cha miezi tisa na kuendelea. Mamlaka ya Rufaa maana yake ni mamlaka, iliyopewa uwezo wa kusikiliza rufaa dhidi ya.
malalamiko au hatua za kinidhamu, zitakazoombwa na mtumishi wa umma au Serikali. chini ya Sheria ya Utumishi wa Umma, Mavazi ya heshima maana yake ni kivazi. kinachokubalika katika maadili ya kizanzibari, Mkuu wa kazi maana yake ni Mkuu wa Idara au. Afisa yeyote ambaye amepewa majukumu ya, kusimamia watumishi wengine. Mkuu wa Taasisi maana yake ni Afisa Mtendaji Mkuu, wa Taasisi zinazojitegemea za Utumishi wa umma.
Mtumishi wa kigeni maana yake ni mtumishi wa, umma ambaye si raia wa Tanzania. Mtumishi wa Umma maana yake ni mtu yoyote, alieajiriwa katika Utumishi wa Umma. Nyaraka za Serikali maana yake ni kumbukumbu, zinazopatikana na kutathminiwa pamoja na. kuhifadhiwa katika jengo la uhifadhi wa nyaraka, Rais maana yake ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti. wa Baraza la Mapinduzi, Serikali maana yake ni Serikali ya Mapinduzi ya.
Sheria maana yake ni Sheria ya Utumishi wa Umma, Namba 2 ya 2011 iliyoanzishwa chini ya kifungu. cha 1 cha Sheria hiyo, Taasisi maana yake ni chombo au Afisi huru. inayojitegemea katika Utumishi wa Umma, Tume ya Utumishi husika maana yake ni Tume za. Utumishi zilizoanzishwa chini ya kifungu cha 33, cha Sheria ya Utumishi wa Umma. Upandishwaji daraja maana yake ni kupandishwa, daraja kwa mtumishi wa umma kutoka nafasi.
ndogo kwenda kubwa, Usiku kwa madhumuni ya kanuni hizi maana yake ni. kuanzia saa 12 00 jioni hadi saa 12 00 za asubuhi, Vileo maana yake ni vinywaji au kitu chochote. vinavyoweza kubadilisha akili ya mtu, Visiwa maana yake ni visiwa vya Unguja na Pemba. na visiwa vidogo vidogo vilivyomo kwenye eneo, la Zanzibar. Watumishi wa muda maana yake ni watumishi, wanaoajiriwa kwa muda maalum kuanzia miezi.
sita hadi miaka mitatu, Watumishi wa kutwa maana yake ni watumishi. ambao wanalipwa malipo yao baada ya kumaliza, kazi kwa siku. Waziri maana yake ni Waziri mwenye dhamana ya, utumishi wa umma. Wizara maana yake ni Wizara iliyoanzishwa kwa, namna iliyoelezwa chini ya kifungu cha 51 cha. Sheria ya Utumishi wa Umma, SEHEMU YA PILI, TARATIBU ZA UAJIRI NA UPANDISHAJI.
Watumishi 4 1 Kutakuwa na watumishi wa umma watakaogawika. wa katika makundi yafuatayo, a Watumishi wa kudumu watakaokuwa na haki. ya kupata likizo la malipo kiinua mgongo na, malipo ya uzeeni watakapostaafu baada ya. kumaliza muda wao wa utumishi au, watakapoachishwa kazi kwa sababu. zinazoruhusu kupata mafao endapo muda wa, utumishi wao kazini unaruhusu kupatiwa. malipo hayo, b Watumishi wa muda maalum watakaokuwa.
na fursa ya kupata likizo na kupata maslahi, yao kwa mujibu walivyokubaliana katika. Uajiri 5 1 Kwa kuzingatia kifungu cha 57 cha Sheria ya. Utumishi wa Umma Katibu Mkuu au Mkuu wa Taasisi, atalazimika kuangalia vigezo vinavyohitajika kwa uajiri wa. nafasi yoyote ile kwa mujibu wa nafasi husika na atahakikisha. a Mtu yeyote atakayeingia katika Utumishi wa, Umma atalazimika kujaza fomu ya aridhilihali. KIAMBATISHO A na kufanyiwa, uchunguzi wa afya yake na kuthibtishwa. iwapo afya yake inaruhusu kufanya kazi, husika na Daktari wa Serikali katika Hospitali.
iliyokubalika na Serikali KIAMBATISHO, B atalazimika kufunga mkataba wa ajira. KIAMBATISHO C na kujaza fomu ya, ahadi ya kiapo inayokataza kutoa siri za. Serikali KIAMBATISHO D, b Katibu Mkuu au Mkuu wa Taasisi. atahakikisha kuwa watumishi wanaoingia, katika ajira ya utumishi wa umma kwa mara. ya kwanza wanapatiwa mafunzo ya awali ya, kazi ndani ya.
Nam 41 Kanuni za Utumishi wa Umma 2014 TANGAZO NAM 28 KANUNI ZA UTUMISHI AW UMMA 2014 SHERIA ILIYOTUMIKA NAMBA 2 YA 2011 KANUNI hizi zimetungwa na W aziri mwenye dhamana ya Utumishi wa Umma Zanzibar kwa kutumia uwezo aliopewa chini ya kifungu 37 4 cha Sheria ya Utumishi wa Umma Nam 2 ya 2011 YALIYOMO SEHEMU YA KW ANZA UTANGULIZI 1

Related Books

LE ZAHIR storage googleapis com

LE ZAHIR storage googleapis com

Zahir vient de la tradition islamique et l on estime qu il est apparu vers le XVIIIe si cle Zahir en arabe veut dire visible pr sent qui ne peut pas passer inaper u Un objet ou un tre qui une fois que nous l avons rencontr finit par occuper peu peu toutes nos pens es au point que nous ne parvenons plus nous

Paulo Coelho Zahir WordPress com

Paulo Coelho Zahir WordPress com

kurum vard ve bu kurumu daima ok yararl bulurdum Bazen evet Yapacak daha ilgin bir ey yok kad n heyecan ar yor bense macera hepsi bu Ertesi g n her ikiniz de hi bir ey olmam gibi

Coelho Paulo El Zahir copia Re inventarse

Coelho Paulo El Zahir copia Re inventarse

EL ZAHIR PAULO COELHO Editorial Planeta S A T tulo Original O Zahir Traducci n de Ana Bel n Costas Primera Edici n Mayo 2005 Impreso en Espa a Dedicatoria En el coche le hab a comentado que hab a puesto el punto y final a la primera versi n de mi libro Al empezar a subir juntos una monta a en los Pirineos que consideramos sagrada y en la que hemos vivido mo mentos

EL ZAHIR PAULO COELHO juancrazyheart

EL ZAHIR PAULO COELHO juancrazyheart

EL ZAHIR PAULO COELHO Editorial Planeta S A T tulo Original O Zahir Traducci n de Ana Bel n Costas Primera Edici n Mayo 2005 Impreso en Espa a Dedicatoria En el coche le hab a comentado que hab a puesto el punto y final a la primera versi n de mi libro Al empezar a subir juntos una monta a en los Pirineos que consideramos sagrada y en la que hemos vivido mo mentos

Paulo Coelho Lo Zahir

Paulo Coelho Lo Zahir

Paulo Coelho lo Zahir Traduzione di Rita Desti Chi di voi avendo cento pecore ne perde una non lascia le altre novantanove nel deserto e va in cerca di quella smarrita finch non la ritrova Luca 15 4 Oh Maria concepita senza peccato pregate per noi che ricorriamo a Voi Amen Quando partirai diretto a Itaca che il tuo viaggio sia lungo ricco di avventure e di conoscenza Non temere i

PAULO COELHO The Zahir Download n Read

PAULO COELHO The Zahir Download n Read

PAULO COELHO The Zahir A NOVEL OF OBSESSION Translated from the Portuguese by Margaret Jull Costa O Mary conceived without sin pray for us who turn to you Amen ABOUT THE AUTHOR Born in Brazil PAULO COELHO is one of the most beloved writers of our time renowned for his international bestseller The Alchemist His books have been translated into 59 languages and published in 150 countries

Key Question L2 6 Why do some people think that life is a

Key Question L2 6 Why do some people think that life is a

celebrations of belonging initiation Describe what happen at a Jewish Bar or Bat Mitzvah ceremony Describe Hindu beliefs about the journey of life and death using key terms such as dharma karma and Describe the significance of the Hindu sacred thread ceremony between the description of the journey Describe a wedding ceremony for

DREAMS RITUALS AND THE CREATION OF SACRED OBJECTS AN

DREAMS RITUALS AND THE CREATION OF SACRED OBJECTS AN

DREAMS RITUALS AND THE CREATION OF SACRED OBJECTS AN INQUIRY INTO A CONTEMPORARY WESTERN SHAMANIC INITIATION by Sarah Kerr A Dissertation Submitted to the Faculty of the California Institute of Integral Studies in Partial Fulfillment of the Requirements for the Degree of Doctor of Philosophy in Humanities with a concentration in Transformative Learning and Change California Institute of

AUTOMATIC TRANSMISSION 45RFE 545RFE Jeep

AUTOMATIC TRANSMISSION 45RFE 545RFE Jeep

transmission fluid level full transmission oil at the normal operating temperature and the engine at 1500 rpm Check the transmission for proper opera tion in each gear position that is in question or if a specific element is in question check the pressure readings in at least two gear positions that employ that element Refer to the Hydraulic Schematics at the rear of this section to

JeepLiberty Wikimedia

JeepLiberty Wikimedia

July5 2015 Onthe28thofApril2012thecontentsoftheEnglishaswellasGermanWikibooksandWikipedia projectswerelicensedunderCreativeCommonsAttribution ShareAlike3