Kanisa Katika Agano Jipya-Books Pdf

Kanisa katika Agano Jipya
28 Feb 2020 | 29 views | 0 downloads | 16 Pages | 744.80 KB

Share Pdf : Kanisa Katika Agano Jipya

Download and Preview : Kanisa Katika Agano Jipya


Report CopyRight/DMCA Form For : Kanisa Katika Agano JipyaTranscription

Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume,Somo ukarasa. Utangulizi 3,Maelezo Zaidi 4,Soma la 1 Kuzaliwa kwa Kanisa Mdo 1 2 5. Somo la 2 Injili katika Yerusalemu Mdo 3 4 6,Somo la 3 Mafarakano na Mateso Mdo 5 7 7. Somo la 4 Injili katika Uyahudi na Samaria Mdo 8 8. Somo la 5 Sauli abadilika kuwa mtumishi wa Yesu Mdo 9 9. Somo la 6 Injili katika Samaria Petro Kornelio Antiokia Mdo 10 11 10. Somo la 7 Injili hata Mwisho wa Nchi Paul na Barnaba Mdo 13 14 11. Somo la 8 Kuchagua na Kuwezesha Viongozi Mdo 14 21 28 12. Somo la 9 Ufafanuzi wa Imani Mkutano wa Yerusalemu Mdo 15 13. Somo la 10 Kuanzisha na Kuimarisha Makanisa Mapya 14. Ramani Uyahudi katika Karne ya Kwanza 15, Ramani Safari ya Uinjilisti ya Kwanza ya Paulo na Barnaba 16. Therefore go and make disciples of all nations baptizing them in the name of the Father and of the. Son and of the Holy Spirit and teaching them to obey everything I have commanded you Mathayo. Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania. Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014. Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume,Utangulizi.
Kusudi la somo hili Kujifunza hali na kazi ya kanisa kusudi la Mungu kuhusu kanisa maisha. na huduma za kanisa jinsi zinavyoelezwa katika kitabu cha Biblia cha Matendo ya Mitume. Maneno makuu ya somo hili Kanisa ni watu wa Mungu ushirika wa watu wanaookolewa. na kutumwa duniani jinsi Yesu alivyotumwa kuwakilisha Ufalme wa Mungu Wanafunzi wa. Yesu walitii armi yake Enendeni mkawafanya mataifa yote kuwa wanafunzi Mathayo. 28 19 kuhubiri toba na msamaha wa dhambi kwa mataifa yote Luka 24 47 kuwa. mashahidi yake katika Yerusalemu na katika Uyahudi wote na Samaria na hata mwisho. wa nchi Matendo 1 8, Kanisa Kanisa halisi katika Agano Jipya si jengo wala ibada wala vyeo. Kanisa halisi ni watu wa Mungu, wakikutana katika ibada na ushirikiano Yesu akiwa katikati yao Mathayo 18 20 na. wakitangaza Ufalme wa Mungu na kufanya kazi za Mungu jinsi Yesu aivyoamuru. Yohana 14 12, Katika kanisa nguvu za Mungu na nguvu za binadamu huungana kwa kufanya kazi za Mungu. za kueneza Ufalme wa Mungu duniani, Kanisa halisi ni tofauti na mambo yanayosaidia maisha ya kanisa Kwa mfano majengo na. taratibu na miradi huimarisha maisha ya kanisa lakini si kanisa lenyewe jinsi linavyoelezwa. katika Agano Jipya, Biblia inatoa mifano ya kanisa katika Agano Jipya kwa yafuatayo.
Bibi arusi wa Kristo anaonyesha uhusiano wa kanisa na Yesu. Mwili wa Kristo unaonyesha jinsi vipawa mbalimbali ni kama viungo vya mwili. Hekalu la Mungu linakaza kwamba kanisa ni hapo Mungu anapoishi. Nuru ya ulimwengu na chumvi ya dunia zinaeleza jinsi Mungu anafanya kazi duniani. kupitia kanisa, Watu wa Mungu wanafunzi watakatifu nyumba yake Mungu zinaeleza kwamba. kanisa ni watu wanafunzi wa Yesu, Maisha na kazi ya Yesu yaliongozwa na Ufalme wa Mungu. Yesu alianzisha kazi yake kwa kuhubiri ufalme wa Mungu umekaribia Marko 1 15. Miujiza ya Yesu ilikuwa ishara ya Ufalme wa Mungu Yohana 20 30. Yesu alifundisha kuhusu Ufalme kwa kutumia mifano Mathayo 13 24 50. Yesu aliomba kwamba ufalme wa Mungu uje hapa duniani kama huko mbinguni. Mathayo 6 10, Ufalme wa Mungu ni msingi kwa hali na kazi ya kanisa. Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania. Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014. Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume,Maelezo Zaidi. Je Ufalme wa Mungu ni nini,Ufalme wa Mungu ni hapo Mungu anapotawala.
Si ufalme wa dunia hii Yohana 18 36, Ufalme wa Mungu haujakamilika duniani tukitazamia ukombozi wa mwisho Warumi. 8 23 na hapo mambo yote yatakapojumlishwa katika Kristo Waefeso 1 10. Lakini katika tunda la Roho Mtakatifu Wagalatia 5 22 23 na maisha yakiongozwa na. Roho Mtakatifu Warumi 8 11 tunapata kuona na kuonja kwa sehemu Ufalme wa. Mungu Kanisa huleta Ufalme wa Mungu karibu katika ibada na ushirika na huduma. Waefeso 1 14,Afrika katika Agano Jipya, Simoni Mkireni sasa Libia alichukua msalaba wa Yesu Luka 23 26. Wageni wengine katika Yerusalemu siku ya Pentekoste walitoka Misri na Libia Matendo. Filipo alimhubiria mtu wa Kushi sasa Ethiopia na kumbatiza Matendo 8 27 38. Watu wa Kirene sasa Libia walisaidia kuanzisha kanisa la Antiokia Matendo 11 20. Kuhusu Mtume Paulo, Paulo alikuwa kiongozi muhimu katika kanisa la Agano Jipya. Paulo aliandika vitabu 13 vya Agano Jipya Aliviandika kama barua za kushauri na kutia. moyo na mafundisho kwa makanisa au kwa watu aliowafahamu. Paulo alikuwa mwalimu mwinjilisti mwanzishi wa makanisa mfariji na mwandishi. Katika safari zake Paulo alianzisha makanisa yasiyopungua 12. Paulo anajulikana kama mtume kwa Mataifa, Paulo alifundisha kwamba wokovu ni kwa imani tu wala si kwa njia ya sheria za. Paulo alikuwa daraja kati ya Wayahudi na Mataifa, Alizaliwa Myahudi na kuelimishwa katika sheria za Kiyahudi Wafilipi 3 5 6.
Alifahamu tabia ya Mataifa kwa sababu alitoka Tarso mji wa kimataifa Matendo 9 11. Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania. Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014. Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume,Somo la 1 Kuzaliwa kwa Kanisa Matendo 1 2. Siku ya Pentekoste ilikuwa mwanzo wa kanisa, Hakuna kanisa la kweli bila uwepo na uwezo wa Roho Mtakatifu. Wanafunzi wa Yesu walitii amri ya kuwa mashahidi wake kwa watu wote Matendo 1 8. Chunguza maandiko Soma Matendo 1 2,1 Maneno ya mwisho ya Yesu kwa wanafunzi wake. aliwatokea muda wa siku 40 na kuyanena mambo yaliyouhusu wa. wasitoke bali waingoje ya Baba ya kwamba,Yohana alibatiza kwa bali ninyi mtabatizwa katika. baada ya siku hizi chache 1 4 5,Lakini mtapokea akiisha kuwajilia juu yenu.
nanyi mtakuwa wangu 1 8,Akiisha kusema hayo walipokuwa wakitazama 1 9. Matendo 1 12 26 Mathiya achaguliwa kuchukua nafasi ya Yuda. 2 Siku ya Pentekoste,Wote wakajazwa 2 4, Mahuburi ya Petro Mungu amemfanya Yesu huyo mliyemsulibisha kuwa. na siku ile wakaongezeka watu wapata 2 41, Maisha ya kanisa la kwanza Wakawa wakidumu katika la mitume. na katika na katika na katika,Matendo 1 2 hueleza nguzo nne za maisha ya kanisa. Kutumwa Yesu aliwatuma wanafunzi wake kuitangaza injili kwa watu wote na. kuwafanya kuwa wanafunzi Matendo 1 8 Mathayo 28 19. Uwezo Wanafunzi wawezeshwe na Roho Mtakatifu 1 8 2 4. Ujumbe Wanafunzi watangaze kwamba Yesu ndiye Bwana 2 36 tubuni mkabatizwe. Kukutanika Wanafunzi hukutana kwa mafundisho ushirika ibada na kusali 2 42. Maswali ya majadiliano, 1 Kwa sabubu gani Yesu aliwaagiza wanafunzi kungoja Roho Mtakatifu 1 4 5.
2 Vipi unaona uwezo wa Roho Mtakatifu katika kila mistari ifuatayo. a Matendo 2 1 13,b Matendo 2 14 36,c Matendo 2 37 41. d Matendo 2 42 47, 3 Vipi unaona kazi ya Roho Mtakatifu katika kanisa lako sasa Taja mifano. 4 Tunafundisha kwamba Yesu ndiye Bwana wa maisha yetu Je unaonaje Yesu ni. Bwana katika mambo ya siasa Na katika uumbaji, 5 Kwa sababu gani ni muhimu watu kutubu dhambi zao. 6 Je ushirika inavyoelezwa katika mistari 42 47 inawezekana kwetu sisi leo. 7 Soma tena nguzo 4 za maisha ya kanisa Je unaziona zote katika kanisa lako. Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania. Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014. Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume, Somo la 2 Injili katika Yerusalemu Huduma na upinzani Matendo 3 4. Kanisa liliendeleza huduma ya Yesu, Kanisa lilikabiliwa na upinzani kutoka kwa viongozi wa Wayahudi.
Kanisa liliitikia upinzani kwa kusali na kuomba, Kanisa lilikuwa na upendo kiasi cha kushirikiana mali yao na kusaidia wenye mahitaji. Chunguza maandiko Soma Matendo 3 4, 3 1 10 Petro na Yohana walikuwa wakikwea pamoja kwenda 3 1 na. walikutana na mtu aliyekuwa toka tumboni mwa mamaye 3 2. 3 11 26 Mahubiri ya Petro Ni kwa imani katika limemtia nguvu mtu. huyu 3 16 Tubuni basi mrejee 3 19,4 1 22 Wayahudi kwa sababu watu. 4 2 Wakawaita wakawaamuru kabisa wala katika jina,la Yesu 4 18. 4 23 31 Wakristo washiriki wenzao wakampazia Mungu sauti kwa. 4 32 37 Na jamii ya watu walioamini walikuwa na mmoja na. moja Walikuwa na shirika 4 32 Wala hapakuwa na mtu. mmoja miongoni mwao mwenye 4 34,Maswali ya majadiliano.
1 Petro na Yohana walikutana na mtu kiwete tangu kuzaliwa kwake Je alitumaini kupokea. nini kutoka kwa Petro na Yohana Na walimpatia nini. 2 Kati ya watu katika maeneo yetu leo kuna mahitaji ya kifedha kiroho kimwili au. kijamaa Katika vijiji na miji yetu sasa je unatambua mahitaji gani kati ya watu. 3 Je unafikiri kanisa linatakiwa kusaidia mahitaji ya kifedha katika vijiji vyetu Kanisa lako. limeweka mpango gani kusaidia mahitaji hayo, 4 Petro na Yohana walipingwa na viongozi wa Kiyahudi kwa sababu walimhubiri Yesu Je. umewahi kupingwa kwa sababu ya huduma ya kufundisha neno la Mungu ama. kumsaidia mtu katika jina la Yesu, 5 Kanisa lilifanyaje waliposikia vitisho vya Wayahudi 4 23 30. 6 Baada ya Washiriki kuomba Mungu je ilitokea nini 4 31. 7 Kwa njia gani kanisa katika Matendo lilisaidia washiriki wenye mahitaji Acts 4 32 37. 8 Soma Matendo 11 27 30 Washiriki katika kanisa la Antiokia walisikia habari za mahitaji. ya kanisa hapo Yerusalemu na wakaamua kuwasaidia Je makanisa ya leo yanafanyaje ili. kusaidiana wakati wenzao wakipatwa na mahitaji yo yote. 9 Je katika mambo gani unaona dalili za nguvu za Roho Matakatifu katika sura hizi za. Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania. Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014. Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume,Somo la 3 Mafarakano na mateso Matendo 5 7. Shetani hushambulia kanisa kwa ndani kwa njia ya udanganyifu na mafarakano. Shetani hushambulia kanisa kutoka nje kwa njia ya vitisho mashtaka na mateso. Kanisa huenea na kupanuka kutokana na mateso Matendo 5 14 6 7. Mitume walishauri kwamba watu wachaguliwe kushughulikia huduma ya chakula ili. mitume wadumu katika maombi na huduma ya neno, Mateso ni sehemu ya kawaida ya kumfuata Yesu 1 Petro 4 12 13. Mateso hujenga imani na tabia Yakobo 1 2 3,Chunguza maandiko Soma Matendo 5 7.
5 1 11 Anania na Safira walileta sadaka kwa mitume lakini walikufa kwa sababu ya. udanganyifu wao Shetani amekujaza moyo wako kumwambia Roho. Mtakatifu 5 3, 5 17 42 Akaondoka Kuhani Mkuu na wote waliokuwa pamoja naye wamejaa. wakawakamata mitume wakawaweka ndani ya 5 17, 6 1 7 Palikuwa na manung uniko ya Wayahudi wa Kiyunani juu ya Waebrania kwa. sababu wajane wao katika ya kila siku 6 1, 6 8 15 7 54 60 Stefano alikamatwa na kushtakiwa kuwa Musa na. Mungu 6 11 Mwisho wakamtoa nje ya mji wakampiga kwa 7 58. 8 1 4 Siku ile kukatukia kuu ya kanisa lililokuwa Yerusalemu wote. wakatawanyika katika nchi ya na isipokuwa hao, James 1 2 3 Mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta. Maswali ya majadiliano,1 Je dhambi ya Anania na Safira ilikuwa nini.
2 Je kwa njia gani Shetani amewahi kushambulia kanisa lako kutoka ndani Taja. mitazamo na makusudi ya watu yaliyotaka kushambulia kanisa. 3 Je kanisa lifanyeje ili kukabiliana na udanganyifu au mafarakano kati ya washiriki. 4 Kwa sababu gani viongozi wa Wayahudi waliwakamata mitume. 5 Je wewe au kanisa lako mmewahi kupatwa na wivu kutoka kwa watu wa nje ya. kanisa Uliitikiaje vitishio hivyo, 6 Katika Matendo 6 1 7 mitume walianza kuweka utaratibu wa utumishi katika kanisa. Ilikuwa ni nini iliwalazimu kuchagua watumishi hao Na taratibu hiyo ilisaidiaje kukua. kwa kanisa 6 7, 7 Wayahudi walileta mashtaka gani juu ya Stefano 8 11 14 Je mashtaka hayo. yalikuwa kweli, 8 Je Sauli alikuwa wapi wakati Stefano alipigwa kwa mawe 7 58. 9 Ni nani alikuwa anaongoza mateso kwa Wakristo 8 3. 10 Je kanisa linakabiliwa na mateso ya aina gani kwa wakati huu. 11 Je tuitikieje wakati tukipatwa na mateso kufuatana na 1 Petro 4 12 13. 12 Je mateso yanaweza kujenga au kuimarisha kanisa kwa njia gani. Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania. Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014. Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume, Somo la 4 Injili katika Uyahudi na Samaria Huduma ya Filipo Matendo 8. Kanisa lilienea nje ya Yerusalemu hadi Uyahudi na Samaria kwa njia mbili ni kwa njia ya. mateso na kwa njia ya uinjilisti, Kazi ya kwanza ya kanisa ni kutii amri ya Yesu kutangaza injili kwa wale ambao.
hawajaisikia, Chunguza maandiko Soma Matendo 8 Angalia pia ramani mwisho wa kitabu hiki. 8 1 8 Wale waliotawanyika wakaenda huko na huko neno 8 4. Filipo akatelemka akaingia mji wa akawahubiri 8 5, 8 9 13 Na mtu mmoja jina lake Simoni hapo kwanza alikuwa akifanya. katika mji ule akiwashangaza watu wa taifa la Samaria akisema ya kuwa yeye ni mtu. mkubwa 8 9 Lakini walipomwamini Filipo akizihubiri habari njema ya. wa na jina lake Yesu Kristo wakabatizwa 8 12 Na yeye Simoni. mwenyewe akabatizwa 8 13, 8 14 17 Na mitume waliokuwako Yerusalemu Waliposikia ya kwamba Samaria. imekubali neno la Mungu wakawapelekea na ambao,waliposhuka wakawaombea wampokee 8 14 15 Ndipo. wakaweka mikono yao juu yao nao wakampokea 8 17, 8 18 25 Hata Simoni alipoona ya kuwa watu wanapewa Roho Mtakatifu kwa.
kuwekewa mikono ya mitume akataka kuwapa akisema Nipeni na mimi. huu 8 18 19, 8 26 40 Malaika ya Bwana akasema na Filipo akamwambia Ondoka ukaende upande. wa kusini hata njia ile itelemkayo kutoka kwenda 8 26. Naye akaondoka akaenda mara akamwona mtu wa Naye alikuwa. amekwenda kuabudu 8 27 Filipo akafunua kinywa chake naye akianza. kwa andiko lilo hilo akamhubiri za 8 35 Naye, 8 40 Lakini Filipo alipokuwa akipita akahubiri katika yote. hata akafika Acts 8 40,Maswali ya majadiliano, 1 Je mateso yalizuia au kusaidia kuenea kwa kanisa katika Matendo. 2 Je umesikia habari ya makanisa yaliyoteswa wakati wa sasa Mateso yaliyabadilisha kwa. 3 Kwa jinsi gani sura hii ya Matendo inatimiza agizo la Yesu kupeleka Injili nje ya. Yerusalemu, 4 Je kuenea kwa kanisa letu hapa Afrika Mashariki katika miji na maeneo mengine huwa. kunatokea kwa njia gani, 5 Kwa nini sisi tumesita kupeleka Injili katika maeneo mapya tusiyoyajua Kuna maeneo.
gani mapya ambapo tunapaswa kuipeleka Injili, 6 Petro na Yohana wakawaombea waumini wapya ili wapokee Roho Mtakatifu Na sisi. tunafanyaje ili kuimarisha waumini wapya, 7 Soma Mathayo 28 19 20 Je tunatii amri ya Yesu kwa jinsi tunavyofundisha na. kuimarisha walioamini Injili, Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania. Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014. Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume, Somo la 5 Sauli abadilika kuwa mtumishi wa Yesu Matendo 9. Sauli alisomeshwa kuwa Mfarisayo na kiongozi kati ya Wayahudi Matendo 23 6. Sauli aliongoza mateso juu ya Wakristo Matendo 8 3 9 1. Sauli alikuwa akienda Dameski ili kuleta mateso kwa Wakristo aliangazwa nuru kutoka. mbinguni akakutana na Yesu na kupokea wito kuitangaza Injili kwa watu wa mataifa. Matendo 9 15,Baadaye Sauli alijulikana kama Paulo Matendo 13 9.
Chunguza maandiko Soma Matendo 9, Acts 9 1 2 Sauli akaomba barua kutoka kwa Kuhani Mkuu ili akiona watu wa. hii waume na wake na kuwaleta Yerusalemu 9 1 2, Acts 9 3 6 Akasema U nani wewe Bwana Naye akasema Mimi ndimi. unayeniudhi wewe 9 5, Acts 9 10 16 Bwana akamwambia Anania enenda zako Kwa maana huyu ni. kwangu alichukue Jina langu mbele ya, na wafalme na wana wa 9 15 Maana nitamwonyesha yalivyo mengi. yatakayompasa kwa ajili ya Jina langu 9 16, Acts 9 20 22 Mara akamhubiri Yesu katika masinagogi kwamba yeye ni.
wa 9 20 Sauli akazidi kuwa hodari akatia fadhaa Wayahudi waliokaa. Dameski akithibitisha ya kuwa huyu ndiye 9 22, Acts 9 26 27 Na Sauli alipofika Yerusalemu alijaribu kujiunga na nao. walikuwa wote 9 26 Lakini Barnaba akamtwaa akampeleka kwa. Acts 9 31 Basi kanisa likapata katika Uyahudi wote na Galilaya na. Samaria likajengwa likiendelea na katika kicho cha Bwana na faraja ya. Roho Mtakatifu,Maswali ya majadiliano, 1 Je maisha ya Sauli yalibadilika kwa namna gana alipokutana na Yesu Katika kuwaza. kwake Na katika mwenendo waka Andika mabadiliko unayoyaona katika maisha yake. 2 Kuna dalili gani zinazoonyesha kwamba Sauli alibadilika kuwa mwanafunzi wa Yesu. 3 Je waumini wa Yerusalemu walikuwa tayari kumpokea Sauli mwanzoni kama mtumishi. wa Yesu Kwa nini walisita kumpokea Nani alimleta kwa mitume. 4 Je maisha yako yalibadilikaje ulipokutana na Yesu Kuna watu gani waliokuongoza na. kukujenga katika imani yako baada ya kumwamini Yesu. 5 Je kuna mtu ye yote unayeweza kumjenga na kumtia moyo katika imani na mwenendo. Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania. Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014. Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume, Somo la 6 Injili katika Samaria Petro Kornelio Antiokia Matendo 10 11. Kanisa lilienea hadi Yafa Uyahudi halafu Kaisaria Samaria na Antiokia Syria. Wakristo wa kwanza walikuwa ni Wayahudi na waliamini ya kwamba wapaswa kushika. sheria za Kiyahudi ili kupokea wokovu, Injili ilipoenea kwa Mataifa waumini wa Kiyahudi waliona kwamba Mungu hupokea. Kanisa la Antiokia lilizidi kupata nguvu chini ya uongozi na mafundisho ya Barnaba na. Chunguza maandiko Soma Matendo 10 11 Angalia pia ramani mwisho wa kitabu hiki. Acts 10 9 16 Petro akaona mbingu zimefunuka na chombo kikishuka kama. kubwa inatelemshwa kwa pembe zake nne hata nchi ambayo ndani. yake walikuwamo aina zote za wenye miguu mine na hao. na wa angani Kisha sauti ikamjia kusema Ondoka, Petro uchinje ule 10 11 13 Lakini Petro akasema Hasha Bwana kwa maana sijakula.
kamwe kitu kilicho au 10 14 Sauti ikamjia mara ya pili. ikimwambia na Mungu usiviite wewe najisi 10 15, Acts 10 24 29 Petro akawaambia Ninyi mnajua ya kuwa si halali mtu aliye Myahudi. ashikamane na mtu aliye wa lingine wala kumwendea lakini Mungu. amenionya nisimwite mtu awaye yote wala 10 28, Acts 11 1 18 Na Petro alipopanda kwenda Yerusalemu wale walio wa tohara. naye 11 2 Petro akaanza kuwaeleza kwa taratibu 11 4. Waliposikia maneno haya wakanyamaza Mungu wakisema Basi. Mungu amewajalia hata mataifa nao liletalo uzima 11 18. Acts 11 19 21 Basi wale waliotawanyika kwa sababu ya ile wakasafiri. hata Foinike na Kipro na Antiokia wasilihubiri lile neno ila kwa peke yao. 11 19 Lakini baadhi ya hao walipofika Antiokia wakasema na Wayahudi wa. wakihubiri za Bwana Yesu 11 20, Acts 11 22 30 Habari hizo za watu hao zikafika masikioni mwa kanisa lililokuwako. katika wakamtuma Barnaba aende hata Antiokia 11 22 Naye. alipokwisha kufika na kuiona ya akafurahi akawasihi wote. waambatane na Bwana kwa kusudi la moyo 11 23 Kisha akatoka akaenda. kumtafuta hata alipokwisha kumwona akamleta,Antiokia 11 25 26. Maswali ya majadiliano,1 Eleza maono ya Petro na maana yake.
2 Maono ya Petro je yalimsaidije kukubali na kushirikiana na Mataifa. 3 Kwa nini ilikuwa muhimu kwa Wayahudi kujua kwamba Mungu naye anawakubali. 4 Kwa sababu gani waumini wengine wa Yerusalemu walishindana na Petro 11 2 3. 5 Hiyo neema ya Mungu aliyoona Barnaba ilikuwa nini 11 23. 6 Katika sura hizi tunaonaje jinsi injili ilivyoenea na kuiingia katika mahali pengine. 7 Je kuna makanisa leo yenye mapokeo yanayozuia watu kupokea injili Eleza. 8 Je kuna haja leo kwa watu walio daraja kuleta injili kwa watu wa mila tofauti. Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania. Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014. Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume, Somo la 7 Injili hata mwisho wa nchi Matendo 13 14. Kanisa la Antiokia lilikuwa la kwanza lililotuma wainjilisti ili kutangaza Injili. Barnaba na Sauli walisafiri kwenda kisiwa cha Kipro halafu wakaingia maeneo ya. Pamfilia na Pisidia wakihubiri na kufundisha katika masinagogi ya Wayahudi. Wayahudi na Mataifa wote waliamini injili, Mwandishi wa Matendo alianza kutumia jina Paulo badala ya Sauli katika Matendo. Chunguza maandiko Soma Matendo 13 14 Angalia pia ramani mwisho wa kitabu hiki. Eleza mambo muhimu yaliyotokea katika kila mahali,13 1 3 Antiokia. 3 4 5 Salami Kipro,13 6 12 Pafo Kipro,13 13 Perge na Pamfilia. 13 14 52 Antiokia ya Pisidia,14 1 7 Iconio,14 8 19 Listra.
14 20 21 Derbe,14 26 28 Antiokia,Maagizo ya Yesu kuhusu uinjilisti Luka 10 1 12. Kutembea wawili wawili mst 1,Nenda hapo Yesu anapotaka kwenda mst 1. Maombi mst 2,Nenda kama kondoo kati ya mbwa mwitu mst 3. Msichukue mfuko mst 4,Msimwamkie mtu njiani mst 4,Tafuta yule mtu wa amani mst 5 6. Kula vyakula viwekwavyo mbele yenu mst 7 8,Ponya wagonjwa mst 9.
Maswali ya majadiliano, 1 Kwa vipi safari ya Paulo na Barnaba inatimiza agizo la Yesu katika Mathayo 28 19. enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, 2 Paulo na Barnaba walipoingia mjini je walizoea kuanza wapi kuhubiri na kufundisha. 3 Soma maagizo ya Yesu kwa wanafunzi wake katika Mathayo 10 5 16 na Luka 10 1 12. Barnaba na Paulo je walifuato maagizo hayo, 4 Unavyoona je maagizo hayo ni njia nzuri ya kuleta injili katika mji au kijiji. 5 Je inafaa makanisa yetu kutuma wainjilisti katika maeneo mapya jinsi Barnaba na Paulo. walivyotumwa, 6 Je unajua mahali ambapo injili haijahubiriwa bado na ambapo tunaweza kutuma. wainjilisti ili kuleta injili, 7 Kwa njia gani maisha na elimu ya Sauli yalimwandaa kufanya kazi hiyo.
8 Na leo je ni mafunzo gani yatamwandaa mtu kuwa mwinjilisti kati ya watu wa mila. Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania. Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014. Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume, Somo la 8 Kuchagua na kuwezesha viongozi Matendo 14 21 28. Barnaba na Paulo walirudi na kutembelea makanisa mapya hapo walipohubiri. Wakachagua wazee katika makanisa hayo mapya, Barnaba na Paulo walirejea Antiokia walipokuwa wametumwa na kutoa taarifa. Chunguza maandiko Soma Matendo 14 21 28, 14 21 22 Wakarejea mpaka Listra na Ikonio na Antiokia wakifanya roho. za wanafunzi na wakae katika ile Imani, 14 23 Na walipokwisha katika kila kanisa na kuomba. pamoja na kufunga katika mikono ya,waliyemwamini, 14 26 28 Na kutoka huko wakaabiri kwenda Huko ndiko.
walikoombewa neema ya Mungu kwa ile kazi waliyokwisha 14 26. Hata walipofika wakalikutanisha mambo yote, aliyoyafanya Mungu pamoja nao na ya kwamba Mataifa mlango wa. Ushauri wa Paulo katika barua yake kwa Tito,Kazi za viongozi wa makanisa. Kuweka taratibu ya uongozi kuweka wazee kwa ajili ya huduma za kanisa Tito 1 5. Kuwafundisha na kuwaonya washiriki na kuwakemea wanaopinga ukweli Tito 1 9. Kushika mafundisho yenye uzima na mwenendo wa utakatifu 2 1 14 wazee wa kiume. na wa kike vijana wanawake na wanaume watumwa,Kujenga amani kati ya watu 3 1 2. Kujiepusha na maswali ya upuzi 3 9,Sifa za viongozi wa makanisa. Anayeheshimu na kuheshimiwa hakushtakiwa neno 1 6 7. Aendeshaye ndoa na nyumba kwa uaminifu 1 6, Si mlevi wala mgomvi wala mpenda mapato ya aibu 1 7.
Mkarimu 1 8,Ashikaye neno la ukweli 1 9,Maswali ya majadiliano. 1 Kwa sababu gani ilikuwa muhimu kuchagua viongozi katika makanisa mapya 14 23. 2 Soma ushauri wa Paulo kwa Tito alipoeleza kazi na sifa za viongozi Je kuna kazi yo yote. kuongeza zaidi ya hizo, 3 Je kuna matokeo gani katika kanisa ambapo viongozi hawatimizi kazi hizoi. 4 Je kuna sifa yo yote kuongeza zaidi ya hizo, 5 Je kuna matokeo gani katika kanisa ambapo viongozi hawana sifa hizo. 6 Wakati Barnaba na Paulo walipotembelea makanisa wakawaweka katika mikono ya. Bwana 14 23 Eleza zaidi maana ya kuwaweka katika mikono ya Bwana Je Paulo. aliona wajibu gani kwa makanisa hayo aliyoyaanzisha. 7 Je Paulo na Barnaba walikuwa wanatimizaje amri ya Yesu ya kwenda na kufanya. 8 Katika Agano Jipya hakuna maelezo kuhusu majengo Je tuelewe kwamba tusijenge. majengo ya kanisa tukutane katika nyumba nyingine, Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania. Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014. Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume, Somo la 9 Ufafanuzi wa imani Mkutano wa Yerusalemu Matendo 15.
Wakristo wa kwanza walikuwa ni Wayahudi waliofuata sheria za Kiyahudi na walidai. kwamba Wakristo wote wanapaswa kutii sheria hizo hata Mataifa wanaoamini. Paulo na Barnaba walibatiza walioamini lakini hawakudai washike sheria za Kiyahudi. Paulo na Barnaba walitumwa Yerusalemu ili kuongelea swala hilo na mitume na wazee. Mkutano ulithibitisha kwamba Wayahudi na Mataifa wote waokolewa kwa neema wala. si kwa kushika sheria,Chunguza maandiko Soma Matendo 15. 15 1 5 Wakashuka watu waliotoka Uyahudi wakawafundisha wale ndugu ya kwamba. msipo kama desturi ya hamwezi kuokoka 15 1, Ndugu wakaamuru kwamba Paulo na Barnaba na wengine miongoni mwao wapande. kwenda Yerusalemu kwa na kwa habari ya swali hilo 15 2. 15 6 21 Na baada ya hoja nyingi Petro akasimama akawaambia Ndugu zangu ninyi. mnajua ya kuwa tangu siku za kwanza Mungu alichagua miongoni mwenu ya kwamba. walisikie neno la Injili 15 7 Bali twaamini kwamba tutaokoka kwa. ya vile vile kama wao 15 11 Basi,mkutano wote wakanyamaza wakawasikiliza na. wakiwapasha habari za ishara na maajabu ambayo Mungu aliyafanya kwa ujumbe wao. katika 15 12 Kwa hiyo mimi naamua hivi Tusiwataabishe wale. waliomgeukia katika, 15 30 35 Hata hao wakiisha kupewa ruhusa wakatelemkia na baada ya. kuwakusanya yote wakawapa ile Nao walipokwisha,kuisoma waka kwa ajili ya ile 15 30 31.
Maneno ya hekima kutoka Matendo 15 kuhusu imani tofauti. Kuwa na tofauti kati mwetu si kosa muhimu na jinsi tunavyohusiana na kufafanua. Tusiogope kuongelea tofauti zetu,Kila mtu apewe nafasi kueleza maoni yake. Hata katika tofauti kuna maneno tunayokubaliana, Kaza imani yetu ya kimsingi wala tusidai umoja katika matendo na mahusiano. Heshimu dhamiri ya wengine hata kama hukubaliani nao. Epukana na hasira na wasiwasi zinafanya upatanisho kuwa vigumu. Viongozi watafute kuongozwa na Roho Mtakatifu halafu kuamua hatua za kufanya. Maswali ya majadiliano, 1 Kwa nini waumini wengine walifikiri kwamba Wakristo wote lazima watahiriwe na. kushika sheria za Kiyahudi, 2 Soma maneno ya Petro katika 15 7 11 Eleza katika maneno mengine alivyosema. 3 Soma maneno ya Yakobo katika 15 13 21 Alishauri nini. 4 Mkutano ulishauri mambo manne kwa Mataifa Andika hayo mambo manne 15 20. 5 Wakristo wa Antiokia walipokeaje ushauri wa mitume 15 31. 6 Je unadhani kwamba watu wote walikubaliana na ushauri wa mitume na wazee. 7 Soma Maneno ya Hekima juu kuhusu namna ya upatanisho Je unakubaliana na. maneno hayo Wewe mwenyewe katika kazi yako umejifunza nini kuhusu namna ya. kufanya upatanisho, Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania.
Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014. Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume, Somo la 10 Kuanzisha na kuimarisha makanisa mapya Matendo 16 20. Paulo alizidi kusafiri na kuleta injili kwa Mataifa. Katika safari zake alikutana na ibada ya sanamu mapepo machafu na dini mbalimbali. Wakati mwingine injili hukutana na upinzani na mateso. Paulo aliimarisha makanisa mapya kwa njia ya ushauri na mafundisho. Chunguza maandiko Soma Matendo 16 20 Yafuatayo yanahusu kazi ya kueneza injili. katika maeneo yaliyo mapya kwa injili, Paulo alikabiliwa na changamoto mbalimbali katika kuihubiri injili. Wivu 13 45,Desturi na mazoea ya Wayahudi 17 5 9 18 12 13. Mapepo machafu 16 16 24,Ibada ya sanamu 17 16 33,Dini za Warumi na Wayunani 19 23 41. Paulo alikuta upinzani na mateso kwa sababu alihubiri injili. Wayahudi walishawishi wengine juu yao wakabisha 13 45 50 17 13 18 6. Wayahudi walikusudia kuwashambulia na kuwapiga kwa mawe 14 5 19 20 3. Wakapigwa na kufungwa gerezani 16 22 23, Wayahudi wakafanya ghasia mjini 17 5 wapagani pia wakafanya ghasia 19 28 29.
Waliletwa mahakamani wakashitakiwa kwa uongo 18 12 13 19 9. Paulo aliimarisha makanisa kwa mafundisho na ushauri. Soma 15 41 16 5 16 40 18 11 23 19 10 20 1 2, Paulo aliandikia makanisa na watu barua za ushauri Hizo ni nyaraka za Agano Jipya. Kujenga viongozi,Paulo alimchukuaTimotheo ili amfundishe 16 1 5. Prisila na Akila alimsahihisha na kumwelekeza Apolo 18 24 26. Paulo alimshauri Tito Tito 1 5, Paulo aliagiza wanafunzi wake kuwafundisha wengine 2 Timotheo 2 2. Maswali ya majadiliano, 1 Vitabu vipi vya Agano Jipya vilikuwa barua za Paulo kwa makanisa Vipi vilikuwa barua. kwa watu binafsi, 2 Je kama injili ni habari njema kwa nini inakutana na upinzani.
3 Je umewahi kukuta matatizo yo yote hayo katika kuhubiri injili Au umewahi kukuta. matatizo mengine yasiyotajwa hapa, 4 Tufanye nini kuimarisha Wakristo ili wasimame imara mbele ya upinzani. 5 Je unajua mahali po pote Wakristo wanapoteswa leo Ni wapi Kuna njia yo yote sisi. tunaweza kuwatia moyo, 6 Je umefanya mpango wa kufundisha na kuandaa mwingine kwa uongozi Eleza mpango. 7 Makanisa mapya je wanaona changamoto ambayo makanisa ya zamani hayaoni. 8 Wapi kuna makanisa mapya au yaliyo mbali na makanisa yetu mengine Tufanyeje ili. kuwasaidia na kuwatia nguvu, 9 Wakati tunapoandaa viongozi je tunatimizaje agizo la Yesu katika Mathayo 28 19 20. Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania. Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014. Kanisa katika Agano Jipya Matendo ya Mitume,Uyahudi katika Karne ya Kwanza. Diocese Based TEE Kenya Mennonite Church Kanisa la Mennonite Tanzania. Joseph and Gloria Bontrager Theological Education Coordinators 2014.


Related Books

COLORADO DEPARTMENT OF TRANSPORTATION STORMWATER FIELD ...

COLORADO DEPARTMENT OF TRANSPORTATION STORMWATER FIELD

Stormwater Management Field Inspection Report Instructions (continued) (14) Current Construction Activities: (a)Provide a short description of the current construction activities/phase at the project site; include summary of grading activities, installation of utilities, paving, excavation, landscaping, etc.

BAB I PENDAHULUAN P O L B A N PERANCANGAN STRUKTUR BAJA

BAB I PENDAHULUAN P O L B A N PERANCANGAN STRUKTUR BAJA

Kekuatan yang tinggi dari baja per satuan berat mempunyai konsekuensi bahwa beban mati ... beban tarik. Suatu elemen baja yang ... struktur rangka ...

Characteristics of acupuncture meridians and acupoints in ...

Characteristics of acupuncture meridians and acupoints in

Characteristics of acupuncture meridians and acupoints in animals C. YU, K. ZHANG, G. LU, J. XU, H. XIE, Z. LUI, Y. WANG and J. ZHU * Summary: In recent years, an increasing number of studies has been conducted on the biophysical characteristics of the meridians and acupoints in humans and animals. The authors aim to further illustrate the ...

BAB IV PERHITUNGAN STRUKTUR REDESAIN

BAB IV PERHITUNGAN STRUKTUR REDESAIN

Struktur atap rangka baja dalam perencanaan menggunakan metode LRFD (Load and Resistance Factor Design) atau desain beban dan faktor . 18 ... Beban mati ( qD )

Your Guide to Supplying Print-Ready PDF Files

Your Guide to Supplying Print Ready PDF Files

print and finishing machinery. The industry standard is 3mm and is what we require for our files. you require the print to go to the very edge of the page. set 3mm beyond the finished page size (i.e. it bleeds correctly). Therefore, the image, once printed and trimmed to final size always goes to the edge of the page,

Industrial Strategy - gov.uk

Industrial Strategy gov uk

leading life sciences industry to drive growth, increase productivity, improve the use of data, reinforce our science base, deepen our skills and secure benefits for patients throughout the United Kingdom. The government and the life sciences sector have worked extensively since August to agree a first phase of a ground-breaking deal, working

EJBO Electronic Journal of Business Ethics and ...

EJBO Electronic Journal of Business Ethics and

high-performing teams, high-performing teams + development, high-performing teams + sports, high-performing teams + trust and trust + team building. The first 100 hits by relevancy were selected from five keyword searches. The first stage search with 500 sources and three databases secured enough variety in the literature sources. During the ...

Our commitment to audit quality - assets.ey.com

Our commitment to audit quality assets ey com

perform high-quality audits. It underpins everything we do, and we continue to look for ways to make it more robust. Tone at the top and accountability At EY, we set a high standard for our delivery of audit quality. We are committed to acting with the highest level of integrity. This

Transistors, SCR, IC

Transistors SCR IC

r cross reference / equivalent table transistors, scr, ic h7809ba da78l09 to-92 h7809be de7809 to-220ab h7809bi di7809 to-251 h7809bj dj7809 to-252 h7809bm dm78l09 sot-89 h7812ai di7812a to-251

Songs Included With ET-23KH Magic Sing Purchase karaoke ...

Songs Included With ET 23KH Magic Sing Purchase karaoke

Songs Included With ET-23KH Magic Sing Purchase karaoke songs via ... 7604 ANOTHER DAY PAUL MCCARTNEY 9278 ANOTHER LONELY SONG ... 8264 BETTER WAY BEN HARPER