Jarida La Kilimo Endelevu Afrika Mashariki Tumia Mboji Na-Books Pdf

Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki Tumia mboji na
17 Nov 2019 | 468 views | 0 downloads | 8 Pages | 731.15 KB

Share Pdf : Jarida La Kilimo Endelevu Afrika Mashariki Tumia Mboji Na

Download and Preview : Jarida La Kilimo Endelevu Afrika Mashariki Tumia Mboji Na

Report CopyRight/DMCA Form For : Jarida La Kilimo Endelevu Afrika Mashariki Tumia Mboji NaTranscription

Toleo la 78 Machi 2019, Jifunze kutayarisha mboji kwa kurundika malighafi. Naomba kujua namna ya kuzalisha, mboji kwa kurundika takataka zinazooza. ili kutumia kwenye bustani yangu ya, mbogamboga Joyce Evance Dodoma 0763. Ayubu Nnko, Mbinu ya kutayarisha mboji kwa, kurundika hufaa zaidi kufanyika katika. maeneo yanayopata mvua nyingi , Katika maeneo yanayopata mvua.
kidogo mbinu ya kutengeneza mboji kwa, kutumia shimo hupendekezwa na ni njia. nzuri zaidi , Ili kufanikisha zoezi la uzalishaji wa. mboji kwa njia ya kurundika ni lazima, mkulima ahakikishe anafuata hatua kwa. hatua mbinu za kurundika na kuzalisha , Hatua za kufuata kuzalisha mboji kwa. kurundika malighafi Kusanya mabaki ya jikoni pamoja na mabaki ya shambani ili kupata mboji. Kabla ya kuanza kurundika malighafi , Baada ya kumaliza nyunyizia jivu uoto uliokauka kama vile majani.
chagua mahali palipo karibu na eneo, katika safu hii kwani jivu huwa na ya migomba ili kupunguza kupotea. ambalo mboji itazalishwa na kutumika kwa unyevu kutokana na maji. madini muhimu kama potashiamu , Hakikisha mahali hapo pamekingwa kutoweka kama mvuke . alkalaini kalisi na magnesiamu, dhidi ya upepo mvua jua na kusababisha Chukua kijiti kirefu chenye ncha. ambapo husaidia kuzimua asidi, mchuruziko wa maji kali kisha ukiingize katika rundo. inayotolewa wakati wa kuozesha, Pima eneo la mstatili lenye upana wa kimshazari ili kipite kutoka juu.
hasa pale samadi inapotumika , sentimita 120 kwa urefu wa sentimita kwenda hadi chini . Ongeza safu ya uoto wa kijani yenye, 150 au unaweza kulifanya kuwa refu Kijiti kitatumika kama kipimajoto. unene wa sentimita 15 hadi 20 na, zaidi chako , hakikisha unatumia majani ya kijani. Urefu utategemea kiasi au wingi wa Baada ya siku tatu uozeshaji utakuwa. kibichi hasa kutoka katika miti ya, malighafi utakavyoweka kwa ajili ya tayari umeanza na ukikivuta kijiti. jamii ya mikunde ambayo huwa na, kutengenezea mboji kutoka nje katika rundo utakuta kijiti.
kiasi kikubwa cha protini , Baada ya kuchimba anza kuweka kina joto . Baada ya kupanga safu hii nyunyizia Vuta kijiti nje mara kwa mara. rundo la malighafu kwa kutanguliza, kiasi kidogo cha mboji ya zamani au ili kuona jinsi gani uozeshaji. malighafi ngumu kama vile mabua, udongo wa juu kwani udongo wa unavyoendelea . ya mahindi na vitawi vilivyokatwa, juu huwa na bakteria muhimu kwa Kutokana na kijiti hiki unaweza. kutoka katika majani kama safu ya, ajili ya uozeshaji kujua kiwango cha ukavu au.
chini kabisa kwenye shimo , Ongeza safu nyingine kwa zamu umajimaji ulivyo katika rundo. Ongeza safu ya pili ambayo itakuwa, ukianza na uoto mkavu kisha na itakusaidia kuweka unyevu. na uoto uliokauka kwa mfano nyasi samadi majimaji ya bayogesi unaotakiwa lakini si umajimaji . na safu hii iwe na unene wa sentimita majivu uoto wa kijani na udongo wa. 15 Kupindua malighafi, juu hakikisha kila safu ukishamaliza. Rundo lote linatakiwa kuwa na Baada ya kipindi cha majuma mawili hadi. kuweka unanyunyizia maji juu, unyevunyevu hivyo baada ya matatu pindua rundo na usiongeze kitu. kupanga safu hii hakikisha nayo au malighafi ya aina yoyote isipokuwa. Baada ya kukamilisha rundo funika, unainyunyizia maji maji tu .
rundo lote kwa safu ya juu ya udongo, Pindua rundo ikiwa kipimajoto. Weka safu ya tatu yenye tope au yenye unene wa sentimita 10 Hii. kitakuwa cha ubaridi au kikiwa na, samadi laini au majimaji ya biyogesi safu itasaidia kuzuia virutubishaji chembechembe nyeupe kwa nje hii. samadi huwa na viini ambavyo vya mimea kupotea kutoka katika inaonesha kuwa uozeshaji umesimama . mara nyingi ndivyo husaidia katika rundo la mboji . uozeshaji Funika rundo lote kwa kutumia Inaendelea Uk 6. Mkulima Mbunifu ni wa mawasiliano ya wakulima unaotekele Mpangilio Jeffrey Mirumbe 255 678 491 607. jarida huru kwa jamii zwa na Biovision www biovision ch kwa Zenith Media Ltd. Mhariri Msaidizi Flora Laanyuni, ya wakulima Afrika ushirikiano na Sustainable Agriculture Tanza Mhariri Ayubu S Nnko. Mashariki Jarida hili linae nia SAT www kilimo org Morogoro Anuani Mkulima Mbunifu. neza habari za kilimo hai Jarida hili linasambazwa kwa wakulima bila malipo Sakina Majengo road Elerai Construction. na kuruhusu majadiliano Mkulima Mbunifu linafadhiliwa na Biovision www block S L P 14402 Arusha Tanzania. biovision Ujumbe Mfupi Pekee 0785 496 036 0766, katika nyanja zote za kilimo ende 841 366. levu Jarida hili linatayarishwa Wachapishaji African Insect Science for Food and. Piga Simu 0717 266 007 0785 133 005, kila mwezi na Mkulima Mbunifu Health icipe S L P 30772 00100 Nairobi KENYA .
Barua pepe info mkulimambunifu org , Simu 254 20 863 2000 icipe icipe org www icipe . Arusha ni moja wapo ya mradi www mkulimambunifu org. Toleo la 78 Machi 2019, Kuku chotara wanahitaji chanjo kwa utaratibu maalumu. Ufugaji wa kuku wa kienyeji chotara ni, ufugaji ambao hujumuisha muunganiko. au mchanganyiko wa aina mbili tofauti za, Patrick Jonathan. Kuku chotara wana faida nyingi sana, kwa mkulima ikiwa ni pamoja na.
ustahimilivu wa magonjwa hivyo, kupunguza gharama za kutibu . Utagaji mkubwa wa mayai mengi, mpaka kufikia 240 kwa mwaka kama. ukiwalisha vizuri endapo watalishwa, Halikadhalika kuku hawa wanakua. haraka na wana uwezo wa kufikisha, mpaka kilo tatu 3 kwa muda wa miezi Matunzo ya uhakika na chanjo kwa wakati ni muhimu kwa kuku. mitatu na hutumika kwa ajili ya kuku wa, nyama au wa mayai Utaratibu wa kinga za magonjwa kwenye kuku chotara.
Ufugaji rahisi wa kibiashara Siku Aina ya chanjo, Kama utahitaji kufuga kuku chotara. kibiashara usimwachie kuku kuhatamia, Siku ya 1 Mahepe Mareks Disease . mayai kwani unampotezea muda wa Siku ya 3 Mdondo Kideri Newcastle disease . Siku ya 10 Gumboro, Kusanya mayai na weka kwenye. mashine ya kutotolea vifaranga Siku ya 18 Gumboro, Ukitaka kupata faida kubwa usinunue Siku ya 21 Mdondo Kideri Newcastle disease . chakula bali tengeneza chakula cha, kulishia kuku mwenyewa kwani bei za Siku ya 21 Ndui Fowl pox .
vyakula mara nyingi huwa juu sana Homa ya matumbo Fowl typhoid . Wiki ya 12, Hatua za ufugaji kutumia mashine za kutotoleshea Usichanganye maji ya chanjo na. Ili kufanya ufugaji wenye ufanisi kwa mayai au unaweza kuwatumia kuku vitamini au glukosi. kuku chotara hakikisha unafanya mambo wa kienyeji kuhatamia mayayi hayo Chanjo ifanyike wakati wa jioni au. yafuatayo Baada ya wiki tatu yaani siku asubuhi Chanjo isifanyike wakati. Andaa banda lako ambalo linafaa 21 vifaranga watakuwa tayari wa mchana kamwe . kwa matumizi ya ufugaji wa kuku kutotolewa kwa kutumia matetea Hakikisha huchanji kuku wagonjwa. kulingana na wingi wa kuku ya kuku wa kienyeji au mashine ya bali wenye afya . unaohitajia kufuga banda la kuku kutotolesha vifaranga kwa ajili ya Ukishachanja maji na chanjo kuku. linatakiwa liwe linapitisha hewa ya matunzo mpaka wakiwa wakubwa wanywe maji hayo kwa muda wa. kutosha Vifaranga vikishakuwa tayari chanjo masaa mawili tu . Tafuta kuku wa kienyeji matetea muhimu inahitajika ili kuzuia vifo na Baada ya masaa mawili mwaga. majike na jogoo la kisasa aina yoyote milipuko ya magonjwa mbalimbali maji na osha vyombo vya maji na. ile ambayo inafaa au unahitaji kisha Vifaranga kwa muda wa wiki tatu uweke maji safi yaliyochanganywa. wachanganye kuku wa kienyeji na hadi nne wanahitaji joto la kutosha na vitamini . kwa ajili ya ukuaji afya njema Tumia vyombo vya plastiki wakati. jogoo wa kisasa katika banda moja , wa kuchanganya na kuwapa kuku. Hii itafanya uweze kupata mayai Namna ya kufanya, maji ya chanjo. yenye mchanganyiko wa kuku Siku ya kwanza hadi siku ya tatu. Wanyime kuku maji kwa masaa, Wakati wa kutotolesha kutotolesha vifaranga wapatiwe glukosi na siku. mawili kabla ya kuwapa kuku maji, mayai ambayo umeyapata kutokana ya 1 hadi ya 5 vifaranga wapewe.
ya chanjo , na mchanganyiko huo unaweza vitamini . Weka kumbukumbu za chanjo, uliyotumia ikiwemo toleo la. Picha MkM, chanjo batch number , Vifaranga wapewe dawa ya kuzuia. ugonjwa wa kuharisha damu, cocidiosis kwa muda wa siku tatu. mfululizo mara wafikishapo umri, wa siku saba , Vifaranga wapewe dawa ya minyoo.
wafikishapo umri wa miezi miwili, na baada ya hapo wapewe dawa ya. minyoo kila baada ya miezi mitatu , Unaweza ukawasiliana na Dkt Linus. Kuku chotara wananafasi kubwa ya kumuongezea mfugaji pato simu 255 756 663 247. Toleo la 78 Machi 2019, Ni muhimu kwa wakulima kuweka makingo msimu huu wa mvua. Madhumuni mwakubwa ya kutengeneza, makingo shambani ni pamoja na kugawa. au kufupisha urefu wa mteremko , Flora Laanyuni, Katika kipindi hiki ambacho hutarajiwa.
kuwa na mvua nyingi katika maeneo, mbalimbali ya nchi ni vyema wakulima. wakahakikisha wanaweka makingo ya, kutosha ili kuzuia mmomonyoko wa. udongo unaosababishwa na maji mengi, Madhumuni makubwa ya. kutengeneza makingo shambani ni Weka makingo kwa kufuata vipimo kulingana na eneo lako. pamoja na kugawa au kufupisha urefu level Asilimia ya mteremko hutumika husaidia kujenga tuta linalotumika. wa mteremko kupata nafasi kati ya makingo kupanda miti au majani ya malisho . Kupanda kulima na kupalilia kwa Nafasi kati ya makingo Makingo ya fanya chini. kukinga mteremko peke yake haviwezi yanapendekezwa zaidi kwenye. kuzuia mmomonyoko wa udongo Kwa ujumla nafasi kati ya makingo. miteremko ya asilimia 5 hadi 12 kwa, hutegemea hali ya udongo mteremko. Kwa nini ni muhimu kuwa na makingo udongo unaomomonyoka na asilimia 8. wa shamba na kiasi cha mvua, Makingo yanahitajika sana kwenye hadi 20 kwa udongo usiomomonyoka.
inayonyesha katika eneo hilo , mashamba yaliyopo kwenye miteremko kwa urahisi . Aidha utafiti unaonesha kuwa , yenye udongo unaomomonyoka kwa Kina cha sentimita 45 na upana wa. kushuka kwa mteremko kwa kiasi, urahisi ambapo njia za kawaida za sentimita 45 vinapendekezwa kwa. cha mita 1 5 kwa mteremko mkali na, matayarisho ya mashamba haziwezi makingo ya fanya chini . mita 2 0 kwa mteremko wa wastani, kuzuia mmomonyoko wa udongo Ni muhimu kuendeleza au.
zaweza kutumika na kipimo husika, Makingo hutumika kupunguza au kutobadilisha kina na upana kutoka. pia kutumika huku upimaji ukifanyika, kuzuia kabisa udongo wa juu ambao sehemu moja hadi nyingine ili. pembeni mwa shamba kuelekea, hutengenezwa kwa chakula cha kupunguza athari ya maji mengi. mimea usichukuliwe na maji Makingo kukusanyika sehemu moja na kuvunja. Hata hivyo upimaji hufanyika, yakiwekwa shambani husaidia kingo . kuanzia juu ya shamba kuelekea chini, kuhifadhi udongo rutuba na maji ya shamba na mambo hutumika kwa Kutunza na kuimarisha makingo.
Wakati unaofaa kutengeneza Makingo ajili ya kuweka alama na alama hizi Ili kuimarisha na kudumisha makingo . Wakati wote wa kiangazi unafaa kwa ndizo zitakazotumika kwa ajili ya ni muhimu kuzingatia upandaji miti na. shughuli ya upimaji na uchimbaji wa kuweka makingo majani kama vile inavyoshauriwa na. makingo na mara nyingi wakulima Upimaji wa makingo wataalamu . wengi hufanya kazi ya kuweka makingo Mizizi ya miti na majani huushika. Baada ya kupima nafasi kati ya makingo, mara tu shughuli za uvunaji zinapoisha udongo na kuzuia usichukuliwe na. na baada ya kuamua aina ya makingo, Shughuli za uchimbaji wa makingo maji hasa wakati wa mvua nyingi . yanayofaa katika shamba lako sasa, inahitaji ziende sambamba kabisa na Kwa kufuata njia hii makingo. upimaji wa makingo yenyewe hutakiwa, shughuli za utayarishaji wa shamba huimarishwa na kufanya kudumu. kwa ajili ya msimu mwingine wa kilimo kwa muda mrefu Licha ya kuimarisha. Kwa kutegemeana na hali ya, unaofuata makingomiti na majani yaliyopandwa.
mteremko aina ya udongo na kiasi, juu ya makingo yanaweza kutumika. Hatua za utengenezaji wa makingo cha mvua katika eneo husika makingo. kwa malisho kuni na kurutubisha, Kama ilivyo kwa shughuli zingine yanayomwaga maji au yasiyomwaga. za kilimo wakati wa uchimbaji na maji ndiyo yanayotumika . Ili kupata makingo imara na malisho, utengenezaji wa makingo kuna hatua Katika maeneo yenye mvua za. ya kutosha mistari miwili ya majani ya, stahiki ambazo ni lazima mkulima wastani na udongo unaonyonya maji. tembo au Guatemala ipandwe juu ya, kuzifuata ili kuweka makingo bora na kwa urahisi makingo yasiyomwaga.
kingo katika hali ya mshazari , imara maji hutumika zaidi . Majani ya jamii ya mikunde yanaweza, Makingo yanayomwaga maji. Kupima mteremko wa shamba kupandwa pamoja na majani ya tembo. hutumika zaidi katika maeneo au, au Guatemala na miti inayofaa kwa. Kabla ya kuanza upimaji wa makingo sehemu zenye mvua nyingi na udongo. kilimo mseto ipandwe kwa kiasi cha, ni muhimu kuchunguza na kupima usionyonya maji kwa urahisi . sentimita 50 kutoka mstari wa majani , mteremko wa shamba au eneo Upimaji wa makingo vilevile huanzia.
Utunzwaji na uimarishaji wa, linalofanyiwa hifadhi ya ardhi juu kabisa ya shamba ambapo mambo. makingo ufanywe kwa kujaza, Mteremko wa shamba huchangia zinazoonesha nafasi kati ya makingo. udongo na kupanda majani sehemu, kwa kiasi kikubwa mmomonyoko wa hutumika kama mahali pa kuanzia . zilizobomolewa na maji , udongo unaosababishwa na maji Uchimbaji wa makingo Ni muhimu shughuli za kurepea na. Mmomonyoko wa udongo Kazi ya uchimbaji wa makingo kuimarisha makingo zifanyike mara. Toleo la 78 Machi 2019 Utayarishaji wa mboji 2 Kuku chotara 3 Madhara ya gugu karoti 8 Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki MkM S L P 14402 Arusha Simu 0717 266 007 0785 133 005 Barua pepe info mkulimambunifu org www mkulimambunifu org

Related Books

Development of Deceleration based Runway Friction

Development of Deceleration based Runway Friction

a slower walk behind CFME like the Findlay Irvine micro GripTester mGT or ASFT T2Go These friction testers operate under the same fixed slip principle as the full size Mk2 GT but at much lower speeds i e 1 to 3 mph While these walk behind devices operate at lower more convenient

Below is a list of our current course offering

Below is a list of our current course offering

Below is a list of our current course offering We are adding new courses every month Admin Secretarial HR o Business Plan Writing CertificationBusiness Letter Writing Certification o Business Report Writing CertificationDeveloping and Implementing New Admin Systems Certification o Organisation CertificationFront Desk Safety and Security Certification o Level 2 Human Resources Certification

An Overview of Servlet amp JSP Technology Java

An Overview of Servlet amp JSP Technology Java

JSP vs JSF 2 Servlets and JSP JavaServer Pages Original widely deployed standard Used by google com ebay com walmart com and thousands of other popular sites Low level by today s standards

Master Course Packet Coding Dojo

Master Course Packet Coding Dojo

Master Course Packet Onsite Online Bootcamps 3 Full Stack Curriculum 4500 grads to date 60k 125k avg alumni salary Over 4 500 alumni hired by tech companies worldwide As of Feb 2018 alumni data Onsite Bootcamp Your career as a sotware deeloper starts on your rst day in class Within 14 weeks well turn you into a sel sucient ersatile deeloper who has all the critical skills to hae a

Technical Information Bulletin

Technical Information Bulletin

Technical Information Bulletin Rev U 12 23 05 How to Tune a Q Jet basic by Lars Grimsrud Colorado Corvette Crazies CCC The Ultimate Corvette Tuning amp Beer Drinking Fraternity Lafayette CO This tech paper will discuss basic set up and tuning of QuadraJet carbs for optimum street performance and drivability The procedure outlined here differs from other I have seen and is based on my

The Dirty Harry Problem Carl B Klockars Annals of the

The Dirty Harry Problem Carl B Klockars Annals of the

ends arrangement Dirty Harry prob lems vanish At this first level how ever I suspect that no one could exclude the core scene of Dirty Harry from the class of Dirty Harry problems There is no question that saving the life of an innocent victim of kidnapping is a good thing nor that grinding the bullet

Section 1 Weber Carburetors Float Level DGV DCOE

Section 1 Weber Carburetors Float Level DGV DCOE

extra cost twice the price setting up and manifold efficiency However contrary to popular opinion twin carb set ups do not go out of tune sync quicker than a single Once correctly set up there s no difference whatso ever That s for SUs The much hallowed Weber is effectively a twin carb in itself having two chokes in a common

VESIT Connect NEWSLETTER ISSUE 26 NOVEMBER 2017

VESIT Connect NEWSLETTER ISSUE 26 NOVEMBER 2017

Various team building and conflict man agement exercises were also performed in the form of small games or workshops which gave a fun spin to otherwise dull seeming activities The last day included a mock personal interview and a group discussion by professors of IIM who after a grueling session gave some important pointers to all the students about how they should present themselves in an

THE JOURNEY OF A FREEMASON freemasonrytoday com

THE JOURNEY OF A FREEMASON freemasonrytoday com

Purchase Order Terms and onditions

Purchase Order Terms and onditions

PHSA Purchase Order Terms and onditions Version 1 0 Page 4 of 6 The Supplier will maintain automobile liability insurance on all vehicles owned leased rented or borrowed the Supplier uses in the performance of this Agreement in an amount of not less than 2 000 000 per occurrence 14 Indemnity The Supplier will defend indemnify and hold

Copyright material from www palgraveconnect com licensed

Copyright material from www palgraveconnect com licensed

following three items First my copy editor has kindly worked with me trying to render the text of this book more gender neutral We have found however that any such effort would make my already strained English even harder to read Besides as I have emphasised in the Introduction the dialectic of capital copies the narrative of capital