Jarida La Kilimo Endelevu Afrika Mashariki Habari Njema -Books Pdf

Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki Habari njema
17 Nov 2019 | 121 views | 0 downloads | 8 Pages | 1.95 MB

Share Pdf : Jarida La Kilimo Endelevu Afrika Mashariki Habari Njema

Download and Preview : Jarida La Kilimo Endelevu Afrika Mashariki Habari Njema


Report CopyRight/DMCA Form For : Jarida La Kilimo Endelevu Afrika Mashariki Habari NjemaTranscription

Toleo la 16 Januari 2014,Fuga kondoo kisasa uboreshe pato lako. Katika eneo letu idadi ya wafugaji,wa kondoo imepungua sana wakati. idadi ya wanohitaji imeongezeka hasa,raia wa kigeni na bei iko juu Naomba. maelezo namna ya ufugaji bora wa,kondoo Ester Qwang msomaji wa. MkM Babati,Msuya Amani,Kwa siku za nyuma jumla ya idadi.
ya kondoo wanaofugwa hapa nchini,Tanzania ilikaribiana kuwa sawa na. idadi ya mbuzi nchini kote Kwa sasa ,idadi ya kondoo imepungua kwa. kiasi kikubwa ukilinganisha na idadi, Kwa kawaida kondoo hupenda kujilisha kwenye makundi. ya mbuzi Hii imetokana na wafu , gaji kuhamishia mapenzi yao kwenye kuezekwa vizuri skwea mita 2 Kuchunga. ufugaji wa mbuzi , Kwa kawaida kondoo wanapenda, Kama walivyo mbuzi kondoo pia kufanya malisho kuwa safi na kupun kulisha kwa kula ardhini lakini.
wanaweza kufugwa na wafugaji guza uharibifu wanakula aina tofauti za majani . wadogo wadogo na kwenye eneo dogo , Kondoo na ng ombe wanakuwa na. ambalo hutumika kwa kilimo pia kondoo kutembea Tenga walau skwea muunganiko na kundi zuri la kujilisha. Kinachotakiwa ni namna ya kuongeza mita 3 kwa kila kondoo Kila mwana kwa kula majani yaliyomo ardhini Hii. mazao na kuwa na ufanisi Kwa kuz kondoo anahitaji eneo la kutosha kwa inatokana na kuwa wanyama hawa. ingatia yafuatayo mfugaji wa kondoo ajili ya kukimbia na kucheza hushambuliwa na wadudu na magon . ataweza kuwa na ufanisi mzuri , , jwa tofauti na hakuna anayedhuru. jika kuwepo wakati wote mwingine Kondoo hawaogopi mvua. Banda la kondoo , kama walivyo mbuzi lakini kusimama. Banda na malazi ni lazima yawe ama kwa muda kwa ajili ya kondoo kwenye matope husababisha ugonjwa. mazuri na lenye nafasi ya kupitisha wenye mimba kuzalia na kwa ajili wa miguu na kuoza kwato . hewa vizuri linaloweza kuwakinga ya wanakondoo Pia kwa kondoo Ili kuepuka kulisha kupitiliza katika. mifugo dhidi ya mvua jua na upepo wanaoumwa eneo moja jambo linaloweza kuten . Sakafu iliyo nyanyuka ni nzuri zaidi , , geneza na kusababisha vimelea usi . Lakini sehemu ya mbele ya banda iwe unaweza kuwa rahisi zaidi kwa kuwa waache kondoo wako kula sehemu. na uwazi Inashauriwa sakafu iwe na kondoo hawaruki wala kupanda juu moja kwa muda mrefu zaidi ya wiki 2 . mwinuko kidogo Kila kipande cha uwanda kinat , Virutubisho kwa ajili ya kondoo akiwa kuachwa bila kulishiwa kondoo.
Usafi Kondoo hutumia muda mwingi wakati au mbuzi kwa kipindi cha wiki sita . Ni lazima kinyesi kiondolewe kila siku, wa mchana kula majani na baadaye . ili kuweka banda katika hali ya usafi, hucheua na kutafuna Wanapendelea vya uwanda kwa ajili ya kuchungia. na ukavu kila wakati Hii itasaidiazaidi kula majani na vichaka ambavyo kwa mzunguko . kuzuia magonjwa ambayo hushambu vina mchanganyiko wa madawa ya Hekari moja yenye malisho mazuri ni. lia kondoo mara kwa mara kama vile asili Wanakondoo hujifunza kutoka lazima itoe malisho ya kutosha walau. Pneumonia na kuoza kwato pamoja kwa mama zao ni nini chakula Kama kwa kondoo wanne na watoto wao . na kupunguza uwezekano wa kuwepo unawaanzishia aina mpya ya chakula Gawanya eneo unalohitaji kwa ajili ya. wadudu nyemelezi lisha kwa kiasi kidogo na uweke kondoo wako mara nne kisha ulishe. Kwa kondoo wanaochungwa wakati kwenye sehemu walikozoea kulishiwa kwa mzunguko katika eneo hilo . wa mchana banda la kawaida lili Kuwa makini na ukumbuke kuwa Kwenye eneo lenye malisho duni. loezekwa linatosha kuwasitiri kondoowanyama wanaopata lishe duni ni unahitaji kuwapatia kondoo eneo. nyakati za usiku Tenga walau skwea rahisi kushambuliwa na magonjwa kubwa zaidi na pengine kuwaongezea. mita 1 5 kwa kila mnyama ili kuzui na hawana uwezo wa kukabiliana chakula chenye virutubisho . uwezekano wa magonjwa yanayoto na vimelea vya magonjwa Kondoo Tumia majani ya malisho yanayozidi. kana na msongamano wakati wa mvua kutengeneza hay kwa. jike asiyelishwa vizuri hawezi kubeba ajili ya kulishia wakati wa kiangazi . Kwa kondoo wanaolishwa huwa kidogo kiasi cha kufanya watoto. ndani inatakiwa wake kuwa dhaifu na kukua kwa Itaendelea toleo lijalo Feb 2014. , Mkulima Mbunifu ni jarida huru kwa jamii ya wakulima Sustainable Agriculture Tanzania SAT Mpangilio I A V k 254 720 419 584. Afrika Mashariki Jarida hili linaeneza habari za www kilimo org Morogoro Wahariri Ayubu S Nnko John Cheburet . kilimo hai na kuruhusu Jarida hili linasambazwa kwa wakulima Caroline Nyakundi. majadiliano katika nyanja bila malipo Anuani Mkulima Mbunifu. zote za kilimo endelevu Mkulima Mbunifu linafadhiliwa na Biovision Makongoro Street S L P 14402 Arusha . Jarida hili linatayarishwa www biovision ch Swiss Development. Agency SDC www swiss corporation , kila mwezi na Mkulima Ujumbe Mfupi Pekee 0785 496 036 0753. admin ch na USAID TAPP www fintrac com ,Mbunifu Arusha ni moja 963 165.
Wachapishaji African Insect Science for Food,wapo ya mradi wa mawasiliano ya. and Health icipe S L P 30772 00100 Piga Simu 0717 266 007 0785 133 005. wakulima unaotekelezwa na Biovision Nairobi KENYA Simu 254 20 863 2000 Barua pepe info mkulimambunifu org . www biovision ch kwa ushirikiano na icipe icipe org www icipe org www mkulimambunifu org. Toleo la 16 Januari 2014,Dhibiti visumbufu vya mimea kiasili. Kilimo hai ni njia iliyo sahihi zaidi lipenda Hii ni kwa sababu wata . kwa sababu huipa dunia uwezo wa likosa kwa msimu unaofuata Mfano . kuwa na afya njema Hii inamaani msimu huu ukiotesha kabichi msimu. sha mimea mazingira wanyama na unaofuata otesha karoti Wadudu. binadamu wanaoshambulia kabichi hawasham , bulii karoti Hivyo wadudu wengi wa. Ayubu Nnko kabichi watakufa katika msimu wa, Kilimo hai ni mfumo usiotumia kemi c Usafi wa shamba. kali za viwandani katika uzalishaji Wadudu walio wengi hukamilisha. Hali hii hufanya mazingira yetu na mzunguko wao wa maisha katika. vyakula kuwa salama zaidi Kuna mabaki ya mazao baada ya kuvuna . sababu nyingi zinazotufanya tufikirie Bangi mwitu Hivyo ni vyema mabaki ya mazao. kutumia mbinu za kilimo hai yakafukiwa ardhini au kutumika. Miongoni mwa sababu hizo ni katika kutengeneza mbolea vunde . pamoja na Mazingira, Hii ni mbinu ya kuweka vikwazo.
Wakulima wadogo walio wengi vipingamizi au vizuizi vya kuzuia. wanashindwa kumudu gharama za wadudu ,pembejeo hizo Mfano . , , , kuwa kubwa huku eneo linalofaa ya miti kwa ajili ya wadudu wanaot . kwa kilimo likizidi kupungua Ni ambaa ,wazi kuwa tunapaswa kuangalia ni . mfumo gani tutumie ili kukidhi mahi , ,taji ya ongezeko kubwa la watu Njia. kuzuia wadudu wanaotoboa matunda ,moja ni kuwa na mashamba ambayo Maji moto.
yataweza kuzalisha chakula kingi na , , kwa muda mrefu ili kutosheleza mahi kama vivutio vya kuvuta wadudu. taji hayo Njia hii ni kilimo hai kwa marafiki watakaoshambulia wadudu. kuwa hufanya udongo kuwa na rutuba waharibifu ,muda wote . , , pamoja na mazao Wadudu wengi, Katika maeneo mengi nchini Tanzania hawapendi harufu kali mfano mibangi. na duniani kwa ujumla kilimo kime mwitu Marigold na kadhalika . kuwa chanzo cha uharibifu wa mazin , gira Madawa na mbolea za viwandani Kutumia wanyama wadudu. vinapotumika mashambani vinaha marafiki, ribu mazingira na hata kuhatarisha pilipili kali Mbinu hii ni ya asili na ilikuwepo.
maisha ya watu na wanyama Nchi tangu zamani Kuna aina ya wadudu . zilizoendelea hawatumii tena madawa bali za asili zinazotumika katika kuzuia wanyama ambao wameumbwa kujili . ya viwandani kwa wingi katika visumbufu vya mimea Mbinu hizo ni sha kwa kupitia wadudu wengine . mashamba yao ingawa wana dawa , Jambo lililo muhimu hapa ni. nyingi wanazoendelea kutengeneza Mbinu za kilimo kuweka mazingira ambayo yatawa . , Hizi ni mbinu za kawaida zinazotu vutia wanyama wadudu hao marafiki. tukila vitu vingi visivyohitajika mika ili kuzuia wadudu na magonjwa kuwemo shambani Marafiki hao. mwilini Matokeo yake ni kukumbwa ambazo hazihitaji vifaa au mbinu za ni pamoja na ndege chura nyoka . na magonjwa hatari kama vile kensa ziada buibui mijusi vunjajungu nyigu na. pumu shinikizo la damu kisukari na Mbinu itakayotumika itasababisha wadudu kobe . kadhalika mazingira kutoruhusu kukamilika kwa, mzungunguko wa maisha ya wadudu Dawa za asili. Zifuatazo ni nguzo za kilimo hai ukuaji wao na pia kuwanyima chakula Hizi ni dawa zinazotokana na mimea. zinazoweza kusaidia kupambana Mbinu hizi ni kama ambayo hupatikana katika maeneo ya. na visumbufu vya mazao a Muda wa kuotesha wakulima Matumizi ya dawa hizi ni. , Kuc , , njia moja wapo ya kuepuka matu , pale wadudu wanapowahi kujitokeza mizi ya dawa za viwandani ambazo. matuta ya kina kirefu wakati wa msimu Kwa njia hii wadudu huathiri udongo mazingira afya za. , watakufa kwa kukosa chakula binadamu na wanyama .
mazuri ya mimea na wanyama Mimea , , , Ni muhimu kutengeneza dawa. inayosaidiana na mzunguko wa mazao wanaochelewa kujitokeza wakati hizi vizuri na kutumiwa inavyo . , , takiwa kwani zisipotengenezwa na, kulitatua kwa njia za asili mimea itakuwa imekuwa mikubwa kutumiwa vizuri zinaweza zisifanye. , kiasi kwamba wadudu watashindwa kazi ipasavyo Hivyo kuwa vigumu. visumbufu kwa njia za asilia kufanya mashambulizi hivyo wadudu kuwashawishi wakulima kuzitumia . wengi hufa Inashauriwa kutumia dawa hizi kama, kutunza kumbukumbu b Kubadili mazao kinga kabla mimea hayajashamiri Ifa . , Zoezi la kubadilisha mazao shambani hamike kuwa dawa za asili zinafanya.
Mbinu za kilimo hai dhidi ya visum kutoka msimu mmoja kwenda mwing kazi taratibu lakini zikianza kutumika. bufu vya mimea ine husaidia kutoruhusu wadudu na, Katika kilimo hai kuna mbinu mbalim magonjwa kushambulia zao wanalo Inaendelea Uk 6. Toleo la 16 Januari 2014,Kuweka kumbukumbu ni muhimu kwa ufu. Inaendelea kutoka toleo lililopita Jedwali 3 Kumbukumbu za chakula. Katika jedwali hili kutakua na kumbukumbu za chakula cha kuku kila. Huu ni mwendelezo wa taarifa kinapochanganywa Hivyo basi ni vizuri kuandika jedwali jipya unapochang . muhimu tulizoanza katika toleo anya chakula Pia andika kulingana na makundi ya kuku ulio nao . la Novemba mwaka jana juu ya Tarehe Aina ya chakula Kiasi kg kg Jumla. umuhimu wa kutunza kumbukumbu Tsh ,katika ufugaji wa kuku . 01 01 2014 Mashudu 10 250 2 500,Ayubu Nnko na Mwangoko Milamo. Pumba ya mahindi 20 200 4 000,Katika toleo lililopita tuligusia namna.
Chenga za nafaka 10 600 6 000,ya ufugaji kibiashara namna ya kufa . hamu gharama na jinsi ya kutunza Dagaa 5 1800 9 000. kumbukumbu Katika toleo hili , tunahitimisha namna ya utunzaji wa Chokaa 2 5 150 375. kumbukumbu Na hapa tunaanza na,jedwali namba 3 Mifupa 2 500 1 000. Jumla ya gharama katika jedwali hili Premix 0 25 1500 375. hamishia katika jedwali la mapato na, matumizi Katika upande wa matu Chumvi 0 25 600 150. Kwa wafugaji ambao wananunua Usafiri 1 500,chakula kilicho changanywa kabisa .
Bei ya mashineni kwa 50 20 1 000,hao wataandika gharama katika. jedwali la mapato na matumizi moja kuchanganya chakula. kwa moja upande wa matumizi Jumla 50 25 900, Manufaa yatokanayo na Zingatia kuwa hii si gharama halisi kwa kuwa gharama hutofautiana kulingana. kumbukumbu hizi na mahali ulipo , fadhika kwa muda mrefu . chakula kinahitajika na kwa muda upi ni bora kwa kuku wako . gani , Ni muhimu kuwa mwangalifu dhidi, 8 , kununua chakula kwa wingi mfano ya dawa za kuzuia wadudu kwenye. hununuliwa kwa bei ndogo na wakati mahindi pumba na mashudu bei mahindi kwani yakitumika kabla ya. gani huwa juu inapokua chini na inawezekana kuhi muda wake kwisha itawadhuru kuku . Ni muhimu kuzingatia utunzaji wa vifaranga, Kwa karne na miaka mingi ufugaji yokuwa na vimelea .
wa kuku imekuwa ni kazi muhimu na , inayokubalika katika jamii nyingi Ni chanjo ya mahepe mareks siku ya. kazi isiyohitaji gharama kubwa sana kwanza ,ambayo imekuwa na mafanikio kwa . kiasi kikubwa kwa wanaiofanya kibi dhidi ya ugonjwa wa kideri . ashara 9 , , Tatizo ambalo limekuwa sugu na wachanjwe dhidi ya ugonjwa wa. kusababisha hasara kwa wafugaji walio gumboro ,wengi ni kutofahamu namna bora ya . kuwatunza vifaranga kuanzia siku ya ya ishirini na moja . kwanza wanapoanguliwa hadi kuwa , ,kuku wakubwa Hali hii imekuwa chanjo ya gumboro.
ikiwasababishia wafugaji hasara na , kuwakatisha tamaa vifaranga wako wanapata chanjo ya. Hii inatokana na wafugaji kuzingatia ndui , kuwa na banda na chakula tu bila Vifaranga wanapotunzwa vizuri kama Kwa kuzingatia mtiririko huo . kuzingatia aina nyingine ya matunzo hawa juu hukua vizuri na kuku wenye utakuwa na uhakika kuwa kuku. muhimu yanayohitajika kwa ajili afya kama hawa chini wako ni salama Watakuwa bila tatizo . ya kuwafanya vifaranga waishi na jambo ambalo litakupa uhakika wa. kukua wakiwa na afya kuwa na mazao bora na hatimaye. Haya ni baadhi ya mambo muhimu kupata faida , kuanzia siku ya kwanza ili vifaranga Pamoja na hayo hakikisha kuwa. wako wasipate madhara na hatimaye unazingatia lishe bora Hii itasaidia. kuwapa kuku afya njema na kuzali , ada ya kuanguliwa vifa sha kwa kiwango kinachotakiwa . ranga wawekwe sehemu yenye joto Kamwe usiwape kuku vyakula vilivyo. kwa wastani unaohitajika oza Hii inaweza kusababisha madhara. , makubwa kwa kuku na kusababishia,owaweka vifaranga ni kavu na isi hasara .
Toleo la 16 Januari 2014,ugaji wa kuku, Ili kujua kama umepata faida ama utaweza kupanga bei ya mazao yako. Jedwali hili linaonesha idadi ya utagaji , ya kuku Na hapo itakusaidia kujibu. wa mayai na matumizi yake iwe kwa Faida ni mapato makubwa kushida maswali haya . biashara kuhatamiwa kuharibika matumizi gharama , ama kutumika kama chakula Jedwali Hasara ni matumizi makubwa kush Q . O, hili litakua la kila mwezi peke yake inda mapato 8 . Hivyo utakua na majedwali 12 kwa Mapato Matumizi Faida . mwaka Jumla ya mapato 54 800 kiasi gani unapata kwa siku wiki . Jumla ya matumizi 44 000 mwezi mwaka , Hii itakusaidia yafuatayo .
Faida 10 800, Ni nini umuhimu wa hesabu hizi unaendeshwa kwa hasara au faida na. wako kwa kila siku wiki na kwa kila, Kwa kujua gharama za uendeshaji kwa kiasi gani . mapema kwa kuangalia ongezeko ama Tarehe Jumla Yaliyoliwa Yaliyo Yaliyoat Yaliyobaki. kupunguza kwa utagaji vunjika uzwa amiwa, 1 3 3, taga Mfano una kuku 50 wanao . taga ni kuku 47 kwa siku kuku 3 2 5 8, 3 6 14, Mapato na matumizi 4 5 1 18. Mapato ni kiasi ambacho mtu hupata, baada ya kuuza kitu fulani au kutokana 5 7 15 10.
na malipo ya kazi fulani Hivyo kwa 6 6 13 3, mfugaji wa kuku mapato yanaweza. kutokana na kuuza kuku vifaranga 7 6 9, mayai mbolea watu kuja kujifunza na 8 5 14. kadhalika , Matumizi ni gharama ambazo 9 4 18, mfugaji anatumia kuendeleza mradi 1 5 1 22. wake Kuna matumizi mengi mfano , 11 7 29, manunuzi ya kuku vifaranga chakula . vifaa dawa kulipa mishahara kwa, wafanyakazi usafiri na kadhalika .
Mfano bei ya yai la kienyeji ni TSh 400 Jumla 174 7 145 22 . , Kuku ni kila kitu kwangu Ni shu wa siku moja Bei hiyo hutegemeana. ghuli ninayoifanya kwa nia na uan na aina ya kuku . galifu mkubwa Ndiyo ajira yangu , ndiyo maisha yangu kinachotakiwa ni kuzingatia kanuni za. Watu walio wengi katika jamii huchu ufugaji bora kuangalia soko linahitaji. kulia ufugaji wa kuku kama kazi ya nini na kuweza kufanyia kazi mahitaji. ziada Mara nyingi huchukuliwa kama hayo , kazi ambayo mtu hawezi kuitegemea Mfugaji huyu amekuwa akifuatilia na. kwa ajili ya kipato au kuwa ajira kutafuta aina bora zaidi za kuku kutoka. Mtazamo huu ni tofauti kwa Bw nchi mbalimbali Kwa sasa anafuga na. , , kuzalisha zaidi kuku wanaojulikana, Mkoani Arusha Mfugaji huyu wa kama Kapro Israel Black astrolop. siku nyingi anaeleza kuwa kazi hii R , U , V X , ameifanya kwa takribani miaka kumi Aina zote hizi ni chotara na zimekuwa.
Ombeni Urio na ufanisi mkubwa katika nyanja ya, na imekuwa na faida kubwa Hii ni. kazi anayoitegemea kumpatia kipato sha kutotoa vifaranga wengi zaidi na ufugaji wa kuku . cha kila siku na kumuwezesha kuishi kumudu soko kwa wakati huo Pamoja na mafanikio makubwa. maisha mazuri sawa na watu wanao Mradi huu ulimwezesha kuendelea ambayo mfugaji huyu amepata. fanya kazi na biashara nyinginezo na masomo ya kidato cha tano na sita anasema kuwa changamoto iliyopo ni. kisha chuo kikuu Baada ya kuhitimu kukosekana kwa umeme wa uhakika . kufuga katika mazingira ya kawaida elimu ya masoko katika chuo kikuu jambo ambalo mara nyingine husa . kabisa baada ya kumaliza kidato hakuona haja ya kuhangaika kutafuta babisha mayai kuharibika wakati wa. cha nne lakini akiwa amedhamiria ajira kama ilivyo kwa vijana wengi bali kutotosha na kusababisha hasara . moyoni kufanya ufugaji wa kuku kibi alijikita zaidi katika ufugaji wa kuku Anatoa wito kwa wafugaji kuhakiki . ashara sha kuwa wanafuata kanuni za ufugaji, Mfugaji huyu ameweza kutanua wigo. Tofauti na ilivyo kwa watu wengine bora ikiwa ni pamoja na kuhakikisha. wa shughuli hii zaidi kiasi cha kuweza, yeye alianza kwa kutotoa vifaranga kuku wanapata chanjo zote wanazos . kuuza vifaranga kwa wastani wa elfu, kwa kutumia kuku kisha kuuza tahili pamoja na lishe kamili . moja mpaka elfu mbili kwa wiki Kifa , Baadaye aliweza kukusanya fedha na ranga kimoja huuza kwa wastani wa Unaweza kuwasiliana na Ombeni.
kununua mashine ambayo ilimuweze shilingi 2 500 3 000 kikiwa na umri Urio kwa simu namba 255 756 641 810. Toleo la 16 Januari 2014, , Nina shamba maeneo ya Bunju Dar. es salaam Ningependa kufuga samaki,kibiashara Maji ya uhakika ni ya. kisima na yana chumvi kiasi Napenda,kupata maelezo zaidi yatakayoniweze . sha kuanza ufugaji huu Angela ,Dar es Salaam ,Ayubu Nnko wanaweza. fugaji wa samaki kama ilivyo shu kuongeza,ghuli nyingine yoyote ya kiuchumi ina kipato.
hitaji usimamizi mzuri ili uweze kuwa kutokana,na faida Mbali na hilo mfugaji wa na ufugaji. samaki anatakiwa kuzingatia vigezo wa samaki,vingi kabla ya kuanza ufugaji Moja katika. ya vigezo hivyo ni soko Si jambo la maeneo yao,busara kuanza shughuli yoyote kabla. haujafanya uchunguzi na kujua kama Ulishaji, kuna mahitaji ya bidhaa unayokusudia Wafugaji walio wengi wamekuwa. kuzalisha Wafugaji wengi wameanzi hawazingatii kanuni za ulishaji wa. sha ufugaji wa samaki lakini wakaishia samaki Kwa kawaida inatakiwa. kupata hasara kutokana na ukosefu wa kuwalisha samaki mara mbili hadi. soko Na wengine wameanguka kuto mara tatu kwa siku . kana na utunzaji mbovu wa mabwawa,ya samaki Aina ya chakula.
Samaki wanaweza kulishwa kwa,Maji kutumia pumba ya mahindi mashudu. ya pamba na alizeti soya mabaki ya, ni kigezo muhimu katika ufugaji wa dagaa Haishauriwi kulisha chakula. samaki Mtiririko wa maji ni njia rahisi kilichoko kwenye mfumo wa vumbi . kwa mfugaji Maji machafu hayatakiwi bali kiwe mabonge madogo madogo . kwa ufugaji wa samaki Wafugaji ni kiwango kinachoshauriwa kitaalamu kwa wastani wa tambi . lazima wasaidiwe na maafisa kilimo basi samaki wanaweza kustahimili na. katika eneo lao kama maji yanayopa kukua vizuri , tika yana ubora kwa ajili ya ufugaji Kwa kawaida samaki hawana magon . wa samaki Kwa wakazi wa Dar es Bwawa jwa mengi sana yanayowashambulia . Salaam inawezekana pia kufuga Bwawa la samaki linahitaji nafasi ila kuna baadhi ya yaliyozoeleka kama. samaki kwenye bwawa endapo maji kubwa ya ardhi yenye mwinuko vile magonjwa ya ukungu fangasi . yana chumvi ya wastani na kwa pamoja na eneo la samaki kukimbilia magonjwa yatokanayo na virusi . Hii ni njia rahisi ya ufugaji endapo pamoja na minyoo . ardhi na maji havina gharama kubwa Samaki wanaposhambuliwa na. Kutoka Uk 3 Eneo kubwa zaidi linaruhusu uzalish fangasi huonekana kwa macho kwa. aji usiohitaji nguvu ya ziada na wenye kuwa huwa na madoa madoa Samaki. Visumbufu vya mimea tija aina ya kambale hushambuliwa zaidi. mapema matokeo yake ni mazuri , kuliko perege , Hivyo ni vizuri kuzitumia kama maeneo yenye udongo wa kichanga Pia unaweza kutambua kuwa samaki. kinga kuliko tiba kama Dar es Salaam mfugaji atalaz ni mgonjwa kwa kuwa huzubaa. imika kuchimba na kuweka karatasi ya sehemu moja kwa muda mrefu . Sifa za dawa za asili nailoni Hii itasaidia kuzuia upotevu Magonjwa kwa samaki pia yanaweza. wa maji pamoja na kuzuia bwawa kutokana na mrundikano kwenye. isiwe na ushindani wa virutubisho na kuporomoka bwawa Hivyo ni muhimu kuwapun . mazao Ni vyema upande mmoja wa bwawa guza kila wanapoongezeka . , , ukawa na kina kirefu kuliko mwing ,maandalizi ya kiteknolojia na isichu .
kue muda mrefu kutengeneza kina cha mita moja na nusu na mwing Tiba iliyozoeleka kwa samaki ni kwa. , ine mita moja Hii itamsaidia mfugaji kuweka chumvi kwenye maji kisha. Mara nyingi dawa hizi hufukuza zaidi kuweza kulihudumia bwawa vizuri kuwatumbukiza samaki unaowaona. wadudu kuliko kuua hata kama ni kuingia na kufanya usafi kuwa ni wagonjwa kisha kuwatoa na. kuwarudisha bwawani , hupatikana bure ila utayarishaji wake Utunzaji wa bwawa. ni lazima upimwe kulingana na Inashauriwa kufanyia bwawa usafi Upatikanaji. gharama zitakazojitokeza kulingana mara kwa mara hasa kwa kuondoa . na mgongano wa mazingira ukilin majani ili kuepusha wadudu kufanya kutoka katika kituo cha kuzalisha na. ganisha na madawa yaliyokwisha makazi na hatimaye wakawadhuru kufuga samaki Kingolwira Morogoro . kutengenezwa samaki Pia ukiacha mimea bwawani Bei ya kifaranga cha Perege ni shilingi. itatumia virutubisho kwa kiasi 50 na Kambale ni shilingi 150 . lengwa tu bila kudhuru viumbe hai , X Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana. marafiki Hivyo kila unapoona uchafu safisha na Bwana Kalinga kwa simu namba 0757. mara moja 891 761 0787 596 798, Toleo la 16 Januari 2014. , Mimi nategemea kulima zao la ufuta ,ila ningependa nilime kwa kilimo.
chenye tija Baada ya kuvuna niwe,na uwezo wa kuchuja mafuta mimi. mwenyewe Naomba msaada wenu,wa kujua namna ya kulima pamoja. na mashine nzuri ya kuchuja mafuta,ya ufuta Mkulima William Msi . Ayubu Nnko Mbegu za ufuta,Zao la ufuta ni moja ya mazao jamii. ya nafaka Zao hili hutumika zaidi,kwa ajili ya uzalishaji wa mafuta kwa.
matumizi ya binadamu Pia makapi,yake huweza kutumika kama chakula. cha mifugo Mbali na uzalishaji wa,mafuta mbegu zake hutumika kwa. kuandaa aina mbalimbali za vitafunwa ,ambavyo huweza kuliwa pamoja na. aina tofauti za vinywaji kulingana na,pendekezo la mtumiaji . Mmea wa zao la ufuta Baadhi ya bidhaa zinazotokana na ufuta. Ardhi hupandwa kwenye nafasi ya sentimita hali inayotakiwa Hakikisha kuwa una. Zao la ufuta hustawi kwenye ardhi 50 kwa 10 mahali salama pa kuhifadhi pamoja na. ya kichanga isiyotuhamisha maji na , , vifaa vya kutosha kuhifadhia kabla ya.
isiwe bondeni Eneo ufuta unapo hadi 3 2 kusindika na kupata mafuta pamoja na. pandwa ni lazima lisafishwe vizuri na , , bidhaa zingine yatokanayo na ufuta . kulimwa ili kulainisha udongo kupandia ufuta ardhi ina rutuba ya . Kupanda kutosha au uweke mipango ya kuru guzi uwapo shambani . Ili kupanda kwa ufanisi unatakiwa tubisha udongo huo kwa kiwango . kuchanganya mchanga kilo saba na kinachotakiwa wako kwa wakati ili kuepuka upotevu . kilo moja ya mbegu za ufuta kisha , , unaweka kwenye kifaa kinachotu kana na miamba kwa ajili ya kukuzia yapo mahali salama kusipokuwa na. mika kupandia Hii itasaidia kuzui Hii inaweza kuwa kwa uwiano wa kilo wanyama waharibifu . upotevu wa mbegu za ufuta kwa kuwa 45 kwa hekta moja Mbolea hii inaweza . , ni ndogo sana kutumika katika wiki ya nne baada ya mbegu tofauti na nafaka nyinginezo . Ni muhimu kupanda mbegu ambazo ufuta kuchipua , , zimetoka kwenye vyanzo vinavyo Kwa kawaida mbegu za ufuta huota madhara pale inapohitajika kufanya. aminika kwa mfano kutoka kwenye baada ya siku 3 au 4 endapo udongo hivyo . mashamba ya kuzalishia mbegu au , kwa wakala walioidhinishwa kusam kua siku 120 sawa na miezi 4 tangu Matumizi ya ufuta.
baza mbegu hizo kupandwa hadi kuvuna , Wakati wa kupanda unapaswa kuz lisha mafuta ambayo hutumika kwa. ingatia mambo muhimu yafuatayo ili Ng oa mimea dhaifu na matumizi ya binadamu . isiyohitajika , 9 , hauriwa kuondoa mimea iliyo geneza aina mbalimbali za vitafunwa . muafaka Hii itasaidia kuepuka dhaifu au iliyozidi shambani Hii ita . ukosefu wa unyevu ambao husaidia saidia mimea itakayobaki kupata viru baada ya kukamua mafuta hutumika. hatua muhimu kama vile kuota kukua tubisho vya kutosha na kukua vizuri kulishia mifugo . na kuchanua na kutoa mbegu , , Kwa maelezo zaidi juu ya kilimo cha ufuta. fanyika kwa wakati muafaka Hii ita na usindikaji wasiliana na Bw Costa kwa. inayopendekezwa Kawaida ufuta saidia uwepo wa ufanisi katika uzal simu namba 255 754 098 902 . ishaji wa ufuta , Q , jafikia kuchanua Pia hakikisha una . ondoa mimea inayoonekana kuwa na, dalili za magonjwa .
Inashauriwa kupata ushauri kutoka, kwa wataalamu wa kilimo walio. karibu na wewe kabla ya kung oa , Hii ni hatua muhimu sana kwa. mkulima ambayo humuwezesha, kujua ni nini alichopata kutoka sham . bani mwake Ni muhimu kuhakikisha,Zana inayotumika kupanda zao la ufuta. kuwa umefanya maandalizi muhimu Mashine ya kukamua ufuta. kwa ajili ya kuweka ufuta wako katika, Toleo la 16 Januari 2014 0717 266 007 0785 133 005 0785 496036.
Hatua muhimu za Wakulima wanaelimishana, kupitia tovuti ya MkM. kilimo cha migomba Huu ni mwendelezo wa mazun , gumzo ya wasomaji wa tovuti ya. www mkulimambunifu org na njia, nyingine za mawasiliano kwenye. Mimi ni msomaji wa jarida la MkM kuhusu ufugaji wa kuku. Mkulima Mbunifu ninaomba kufa wa kienyeji Habari hii inaonekana. hamu hatua muhimu za kilimo cha kuwavutia wasomaji na wafugaji. migomba Elibariki Mushi Kili ,Neema Mbise,Migomba ni zao muhimu sana chini. Tanzania ambapo hutegemewa na,asilimia 30 50 ya Watanzania kama.
chakula kikuu na kama tunda ,Zifuatazo ni hatua muhimu. kwenye kilimo cha migomba ,Udongo , , Migomba hustawi kwenye udongo kuchangia maoni mawazo na maoni. mzuri wenye rutuba ya kutosha yako juu ya utaalamu au ufahamu. udongo wenye kina kirefu udongo ulionao kuhusu kilimo ufugaji na. tifutifu usiotuhamisha maji udongo mazingira , usiokuwa na tindikali chachu nyingi Mukaruka Dar es Salaam anauliza . Mvua Jamani hamjambo Natafuta mbegu, Migomba hustawi vizuri sehemu ya kuku aina ya KUCHI Wale halisi. zenye mvua nyingi ambayo hufanya nitawapata wapi jamani hebu nisaidieni . udongo kuwa na unyevunyevu kwa,mwaka mzima Mwang oko Milamo anasema .
Brother Mukaruka watu wanasema, Mwinuko na halijoto kuchi halisi wapo mikoa ya Singida. Migomba hupendelea hali joto Maandalizi mazuri ya shamba na utunzaji na Tabora Lakini wasilana na 0768. na uchepechepe Migomba hutoa wa migomba huleta matokeo mazuri . qQx xQ , mavuno mazuri inapopandwa kwenye ipo hapo Dar niliongea nao wakasema. mwinuko wa kati kiasi cha mita 1800 wana kuchi ,kutoka usawa wa bahari Ni muhimu. unapochagua eneo kwa ajili ya kilimo Willibroad Justine anauliza Jamani . cha migomba uhakikishe kuwa hivi kuna dawa ya kuzuia kuku kudono . sehemu hiyo haina upepo mkali na ana , huwa haina tabia ya kunyesha mvua Mwang oko Milamo anasema Wil . za mawe Hii ni kwa sababu upepo libroad ndio 1 weka viota vingi. mkali na mvua ya mawe huharibu sehemu zilizo jificha hii hupunguza. majani ya migomba kudonoana wanapotaga mayai 2 , Angalia mchanganyo wako kama.
Utayarishaji wa shamba ulikua unawapa damu punguza. , taratibu usiache ghafla kuitumia 3 , wape majani mbogamboga muda. , wa mchana , ,kuchimba mashimo Abuu anauliza Nimevutiwa sana na. , , mada hii ya ufugaji wa kuku naomba, sha kuwa unajenga makingo kuzuia kuuliza hivi kama huna chochote na ndo. mmomonyoko unataka kuanza mradi huu wa ufugaji, unapaswa uwe na kama kiasi gani cha. Mashimo fedha ,Migomba hustawi vizuri endapo, mkulima atachimba mashimo Matunzo ya migomba toka ikiwa midogo Chasha anasema Hakuna kiwango.
makubwa Maalumu cha mtaji unaweza anza, husababisha uzalishaji mzuri. , hata na kuku wawili na mwisho wa, siku ukaja kujikuta una kuku 10 000 . migomba kutumia virutubisho ipas kikubwa ni uvumilivu na ubunifu. Kupanda avyo na kuruhusu migomba kukua wako tu , Ni muhimu kutumia mbolea ya vizuri na hatimaye kuwa na uzalishaji Mwang oko milamo anasema Abuu. mboji au samadi wakati wa kupanda mzuri kiasi cha fedha kinatokana na wewe. na hakikisha kuwa unachagua Kwa maelezo ya kina kuhusiana na kilimo unataka uwe na kuku wangapi ila. machipukizi yenye afya cha migomba unaweza kusoma toleo namba unaweza kuanza na kuku mmoja tetea. tisa la jarida hili la Mkulima Mbunifu lili na kufikia kiwango unachotaka Bei za. Palizi chapishwa Novemba 2012 Pia unaweza kuku nadhani zinafanana hivyo jaribu. Ni muhimu kuhakikisha kuwa shamba, kuwasiliana na Bw Suleiman Mpingama kutafuta soko kwa hapo Singida mjini. lako ni safi wakati wote Hii itasaidia, kwa simu namba 255 765 428 877 itakua na faida zaidi .


Related Books

A BRIEF OVERVIEW OF SIGNAL RECONSTRUCTION VIA SAMPLED-DATA

A BRIEF OVERVIEW OF SIGNAL RECONSTRUCTION VIA SAMPLED DATA

Digitization of analog information such as voice, images, and video is a ubiquitous feature of modern communications and information technology. Therefore, reconstruction of the original analog signal from its digital version is a problem of great interest and importance. These recon-

Sampling and Quantization - Princeton University

Sampling and Quantization Princeton University

Chapter 5 Sampling and Quantization Often the domain and the range of an original signal x(t) are modeled as contin- uous. That is, the time (or spatial) coordinate t is allowed to take on arbitrary real values (perhaps over some interval) and the value x(t) of the signal itself is allowed to take on arbitrary real values (again perhaps within some interval).

C8051F93x-C8051F92x

C8051F93x C8051F92x

C8051F93x-C8051F92x

HVAC Pocket Programming Guide - Honeywell

HVAC Pocket Programming Guide Honeywell

HVAC Pocket Programming Guide This guide provides a single reference document for the user of NXL HVAC (product codes starting with HVAC) and NXS (product codes starting with NXS) inverters, when using Basic Speed Control and PID Control in HVAC applications. Contents Introduction 03 NXL HVAC Inverter Connections 04

GREEN BUILDING HVAC Resource Guide - Trane

GREEN BUILDING HVAC Resource Guide Trane

This pocket guide is intended to provide quick reference on various HVAC design practices and technologies so that building profession-als can make sound decisions in meeting or exceeding the technical requirements of a green building. Green options are provided along with the corresponding criteria and bene? ts. References for further

FINAL PROJECT REPORT - gov.uk

FINAL PROJECT REPORT gov uk

revolution, the penetration of the open source software movement in the developing world has seeded innovation that is adding to the sense of possibilities for the least advantaged. Open source information crowdsourcing platforms, like Ushahidi, and open mapping and data initiatives, like

Attributes of ductile reinforcing steel

Attributes of ductile reinforcing steel

The international standard for reinforcing bar specification is ISO 6935. It has been adopted by the na-

COMPULSORY ETHIOPIAN STANDARDS

COMPULSORY ETHIOPIAN STANDARDS

1 Compulsory Ethiopian Standards 2015 How to use the catalogue . The main section of this catalogue is the list of Ethiopian compulsory standards classified

PROPRIETARY TO CARRIER CORPORATION A ND SHALL NOT BE USED ...

PROPRIETARY TO CARRIER CORPORATION A ND SHALL NOT BE USED

cross reference index description installation drawing no. kit no. led light bar installation instructions 98-03246 76-02000-00 notes: 1.0 complete installation includes and is not limited to: 1.1 unit installation 1.2 battery installation, including drain hose 1.3 completion of pre-delivery inspection (pdi) per model 1.3.1 unit prep and ...

.NET Tutorial for Beginners - Mentorum

 NET Tutorial for Beginners Mentorum

use Professional edition to build Internet and Develop applications quickly and create solutions that span any device and integrate with any platform. Visual Studio .NET Enterprise Developer (VSED) edition contains all the features of Professional edition plus has additional capabilities for enterprise development. The features include things ...