Mwongozo Wa Vyama Vya-Books Pdf

MWONGOZO WA VYAMA VYA
26 Jul 2020 | 116 views | 10 downloads | 112 Pages | 5.86 MB

Share Pdf : Mwongozo Wa Vyama Vya

Download and Preview : Mwongozo Wa Vyama Vya

Report CopyRight/DMCA Form For : Mwongozo Wa Vyama VyaTranscription

MWONGOZO WA VYAMA VYA, WAFANYAKAZI, MWONGOZO WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI. Copyright page ILO ACTRAV and ZATUC, Copyright International Labour Organization 2016. First published 2016, Publications of the International Labour Office enjoy copyright under Protocol 2 of the Universal Copy. right Convention Nevertheless short excerpts from them may be reproduced without authorization. on condition that the source is indicated For rights of reproduction or translation application should. be made to ILO Publications Rights and Permissions International Labour Office CH 1211 Geneva. 22 Switzerland or by email pubdroit ilo org The International Labour Office welcomes such applica. Libraries institutions and other users registered with reproduction rights organizations may make. copies in accordance with the licences issued to them for this purpose Visit www ifrro org to find the. reproduction rights organization in your country, MWONGOZO WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI. International Labour Organization Bureau for Workers Activities 2016. ISBN 978 92 2 931054 1 print, ISBN 978 92 2 931055 8 web pdf.
ILO Cataloguing in Publication Data, The designations employed in ILO publications which are in conformity with United Nations practice. and the presentation of material therein do not imply the expression of any opinion whatsoever on the. part of the International Labour Office concerning the legal status of any country area or territory or. of its authorities or concerning the delimitation of its frontiers. The responsibility for opinions expressed in signed articles studies and other contributions rests sole. ly with their authors and publication does not constitute an endorsement by the International Labour. Office of the opinions expressed in them, Reference to names of firms and commercial products and processes does not imply their endorse. ment by the International Labour Office and any failure to mention a particular firm commercial. product or process is not a sign of disapproval, MWONGOZO WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI. ILO publications can be obtained through major booksellers or ILO local offices in many countries or. direct from ILO Publications International Labour Office CH 1211 Geneva 22 Switzerland Catalogues. or lists of new publications are available free of charge from the above address or by email pubvente. Visit our website www ilo org publns, Printed in Kenya. KUHUSU ACTRAV, ACTRAV The Bureau for Workers Activities ni kitengo cha Shirika la Kazi Duniani kina.
chounganisha Ofisi Kuu ya Shirika hilo na wafanyakazi wote duniani Jukumu kubwa la kiten. go hicho ni kuendesha na kuratibu shughuli zote za Ofisi Kuu zinazohusiana na wafanyakazi. na Jumuiya zao zinazofanyika Makao Makuu au katika sehemu nyingine. Shirika la Kazi Duniani ambalo Ofisi yake Kuu ndio chombo cha utendaji la Shirika hilo ndilo. Shirika pekee la Umoja wa Mataifa ambalo utendaji wake unashirikisha kwa uzito sawa ma. husiano ya Utatu tripartite kati ya Serikali za Nchi wanachama Jumuiya za Waajiri na Ju. muiya au Vyama vya Wafanyakazi, Kwa mujibu wa utaratibu wa Shirika la Kazi Duniani wadau hao wote wanashiriki katika shu. ghuli za Shirika la Kazi na kufaidika na huduma zinazotolewa na Shirika hilo zikiwemo ushau. ri wa kitaalamu msaada wa kifedha na utekelezaji miongozo inayotolewa. Dhamira Kuu ya ACTRAV ni kuhakikisha mahusiano ya karibu na Vyama vya Wafanyakazi Du. niani kote na kuvisaidia vyama hivyo ili viwe na uwezo wa kufanya shughuli zitakazo shawishi. kuwepo kwa mifumo bora ya kudai kulinda na kutetea haki za wafanyakazi. KUHUSU ZATUC, Shirikisho la Vyama vya wafanyakazi Zanzibar ZATUC lilianzishwa na kusajiliwa kwa Mujibu. wa Sheria ya Vyama vya wafanyakazi Zanzibar Nambari 4 ya mwaka 2001 iliyofutwa na She. ria ya Mahusiano Kazini Nambari 1 ya Mwaka 2005 iliyopitishwa na Baraza la Wawakilishi la. Zanzibar ambalo ndilo Bunge la Zanzibar kwa mujibu wa Katiba. Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar ZATUC ndio Shirikisho pekee la Vyama vya. Wafanyakazi kwa upande wa Zanzibar Malengo makuu ya shirikisho hilo ni kuwaunganisha. wafanyakazi kupitia vyama vyao katika kudai kulinda na kutetea haki zao kitaifa na kimataifa. kuwakilisha wafanyakazi kupitia vyama shiriki katika vyombo vya kitaifa na kimataifa vina. vyoshughulikia mambo yanayowahusu kushirikiana na watunga sera na sheria katika ku. hakikisha sera na sheria zinazotungwa zinakuwa na maslahi na wafanyakazi na wananchi. kuwaelimisha wafanyakazi juu ya mambo yanayohusu ajira katika kujenga mahusiano bora. sehemu za kazi na kuchukua hatua yoyote inayofaa kwa mujibu wa Sheria endapo haki na. maslahi ya wafanyakazi yamevunjwa au kukiukwa na mtu binafsi Muajiri au Serikali. MWONGOZO WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI, Hadi sasa ZATUC inaundwa na vyama Tisa vya kisekta ambavyo ni Chama cha Wafanyakazi ya. Viwanda na Biashara Zanzibar Union of Industrial and Commercial Workers TUICO Z Chama. cha Walimu Zanzibar Teachers Union ZATU Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Umma. Zanzibar Public Sector Workers Union ZAPSWU Chama cha wafanyakazi wa Hifadhi Utalii. Hoteli na wafanyakazi wa Majumbani Zanzibar Tourism Hotel Conservation Domestic and. Allied Workers Union CHODAWU Z Chama cha wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya Zan. zibar Union for Public and Health employees ZUPHE Chama cha wa Mawasiliano na Usa. firishaji Communication and Transport Workers Union of Zanzibar COTWU ZNZ Chama cha. Mawasiliano ya Simu Telecommunication Worker s Union of Tanzania Zanzibar TEWUTA Z. Chama cha wafanyakazi wa Fedha na Biashara Zanzibar Financial and Commercial Workers. Union ZAFICOWU na Chama cha Mabaharia Zanzibar Seamen s Union ZASU. Vyama vya Wafanyakazi ni vyombo vikongwe katika historia ya ulimwengu wa kazi Lakini. shughuli zake zimekuwa zikichukuliwa juu juu na hata wafanyakazi wenyewe Aidha masuala. ya vyama vya wafanyakazi hasa katika ukanda wa Afrika ya Mashariki hayajapata bahati ya. kufanyiwa utafiti wa kutosha kuandikwa na kuwekwa wazi ili yapate kujulikana na wote. Kwa sababu hizo basi waandishi wa kitabu hiki wamejaribu kuonesha njia kwa wengine. kuendeleza pale walipopaachia Vyama vya wafanyakazi ni asasi muhimu katika ulimwengu. wa kazi Vyama vya wafanyakazi ni daraja baina ya tabaka la wafanyakazi waajiri na serikali. Kwa sababu malengo ya wafanyakazi na waajiri hayakubaliani migogoro baina ya tabaka. mbili hizi ni vitu vinavyotarajiwa Vyama vya wafanyakazi hutumiwa na wafanyakazi wenyewe. kama chombo chao cha utetezi Waandishi wa kitabu hiki wamejaribu kukielezea chombo. hiki muhimu kwa wafanyakazi na hata wadau wengine wa maendeleo Katika jitihada hizo. waandishi wamejitahidi kuzungumzia masuala mengine yahusuyo kazi utawala bora na. masuala mtambuka ya kazi, Waandishi wa kitabu hiki wamejaribu kuzungumzia masuala mengi kuhusu kazi kiasi. kwamba msomaji hatakuwa na haja ya kusoma vitabu vingine ili kupata fununu za masuala. karibu yote muhimu yahusuyo vyama vya wafanyakazi na ulimwengu wa kazi kwa ujumla. wake Kitabu hiki kwa hakika ni Kiongozi cha vyama vya wafanyakazi kilichogusia mambo. muhimu yahusuyo ulimwengu wa kazi Tunachukua fursa hii kuwapongeza waandishi wa. kitabu hiki kwa jitihada zao za kuelimisha watu wote wanaohitaji elimu kuhusu vyama vya. wafanyakazi Tunapendekeza wale wote wanaohitaji elimu ya msingi ya vyama vya wafanyakazi. wafanye juu chini wakipate kitabu hiki ili kiwasaidie kuelewa masuala ya msingi ya vyama vya. wafanyakazi, Maria Helena Andr, Mkurugenzi, Kitengo cha Wafanyakazi.
Shirika la Kazi Duniani, Geneva Uswizi, MWONGOZO WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI. KUHUSU ACTRAV iii, KUHUSU ZATUC iii, Sura 1 HISTORIA NA CHIMBUKO LA SHIRIKA LA KAZI DUNIANI ILO 1. Udidimiaji na Vita 3, Kipindi baada ya vita 3, Mfumo wa Shirika la Kazi Duniani 5. Kongamano 5, Bodi Simamizi 5, Afisi ya Shirika la Kazi Duniani 5. Chimbuko La Kuundwa kwa Shirika la Kazi Duniani 5, Mikataba ya Kazi Kimataifa 7.
Jinsi Mikataba ya Kazi ya Kimataifa Inavyotayarishwa 8. Hali hadi sasa ya Viwango vya Kimataifa vya Kazi 10. Idadi ya mikataba 10, Sura 2 VYAMA VYA WAFANYAKAZI 13. Maana ya Chama cha Wafanyakazi 13, Misingi ya Vyama Vya Wafanyakazi 14. Sababu za Kuunda Vyama vya Wafanyakazi 15, Umoja ni nguvu 16. Aina ya Vyama Vya Wafanyakazi Manufaa na Kasoro zake 16. Haki za Vyama vya wafanyakazi na Haki Nyinginezo za Binadamu 21. Majadiliano 23, Umuhimu wa Majadiliano 23, Njia za Kujadiliana 24. Haja ya Kuwa na Chombo cha Majadiliano 24, Mambo Muhimu Yanayosaidia Kufikiwa kwa Majadiliano Yenye Tija 24.
Mikataba Ya Hali Bora Ya Kazi 26, Fedha za Chama cha Wafanyakazi 27. Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 29, MWONGOZO WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI. Mambo ya Kujifunza kutokana na Historia ya Mei Dei 31. Wasia kwa Wafanyakazi 32, Sura 3 UONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI 34. Upatikanaji wa Viongozi katika Vyama Vya Wafanyakazi 34. Sifa za Kiongozi wa Chama Cha Wafanyakazi 34, Wajibu Majukumu ya Kiongozi wa Chama cha Wafanyakazi 35. Umuhimu wa Tawi katika Muundo wa Chama cha Wafanyakazi 35. Uundaji wa Tawi la Chama cha Wafanyakazi 36, Jinsi mwanachama anavyohitaji kutumia Tawi lake la chama 36.
Vikao vya Chama cha Wafanyakazi 36, Jinsi ya kuandaa vikao vya Chama cha Wafanyakazi 37. Vyama Vya Wafanyakazi na Demokrasia 37, Mbinu za Uhamasishaji na Uingizaji Wanachama 39. Uimarishaji wa chama na Utetezi wa Wanachama 40 v, Hatua za Utetezi 41. Sura 4 KATIBA YA CHAMA CHA WAFANYAKAZI 43, Maana ya Katiba 43. Umuhimu wa Katiba 43, Katiba ya chama cha Wafanyakazi 43.
Utungaji wa Katiba 43, Usajili wa Katiba 44, Kupitisha Katiba na Kuifanyia Marekebisho 44. Kubadilika kwa Katiba 44, Maudhui ya Katiba ya Chama cha Wafanyakazi 45. Ukiukaji wa Katiba 45, Njia za Kuepuka Kuvunja Katiba ya Chama 47. Sura 5 UTAWALA BORA KATIKA VYAMA VYA WAFANYAKAZI 49. Elimu ya Wafanyakazi 49, Ushirikishwaji wa Wafanyakazi 49. Migomo katika vyama vya wafanyakazi 50, Aina za Migomo 50.
Chanzo cha Migomo 51, Jinsi ya Kuandaa Mgomo 52, Faida na Hasara za Migomo 53. Jinsi ya kuepuka Migomo 53, Vyama vya Wafanyakazi na Wafanyakazi Vijana 54. Hadhi ya Wafanyakazi Vijana katika Ulimwengu wa Kazi 54. Matatizo ya Vijana Sehemu za Kazi 55, Wito kwa Vyama vya Wafanyakazi Kuhusu Vijana 55. Athari za Utumikishaji kwa Watoto 58, Hatua za Kuchukuliwa katika Kukinga Utumikishaji wa Watoto 59. Hatua za Kitaifa na Kimataifa za Kushughulikia Utumikishaji wa Mtoto 59. Wajibu wa Vyama vya Wafanyakazi katika Kuzuia Utumikishaji wa Watoto 59. Sura 6 AFYA NA USALAMA KATIKA SEHEMU YA KAZI 63, Afya na Usalama Kazini 63.
Kiwango cha Madhara ya Afya na Usalama Kazini 63, Waathirika Wakubwa 64. MWONGOZO WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI, Umuhimu wa Afya na Usalama sehemu za kazi 64. Athari zisizo za moja kwa moja 65, Aina za Madhara Sehemu za Kazi 66. Jinsi ya Kudhibiti Madhara katika sehemu za Kazi 69. Alama za Tahadhari 70, VVU UKIMWI NA WAFANYAKAZI 71. Hatua za Kitaifa na Kimataifa za kupambana na Ukimwi sehemu za kazi 72. Sura 7 UMOJA WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI AFRIKA OATUU 75. Chimbuko 75, Madhumuni ya OATUU 76, Vyombo vya OATUU 76.
Mafanikio OATUU 78, Changamoto za OATUU 78, Sura 8 MASUALA MTAMBUKA YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI 81. Hifadhi ya Jamii 81, Aina za Hifadhi ya Jamii Duniani 81. Kustaafu Kazi 82, Aina za kustaafu 82, Matayarisho ya Kustaafu 82. Hatua za Matayarisho ya Kustaafu 82, Maandalizi ya Kustaafu Hasa 84. Taathira za Utandawazi kwa Wafanyakazi na Vyama vya Wafanyakazi 85. Kupambana na Utandawazi 86, Changamoto Za Vyama vya Wafanyakazi Katika Kupambana na Utandawazi 86.
Kukabiliana na Changamoto 86, Mpango Mkakati 87, Vyama vya Wafanyakazi na Uchumi Usio Rasmi 88. Matatizo ya Uchumi Usio Rasmi 89, Mikakati ya Kuunganisha Vyama Vya Wafanyakazi 90. Haja ya Vyama vya Wafanyakazi Kuungana 91, Kwa Nini Vyama Viungane 92. Kurahisisha Mkakati wa Kuunganisha Vyama Vya Wafanyakazi 92. Hatua za Matayarisho ya Kuunganisha Vyama 94, Hatua Muhimu za Kufikia Muunganiko wa Vyama 95. MFANYAKAZI THAMANI WAAJIRI TAMBUENI 98, WIMBO WA MSHIKAMANO 99.
MWONGOZO WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI, HISTORIA NA, OMMITTEE AT WORK. CHIMBUKO LA, SHIRIKA LA KAZI, DUNIANI ILO, MWONGOZO WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI. Kongamano la Kimataifa, HISTORIA NA CHIMBUKO LA SHIRIKA LA. KAZI DUNIANI ILO, Amani ya kudumu kote itaafikiwa kama imekuzwa juu ya misingi ya. haki za jamii, Shirika la kazi duniani ILO liliasisiwa Itafahamika kuwa mchakato wa kubuni.
mnamo mwaka wa 1919 kama sehemu ya shirika litakalo shugulikia masuala ya. mkataba wa Versailles uliohitimisha vita wafanya kazi ulianzishwa karne 19 ukion. vya kwanza vya dunia kama kielelezo cha gozwa na wamiliki viwanda Robert Owen. imani kuwa amani ya kudumu duniani in 1771 1853 kutoka Wales na Daniel Le. aweza kuafikiwa ikiwa imejengwa kwa mis Grand 1783 1859 kutoka ufaransa. ingi ya haki za msingi za binadamu, Msukumo wa kubuni shirika la kazi duniani. Katiba hii iliundwa kati ya Januari na Aprili ulitokana na masuala ya ki usalama ubin. 1919 na Tume inayoshughulikia masuala adamu siasa na uchumi na kwa muhtasari. ya kazi iliyobuniwa kwa kikao kilichohusu utangulizi wa katiba ya shirika la kazi duni. amani kilichokutana kwa mara ya kwanza ani ILO unasema makundi yaliyoko kwe. Paris na kisha Vesailles chini ya mwenyekiti nye kandarasi yaliongozwa na hisia za haki. Samuel Gompers kiongozi wa shirikisho la ubinadamu pamoja na matamanio ya ku. wafanyakazi Marekani AFL na kujumui pata amani ya kudumu duniani. wa Sheria ya Vyama vya wafanyakazi Zanzibar Nambari 4 ya mwaka 2001 iliyofutwa na She ria ya Mahusiano Kazini Nambari 1 ya Mwaka 2005 iliyopitishwa na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambalo ndilo Bunge la Zanzibar kwa mujibu wa Katiba Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar ZATUC ndio Shirikisho pekee la Vyama vya Wafanyakazi kwa upande wa Zanzibar Malengo makuu ya shirikisho hilo

Related Books

Corso per studenti e professionisti che vogliono

Corso per studenti e professionisti che vogliono

3D STUDIO MAX VRAY Corso per studenti e professionisti che vogliono specializzarsi nel campo della modellazione tridimensionale e rendering Architetti che insegnano 3D Studio Max e Vray per l architettura e il design Impara 3D Studio Max e Vray da architetti che usano quotidianamente i programmi di grafica per i loro lavori INFO E CONTATTI

Corso di Rendering Vray 3 0 3dStudio AWN

Corso di Rendering Vray 3 0 3dStudio AWN

Corso di Rendering Vray 3 0 3dStudio Il Corso immaginato per un numero di 30 iscritti per ciclo si articola in dieci lezioni da 4 ore ciascuna 40 ore complessive ed rivolto a utenti che abbiano le seguenti conoscenze di base modellazione 3d qualsiasi software compatibile con 3ds es Autocad Revit Sketchup etc conoscenza minima dell interfaccia di 3ds utilizzo delle

PROGRAMMA CORSO 3DS VRAY PH Esperto modellazione 3D Roma

PROGRAMMA CORSO 3DS VRAY PH Esperto modellazione 3D Roma

3D Studio Max Vray Photoshop Base Corso di modellazione rendering e Post Produzione per conoscere e specializzarsi in materia di grafica 3D e Rendeing 18 ore in aula di teoria e pratica sulla modellazione tridimensionale la renderizzazione e la post produzione rendering ZIONE01 04 mlml3D3D Architettura Modellazione e Rendering Animazioni Siti Web Corsi di Grafica 3D 1

PHOTOGRAPHY amp RENDERING

PHOTOGRAPHY amp RENDERING

The author Ciro Sannino a graduate in Industrial Design has been working in 3D and rendering since 1997 He s a Licensed V Ray Instructor approved by Chaos Group V Ray s production house and since 2006 has also dedicated himself to his much read personal blog www grafica3dblog it With the support of CGworld he developed the 5 Step Render Workflow method which he has used

V RAY 3 6 FOR SKETCHUP KEY FEATURES SEE IT 3D

V RAY 3 6 FOR SKETCHUP KEY FEATURES SEE IT 3D

3 V RAY COLOR PICKER New color picker that s simple and powerful Select color values in Screen sRGB 0 255 or Rendering 0 0 1 0 color space SUNLIGHT STUDIES Create sunlight amp shadow studies with SketchUp sun animation V RAY SCENE IMPORT Import and render V Ray scenes vrscene from other applications such as 3ds Max Rhino and Revit FOG

V Ray 3 0 beta for 3ds Max Installation Guide

V Ray 3 0 beta for 3ds Max Installation Guide

V Ray 3 0 for 3ds Max Installation Guide 4 During the next step you can choose the installation type The available installation types are Workstation this is a full installation and includes all components as described in the Installation overview section

V Ray 3 0 for 3ds Max

V Ray 3 0 for 3ds Max

Network Rendering run V Ray RT render server use V Ray SDK and have V Ray license server on this machine 3ds Max render slave This installation includes V Ray V Ray RT V Ray Standalone V Ray DR Spawner and external V Ray tools This option does not include the local V Ray license

Important Safety and Product Information 2 Guiden Garmin

Important Safety and Product Information 2 Guiden Garmin

IMPORTANT SAFETY AND PRODUCT INFORMATION WARNING Failure to heed the following warnings could result in an accident or medical event resulting in death or serious injury Battery Warnings A lithium ion battery can be used in this device Coin cell batteries can be used in the accessory If these guidelines are not followed batteries may experience a shortened life span or may present a risk

Forerunner Foretrex Bike Mount Garmin

Forerunner Foretrex Bike Mount Garmin

Garmin Logo sollte zur Vorderseite des Fahrrades zeigen 2 Optional Befestigen Sie die Fahrradhalterung mit zwei Kabelbindern Ohne Kabelbinder kann die Fahrradhalterung ganz leicht an einem anderen Fahrrad montiert werden HINWeIs Montieren Sie die Fahrradhalterung vor der Fahrt mit den Kabelbindern oder mit dem Armband Lesen Sie alle Produktwarnungen und sonstigen wichtigen

FORERUNNER 405 Garmin

FORERUNNER 405 Garmin

Manual de In cio R pido do Forerunner 405 Passo 1 Utilize o aro t ctil O rebordo cinzento em torno do visor do rel gio funciona como um bot o multifun es Tocar toque no rebordo rapidamente utilizando o dedo para efectuar uma selec o activar uma op o de menu ou mudar de p gina Manter premido mantenha o dedo sobre uma das quatro reas assinaladas no rebordo para alternar

POLAR M91 ti HEART RATE MONITOR USER S MANUAL

POLAR M91 ti HEART RATE MONITOR USER S MANUAL

USER S MANUAL USA GBR Recyclable material Graphic Design CIS Finland 179375 USA GBR A OK Exit the displayed mode Return to the Time of Day display Start measuring the heart rate Lock in your selection How to start measuring your heart rate 1 Place the transmitter around your chest and wet the electrodes Place the wrist receiver on your wrist 2 Press and hold the OK