Ki 214 Ufundishaji Kiswahili Kwa Wageni Mbinu Za-Books Pdf

KI 214 UFUNDISHAJI KISWAHILI KWA WAGENI MBINU ZA
18 Nov 2019 | 785 views | 1 downloads | 19 Pages | 947.42 KB

Share Pdf : Ki 214 Ufundishaji Kiswahili Kwa Wageni Mbinu Za

Download and Preview : Ki 214 Ufundishaji Kiswahili Kwa Wageni Mbinu Za

Report CopyRight/DMCA Form For : Ki 214 Ufundishaji Kiswahili Kwa Wageni Mbinu ZaTranscription

MALENGO YA UJUMLA YA UFUNDISHAJI LUGHA YA KISWAHILI KWA. a Ili mwanafunzi wa Kiswahili ajue mambo yafuatayo . i Aweze kumudu lugha ya Kiswahili, ii Aweze kuwasiliana na watumiaji wa lugha ya Kiswahili. iii Ili wanafunzi waweze kung amua mambo yafuatayo Namna ya kusema jambo. gani Mfano anataka kwenda chooni Asemee wapi Kwa nini aseme Kwa nani. aseme Mazingira gani aseme , iv Ili kuwapa wanafunzi mbinu mbalimbali za kujifunza lugha ya Kiswahili . Wanafunzi wafanye kwa vitendo ili waweze kujichukulia misamiati ya kutosha. v Wanafunzi wang amue umuhimu wa lugha wanayojifunza. b ili wanafunzi waweze kutimiza malengo haya mwalimu ni lazima wape wanafunzi . kuchunguza kugundua kutalii kuhusu lugha ya Kiswahili. c wape uwezo wa kukuza lugha ya Kiswahili kila siku aweze kuongeza msamiati kwa. kusoma vitabu mbalimbali vya hadithi, d wape nafasi kutumia mbinu mbalimbali lugha ili kukuza uelewa wao. e wape uwezo wa kukuza fikra zao na kudadisi, f wasaidie kufanya utumbuizi wa vipengele vya mfumo na utamaduni wa lugha ya. NADHARIA KUU ZA UJIFUNZAJI LUGHA, Kuna mambo mawili ambayo waalimu tarajili wanapaswa kujua.
1 mbinu za kujifunza lugha ya pili ni nyingi kama ilivyo waalimu wengi. 2 manzingira halishi wakati wa ujifunzaji Rogers 2001 anasema kwamba wakati. wa ufundishaji wa lugha ya kigeni hutumia mbinu mbalimbali kwa ajili ya. kuwasaidia wanafunzi wafikie malengo yao , kuna nadharia kuu nne 4 za ujifunzaji lugha . 1 NADHARIA YA UHULKA, Mwasisi wake ni Noamy Chomsky 1957 . Wazo kuu lake ni kwamba binadamu huzaliwa akiwa na uwezo lugha Yaani kwenye. ubongo wake ana mfumo ambao huzaliwa nao kwa ajili ya kujifunza lugha Ana kifaa. kinachoitwa LAD Kifaa cha upataji lugha , Naye Brown 2000 aliunga mkono mawazo haya Mwingine aliyeunga mkono ni. Ellis 1997 walikuwa na hoja kwamba kuna kipindi mtu akifikia umri Fulani. hawezi kupata lugha sawasawa na wazawa wa lugha husika Umri huo ni kuanzia. 0 miezi 18 Kwa mujibu wa wataalamu hawa mazingira hayana msaada wowote. katika ujifunzaji lugha , 2 NADHARIA YA UTABIA BEHAVIORISM . Mwasisi wa nadharia hii ni J B Watson Wengine wanaoshadidia nadharia hii ni. Leornald Bloomfied O N Mowrer B F Skinner na A W Staats. Edward Thorndike 1935 alikuwa wa kwanza kabisa kutafiti zaidi Kwa mujibu. wa wanatabia ujifunzaji wa lugha ni mwigo kwa maana ya kwamba huiga kile. kinachosemwa na watu wanaomzunguka, Aliyetafiti zaidi katika nadharia ya ujifunzaji ni Burrhus Frederic B F skinner .
Huyu alikubali ni mwigo lakini akaongeza kuwa ni uimarikaji wa tabia hivyo. mtoto mdogo hazaliwi na lugha bali huichota kutoka kwa wazazi wake. Wilga Rivers 1968 anasema mtoto hujifunza kupitia kujaribu na kukosea trial. and error huendelea kufanya hivyo mpaka anapofikia matamshi ya jamii nzima . Nadharia hii inayapa mazingira nafasi kubwa katika ujifunzaji lugha. Je mtu akitengwa na jamii anaweza kuwa na lugha , 3 NADHARIA YA UTAMBUZI. Nadharia hii iliasisiwa na Jean Piaget 1954 , Alidai kuwa binadamu anapozaliwa kuna kipindi maalum cha kupata lugha. Alidai kuwa kujifunza lugha ni sehemu ya makuzi ya binadamu kwa kadiri. unavyokua ndivyo unavyozidi kupata lugha, Alidai kuwa mtoto hupata lugha kabla ya kuzaliwa . Arth 2003 anadai kuwa mtoto hupata lugha kabla ya kuzaliwa kuanzia 0 miezi. Nadharia hii haipingani na umuhimu wa mazingira katika ujifunzaji lugha. 4 NADHARIA YA UUMBAJI, Nadharia hii iliasisiwa na Jerome Brunner. Wazo kuu la nadharia hii inasisitiza nafasi ya mama katika upataji lugha ya. Mtoto hutengeneza lugha kutegemeana na mawasiliano ambayo mama yake. anayatumia, Alidai ili mtoto aweze kupata lugha ni lazima mambo yafuatayo yatimizwe.
Muktadha, Tajiriba experience , Upangilifu organization . Kujenga mazingira ya upekuzi udadisi , Hukaza zaidi kuhusu mazingira katika ujifunzaji lugha. Mwalimu awatie moyo wanafunzi kugundua mfumo wa lugha wao wenyewe. Mwalimu na wanafunzi wanapaswa kutumia sana majadiliano. NJIA ZA UJIFUNZAJI LUGHA YA KISWAHILI, Njia za ufundishaji Kiswahili ni nyingi kama na waalimu nao walivyo wengi lakini njia hizi. itatengemea hali ya wanafunzi hata hivyo njia zifutazo zinapendekezwa zitumike . 1 Njia ya majadiliano njia hii haifai kwa mwanafunzi ambaye ndio kwa mara ya. kwanza anasikia Kiswahili Lakini ni njia nzuri kwa mwanafunzi ambaye. amewahi kusikia habari za Kiswahili, 2 Njia ya mahojiano Mfano mwalimu aandae maswali awaambie wanafunzi. wajipe vyeo mfano mmoja anakuwa daktari mwingine anakuwa mgonjwa n k. 3 Mchezo wa maswali Kwa mfano Kama wewe ungekuwa rais wa marekani. ungefanyaje kuhakikisha unakomesha ugaidi duniani Watajibu na kujipatia. msamiati kibao, 4 Njia ya uigizaji mwli awape wanafunzi mwongozo wa maigizo.
5 Njia ya maswali ya papo kwa papo ana kwa ana mfano mimi ni Seni wewe. 6 Njia ya uwandani Mfano ukitaka kuwafundisha misamiati ya sokoi wapeleke. 7 Njia ya kutumia mazingira mbalimbali Mfano kama mwalimu anataka. kuwafundisha michezo wapeleke uwanja wa mpira, 8 Njia ya usomaji Mfano kusoma pande nne za dunia kuwapa matini mbalimbali. 9 Njia ya majadiliano funge Yaani wanafunzi wanajadili vitu ambavyo. vimewekewa mipaka, Angalizo uteuzi wa njia ipi itumike itategemea aina ya wanafunzi na kazi zao . HULKA TABIA YA UANAFUNZI KUJIFUNZA LUGHA, Wanafunzi hutofautiana kulingana na hulka zao mwalimu anahitaji kuangalia mielekeo ya. wanafunzi wake Baadhi ya tabia zao ni kama vile ucheshi hasira aibu hasira za kutojua . hapendi kusahihishwa mkimya nk, ATHARI ZA KIJAMII KUHUSU LUGHA WANALUGHA. Kila jamii ina mtazamo wake kuhusu ujifunzaji lugha mtazamo hasi ndio ambao huathiri. ujifunzaji lugha na kupelekea kutopata motisha wa kujifunza lugha Baadhi ya mambo. yanayoathiri ni kama vile, i Nia au lengo la kujifunza lugha hiyo.
ii Jinsia inasemekana wanawake wanaweza kupata lugha kuliko wanaume. iii Umri umri mdogo ni rahisi kupata lugha kuliko umri mdogo. iv Mazingira mazingira mazuri yanavutia mwanafunzi kujifunza haraka. v Umilisi wa lugha kama akiwa na umilisi mdogo, Malengo ya mwalimu ni kuhakikisha anafanya mambo yafuatayo . i Kuwatia motisha wa kujifunza lugha, ii Kumsaidia kuondokana na hasira. iii Kuondoa dhana potofu ya ujifunzaji lugha Mf Kuna wanaoamini kwamba. Kiswahili ni lugha ya kiislamu, iv Kuondoa utata katika vipengele vya kisarufi. v Kuwaelezea aina mbalimbail za lugha na mahali zinapotumika. Kuhusu matumizi ya lugha ya ishara ni muhimu sana kujua ishara zinazotumika katika jamii . Hivyo mwalimu anapaswa awaeleze mambo yafuatayo , i Baadhi ya utamaduni huangalia usoni tabasamu na kujiamini. ii Matumizi ya mkono wa kushoto au wa kulia, iii Kuonyesha vidole jamii zingine haziruhusu kabisa.
iv Namna ya kusimama na kuelezea jambo, Ili kutimiza hayo yote mwalimu lazima awe na sifa zifuatazo . i Awe muwasilishaji mzuri, ii Awe na mpangilio mzuri. iii Awe mstahimilivu, iv Awe na ujuzi wa kufundisha. v Awe na uhusiano mzuri na wanafunzi, vi Awe na maarifa ya somo. SIFA ZA MJIFUNZAJI LUGHA, a Awe na utayari wa kujifunza lugha ya Kiswahili bila kulazimishwa.
b Afanye mazoezi ya kuitumia lugha hiyo, c Atumie akili kupambanua dhana mbalimbali ili kugundua mambo ambayo jamii. Fulani inayafanya, d Awe na uhuru wa kuzungumza lugha hiyo. e Awe na ratiba ya kujifuza, f Aweze kulinganua na kulinganisha lugha anayojifunza. g Awe na ukarimu ili aweze kuwa na uhusiano na jamii husika. h Awe mtendaji, i Azingatie ubora ili aweze kujifunza zaidi. Ni tabia au msukumo katika kutimiza malengo fulani TUKI 2004 wanadai kuwa motisha ni. kitu kama fedha inayotolewa ili kumtia mtu hamasa kujifunza jambo . Hata hivyo si lazima umpe kitu bali unamtia moyo mwanafunzi na kumsaidia Mwalimu. anapaswa kutumia motisha chanya sio hasi Mfn hutakiwi kuchapa fimbo. Brown 1994 anasema kuwa motisha , a Ni kiwango cha uchaguzi ambacho unafanya kuhusu lengo unalotaka kufikia.
b Jitihada atumiazo mtu kufikia malengo hayo, SKINNER WATTSON hawa wanaangalia zawadi na uhimizaji kwa wanafunzi. pamoja na adhabu ili kufifisha na kujenga hali fulani. AINA ZA MOTISHA, 1 Mwamko wa mjifunzaji mwanyewe. 2 Mazingira mazuri ya kufundishia Kiswahili mfano darasa nje n k. 3 Jamii inayomzunguka ni motisha pia, 4 Mwalimu anaweza kuwa motisha kwa mwanafunzi. 5 Zana vifaa vya kujifunzia pia ni motisha, MOTISHA IPO KATIKA MAKUNDI MIWILI. 1 Motisha wa ndani , Haitegemei vitu vya nje ya yenyewe.
Hiki ni kile kinachoonekana kwa mjifunzaji lugha mwenyewe. Hii haibadiliki kulingana na muktadha wowote ule, 2 Motisha wa nje. Ni aina ya motisha ambayo mwanafunzi hutegema kupewa kupata kusikia au kuona. Hivi vitamsaidia katika kujifunza lugha, Mwalimu wasaidie wanafunzi kutumia lugha kulingana na muktadha Hapa kuna. mambo ya kuzingatia , a Akili ya mwanafunzi lazima utambue tofauti zao katika akili zao ili kujifunza lugha. b Kipaji chao kuna wengine wana vipaji vya kujifunza lugha. c Umri watu wazima huchelewa kujifunza lugha, d Jinsia inasemekana wanawake wanaweza kupata lugha haraka kuliko wanaume. UFUNDISHAJI LUGHA KIMAWASILIANO, Ni muhimu kuhakikisha kwamba katika kujifunza lugha ufundishaji uwe wa mawasiliano.
Ni mbinu ya kufundisha lugha ngeni na lugha ya pili. Husisitiza mwingiliano maathiriano kama mbinu ya kujifunza lugha. KAZI ZA LUGHA, Van 1975 anasema kuwa kazi ya lugha ni . a Kutoa habari, Kusimulia, Kuuliza, Kutoa taarifa. b Kutafuta taarifa za kitaaluma, c Kuelezea mihemuko na misisimko Mfno mapenzi misisimko. d Kuelezea masuala ya uadilifu mfn kuomba msamaha ibada etc. e Kwenye mambo ya ushirikiano Mfn kuamkia watu kujitambulisha nk. Angalizo hata kama mwanafunzi ana malengo mengine ya kujifunza lugha hiyo ni. lazima umfundishe umuhimu wa lugha hiyo kulingana na muktadha. MASHARTI YA KUZINGATIA, a Azingatie majukumu ya kijamii mfn ataanzaje kuzungumza na mtu. asiyemjua Watu wengine ni wenye mamlaka Fulani hivyo kuna namna ya. kuzungumza nao, b Majukumu ya kisaikolojia mfano asipendelee upande wowote mfn.
CHADEMA CUF na CCM, c Mazingira ya lugha ilipo Je ni lugha ya taifa Watu wanaokuzunguka. wanatumiaje , Angalizo lugha sio sarufi tu au fonolojia bali ni chombo cha mawasiliano hivyo. inahitaji kufundishwa kimawasiliano zaidi, MUKTADHA WA UFUNDISHAJI LUGHA. Haya ni mazingira halisi ambapo tukio la ufundishaji lugha hufanyika kwa kuzingatia. wadau wakuu watatu, a Mwanafunzi, b Mwalimu, c Jamii. Pamoja na motisha ufundishaji uzingatie sana mambo yafuatayo . Utoaji wa kazi na mazoezi mengi, Tumia lugha katika mazingira halisi na yanayostahili ukilenga kwenye stadi nne.
Matumizi ya lugha kwa kuzingatia muktadha, Utumizi wa mazingira halisi ya darasa mfn picha katuni Nk. Himiza ushirikiano miongoni mwa wanafunzi baina yao na baina yako mwalimu. Tumia mbinu zaidi ya moja Mfn vikundi majibizano nk rejea mbinu . Fafanua kwa uangalifu masuala ya kisarufi, Ajue maono ya mwanafunzi Mfn huzuni ucheshi nk. Kuunda mazingira ya utani darasani, UFUNDISHAJI WA DARASA MSETO. TUKI 2013 Mseto ni hali ya kuwa na mchanganyiko wa makabila mbalimbali. kutengeneza kitu fulani, Hapa ni mchanganyiko wa darasa lenye wanafunzi wanaotoka sehemu mbalimbali na. wenye umri tofauti malengo tofauti nk, Hivyo mwalimu inakubidi utofautishe sana katika ufundishaji wako na uwe makini ili.
usije ukawakwaza wanafunzi wengine, NAMNA YA UFUNDISHAJI DARASA MSETO. a Lazima mwalimu uwe na maarifa ya wanajamii mfn utamaduni wao Kama ni wazungu . wachina nk jua utamaduni wao, b Uwe na usisitizaji wa lugha lengwa Kama ni Kiswahili basi pendelea kutumia Kiswahili. ili usiwakwaze sana Hata hivyo lazima wawe na lugha ambayo wewe unaijua. c Tumia vitendo halisi ishara nk, d Arika wageni mbalimbali waje waeleze kuhusu lugha na mazingira. e Puuza ignore malengo ya wanafunzi, f Ufundishaji wa masuala ya utamaduni lazima ufungamane na muktadha husika. SIFA ZA MPATAJI LUGHA, Mpataji lugha ni lazima awe na sifa kuu mbili tu .
1 Umilisi wa kiisimu, Ni uwezo alio nao mjifunzaji lugha ambao unamwezesha kutofautisha viambo . miundo tofauti ya lugha na msamiati wa lugha, pia kuweza kutamka lugha ile . 2 Umilisi wa kiisimujamii, Ni umilisi ambao mtumiaji wa lugha hupata lugha inayomwezesha kujifunza lugha na. kuzingatia muktadha, NADHARIA MBINU MIKABALA ZA KUJIFUNZA LUGHA YA KIGENI. Nadharia ni mkondo wa mawazo unaotumika kuelezea jambo. Mtesigwa 2009 anasema nadharia ni kiunzi cha mitazamo mawazo au vitendo. vinavyohusisha uchunguzi mpangilio na uchanganuzi wa matukio katika kukabili suala. fulani kisayansi, kuna mambo mawili ambayo lazima tujikumbushe .
a Njia za ufundishaji lugha ya kigeni ni nyingi kama waalimu walivyo. b Kumbuka hali ya darasa Tumia njia mbinu zaidi ya moja darasani . usitumie njia moja tu , Rogers Richards 2001 wanasema kuwa tunapojiandaa kwenda kufundisha tunahitaji. kujiuliza maswali yafuatayo , a Malengo ya ufundishaji lugha lengwa LL ni yapi Mfano labda lengo lao. linaweza kuwa wanataka kuzungumza tu , b Upi ni msingi asili wa lugha lengwa na unaathiri vipi njia za kufundisha Mfn. kaida za lugha ya Kiswahili ni zipi , c Ni misingi ipi inatumika kuchagua mambo katika ufundishaji lugha . d Ni misingi ipi ya upangiliaji wa mada Mfano kwa kuzingatia suala la utamaduni . mfano salamu nk, e Je lugha mama ya mwanafunzi ina jukumu gani katik.
kinachoitwa LAD Kifaa cha upataji lugha Naye Brown 2000 aliunga mkono mawazo haya Mwingine aliyeunga mkono ni Ellis 1997 walikuwa na hoja kwamba kuna kipindi mtu akifikia umri Fulani hawezi kupata lugha sawasawa na wazawa wa lugha husika Umri huo ni kuanzia 0 miezi 18 Kwa mujibu wa wataalamu hawa mazingira hayana msaada wowote

Related Books

Information technology Security techniques Network

Information technology Security techniques Network

ISO IEC 27033 1 2015 E requirement to properly protect networks and their related information systems and information In other words implementing and maintaining adequate network security is absolutely critical to the success of any organization s business operations

PXS14 Wiseco

PXS14 Wiseco

Mountain Cat 800 EFI 02 04 87 95 17 95 11 95 63 07 Mountain Cat 800 LE 01 Pantera 800 EFI 02 04 Pantera 800 EFI ESR 02 03 ZL 800 01 ZL 800 EFI ESR 02 03 ZL 800 EFI SS 02 03 ZR 800 01 02 ZR 800 EFI 02 03 ZR 800 EFI Sno Pro 03 ZR 800 LE 01 Twin Cylinder 2 Stroke 8 POLARIS SNOWMOBILE DESCRIPTION PISTON KIT SIZE PISTON RING TOP END BEARING TOP END GASKET SET

SNOWMOBILE PARTS CATALOGUE 2019 ProX Racing Parts

SNOWMOBILE PARTS CATALOGUE 2019 ProX Racing Parts

Mountain Cat 800 01 02 01 5802 000 81 00 02 5802 000 05 2412 21 5802 35 5802 Mountain Cat 800 EFI 02 04 Mountain Cat 800 LE 01 Pantera 800 EFI 02 04 Pantera 800 EFI ESR 02 03 ZL 800 01 ZL 800 EFI ESR 02 03 ZL 800 EFI SS 02 03 ZR 800 01 02 ZR 800 EFI 02 03 ZR 800 EFI Sno Pro 03 ZR 800 LE 01 Twin Cylinder 2 Stroke

EQUIPAMENTO DE USO COMPARTILHADO Propesp Ufpa

EQUIPAMENTO DE USO COMPARTILHADO Propesp Ufpa

GPS N vi 200 Garmin 175872 175873 175874 175875 e 175876 5 GPSMAP 60Csx Garmin 175877 e 175878 2 Switch Gigabit com 8 Portas GSW 0806 LevelOne 174353 1 Suporte de Teto Universal p Projetor Visograf 175879 1 Tela Retr til c Enrolamento p 175863 1 Local a ser depositado Agriculturas Amaz nicas Programa de P s

UniDic for Early Middle Japanese a Dictionary for

UniDic for Early Middle Japanese a Dictionary for

UniDic for Early Middle Japanese a Dictionary for Morphological Analysis of Classical Japanese Early Middle Japanese is a historical stage of the Japanese language used in the Heian period A D 794 1185 In the Heian period various styles of Japanese literature such as monogatari tales and nikki bungaku diary literature appeared for the first time in history Waka native

Reservedelskatalog for Onan

Reservedelskatalog for Onan

mdjf150 j120ja j120jb jc mja mjb mjc rjc gmdjb 37 dj30 15mdj 3r mdj 30 dj 60 dj 120 dj 130 mdj 130 705mdje 3r dja djb djc mdja b motores engines motori 20kw mdl4w2423d mdlgwlg34d l423d l423 l423p lg34w 25mdlg 45mdlg 30mdlg l317dw 16mdl224 20mdl4 12mdl3 motores engines motori 8 0dkd 10dkg motores engines motori 50ddb w9d filtro

Pioneer Car Stereos Installation Manual

Pioneer Car Stereos Installation Manual

Installation Manual 2 WARNING Rear visibility systems backup cameras are required in certain new vehicles sold in the U S and Canada U S regulations began according to a two year phase in on May 1 2016 and both the U S and Canada require that all such vehicles manufactured on or after May 1 2018 have rear visibility systems Owners of vehicles equipped with compliant rear visibility

Model ACA400 amp ACA500 Reverse Camera Installation Manual

Model ACA400 amp ACA500 Reverse Camera Installation Manual

Model ACA400 amp ACA500 Reverse Camera Installation Manual FEATURES High Resolution 1 4 CMOS Color Camera Compact Zinc Alloy Die Cast Body Waterproof Housing 150 Degree Wide View Angle Minimum Illumination lt 0 3Lux Resolution 672 x 520 Waterproof IP67 Rated Operating Temp 30c to 70c Current Max 80mA ACA400 ACA500 1 TABLE OF CONTENTS Warnings 2 Product Description 4

Owner s Manual Wiper Fluids Backup Cameras PEAK Auto

Owner s Manual Wiper Fluids Backup Cameras PEAK Auto

Back Up Camera Model No PKC0RG Owner s Manual and Warranty Information DC 12V M Read these instructions completely before using this product Retain this Owner s Manual for future reference 1 P N XXXXX 1 11

UNIVERSAL REAR VIEW CAMERA INSTRUCTION MANUAL MODE D

UNIVERSAL REAR VIEW CAMERA INSTRUCTION MANUAL MODE D

universal rear view camera instruction manual camera de vue arriere universelle mode d emploi universal r ckfahrkamera bedienungsanleitung universele achteruitrijcamera gebruiksaanwijzing telecamera per retromarcia universale istruzioni per l uso c mara de vista trasera universal manual de instrucciones c mara traseira universal manual

BC 30 Wireless Backup Camera Garmin

BC 30 Wireless Backup Camera Garmin

BC 30 Wireless Backup Camera Installation Instructions Introduction WARNING See the Important Safety and Product Information guide in the product box for product warnings and other important information Garmin strongly recommends having an experienced installer with the proper knowledge of electrical systems install the device Incorrectly wiring the power cable can result in damage to