Huduma Za Kisheria Zinazohusiana Na Vvu-Books Pdf

HUDUMA ZA KISHERIA ZINAZOHUSIANA NA VVU
26 Mar 2020 | 37 views | 0 downloads | 44 Pages | 1.64 MB

Share Pdf : Huduma Za Kisheria Zinazohusiana Na Vvu

Download and Preview : Huduma Za Kisheria Zinazohusiana Na Vvu

Report CopyRight/DMCA Form For : Huduma Za Kisheria Zinazohusiana Na VvuTranscription

Mwongozo huu wa kisheria umetolewa chini ya mradi wa IDLO UNAIDS wa Kujenga mbinu za kudumu. za kupunguza ubaguzi na upatikanaji wa haki kwa watu wanaoishi na VVU na wale wote walioathirika. IDLO na UNAIDS wanatambua Mfuko wa Dharura wa Rais wa Nafuu ya Ukimwi PEPFAR wa Marekani. kwa msaada wa kifedha wa uandikaji wa chapisho hili. Mwongozo huu wa kisheria ulifanyiwa utafiti na kuandikwa na Belice Odamna David Patterson Romualdo. Mavedzenge Quinten Lataire na Marie Engel walitoa maoni muhimu juu ya rasimu Mwongozo huu. ulipitiwa kwa ufasaha na Miraji Mambo Afisa wa Kisheria Tume ya Ukimwi Tanzania TACAIDS Fredrick. Macha National Programme Officer UNAIDS Daniel Naftal Lema Mwanasheria wa Mahakama Kuu. Tanzania Asina Omari Mwenyekiti Kamati ya Misaada ya Kisheria na Mhadhiri Shule ya Sheria Chuo. Kikuu cha Dar es Salaam na Maurice Oduor Mwanasheria wa Mahakama Kuu ya Kenya na Mhadhiri. Shule ya Sheria Chuo Kikuu cha Moi Uhariri wa kiufundi ulifanywa na Hilary Cadman Huduma za Uhariri. wa Cadman Australia, Kimeandaliwa Na, Tarehe ya chapisho April 2018 Hati miliki 2018 Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Sheria IDLO. Haki zote zimehifadhiwa, Maoni yaliyotolewa katika chapisho hili ni maoni ya waandishi na hayakulazimika kufuata maoni au sera. za IDLO au Wanachama wake Kitabu hiki kina haki miliki lakini kinaweza kuzalishwa kwa njia yoyote bila. malipo kwa madhumuni ya elimu ikiwa ni chanzo cha habari na kimetambulika Ruhusa rasmi inahitajika. kwa matumizi yote hayo Kwa kuiga kwa namna yoyote ile au kuzalisha machapisho mengine ni lazima. kupata kwanza ruhusa kutoka kwa mmiliki wa haki miliki na gharama inaweza kuombwa Maombi ya. uzalishaji wa kibiashara yanapaswa kuelekezwa kwa IDLO. Maelezo ya Utangulizi 5, Tafsiri ya Maneno 6, SEHEMU YA 1 UELEWA WA TATIZO 7. 1 2 Epidemiolojia ya VVU nchini Tanzania 8, SEHEMU YA PILI VVU HAKI ZA BINADAMU NA SHERIA 10. 2 1 Kujua kuelewa sheria kama inahusiana na VVU katika Jamhuri ya Muungano. wa Tanzania 12, 2 1 1 Sheria za kimataifa na za kikanda 12.
2 2 Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 15. 2 3 Sheria ya Kuzuia na Kudhibiti VVU na UKIMWI 2008 17. 2 3 1 kibali cha habari 18, 2 3 2 faragha na siri 18. 2 4 Sheria ya makosa ya jinai inavyohusika na VVU katika Jamhuri ya Muungano. wa Tanzania 20, 2 4 1 Kanuni ya adhabu sura ya 16 2002 21. 2 4 2 Sheria ya kupambana na kuzuia uingizaji usafirishaji na utumiaji wa. madawa ya kulevya sura ya 95 22, 2 5 Sheria ya ajira na VVU 22. 2 6 Ardhi mali na urithi katika mazingira ya VVU 23. 2 7 Watu wenye hatari VVU na sheria 23, 2 7 1 Wahamiaji haramu na VVU 24. 2 7 2 Wafungwa na watu wengine walio katika vituo vya marekebisho na VVU 24. 2 7 3 Wasichana vijana na wanawake na VVU 24, 2 7 4 Watu wenye ulemavu na VVU 25.
SEHEMU YA TATU MAADILI NA UTOAJI WA MSAADA WA SHERIA 26. 3 1 Mfano wa masuala ya Kisheria yanayohusiana na VVU 27. 3 2 Huduma za kisheria zinazohusiana na VVU 27, 3 2 1 Huduma Nyingine za Kimkakati Zinazoweza tolewa na Kliniki ya Sheria 28. 3 3 Wajibu wa kisheria na Kimaadili katika utoaji wa huduma za kisheria 28. 3 3 1 Kanuni za utoaji wa huduma za kisheria zinazohusiana na VVU 28. KIAMBATANISHO 30, Sampuli ya Mkataba wa usiri 31, Fomu ya maelezo ya mteja 32. MAREJEO 35, Watu wanaoishi na VVU na watu wengine walio katika mazingira hatarishi ya kupata VVU wanakabiliwa. na changamoto nyingi za kijamii na kisheria Hivyo ni muhimu kwa wanasheria na wasomi wa sheria. kushiriki kikamilifu katika shughuli za mwitikio wa kitaifa wa kupambana na maambukizi ya VVU. Lengo la kitabu hiki ni kuwasaidia wahadhiri wa fani ya sheria mameneja wa kliniki za msaada wa kisheria. na wanafunzi wa sheria nchini Tanzania kushiriki kikamilifu katika programu za mwitikio wa kitaifa juu ya. UKIMWI Mwitikio wa kitaifa unajumuisha kutoa ushauri wa kisheria unaohusiana na VVU kuendesha. mashauri yanayohusiana na uvunjifu wa haki za watu wenye VVU katika vyombo vya utoaji haki kufanya. tafiti zinazohusiana na masuala ya sheria haki za bianadamu na VVU na kuishauri serikali kuhusiana. na uundwaji wa sheria zinazosimamia VVU pamoja na utekelezaji wa sheria zenyewe. Kitabu hiki kinaainisha changamoto zilizopo katika kutoa huduma za msaada wa kisheria kwa watu. waishio na VVU na makundi ya watu walio katika hatari ya maambukizi ya VVU Kinasisitiza masuala ya. kisheria na sera ambayo wanasheria wakufunzi wa sheria mameneja wa kliniki za msaada wa kisheria. na wanafunzi wanaweza kukabiliana nazo wakati wa kuchangia utaalamu wao wa kisheria katika jitihada. za kutoa huduma kwenye muitikio wa kiataifa wa kupambana na VVU Kitabu hiki pia ni nyenzo muhimu. ambayo wanajamii wanaweza kuitumia ili kuwa viongozi mahiri katika masuala ya utoaji wa huduma za. msaada wa kisheria katika kuendesha mashauri ya kisheria pamoja na marekebisho ya kisheria na sera. ili kuendeleza matokeo bora ya mwitikio wa kitaifa wa kupambana na VVU nchini Tanzania. Maelezo ya Utangulizi, Vyuo vikuu vinapaswa kuongoza washirika wengine katika suala la muitikio wa kitaifa kupamabana na. maambukizi ya VVU na UKIMWI Katika vyuo vikuu hasa shule ama vitivo vya sheria wakufunzi. jumuiya za kitaaluma na za wanafunzi lazima waelimishwe masuala yahusuyo VVU na UKIMWI na. washiriki kikamilifu katika juhudi hizi Jumuiya za manafunzi mara nyingi hujumuisha idadi kubwa ya. vijana wenye umri mdogo ambao mara wapo kwenye hatari kubwa ya kuambukizwa VVU Kutokana. na kuenea kwa VVU katika nchi yetu kuna uwezekano mkubwa kuwa wapo wakufunzi wanaoishi na. VVU ama wenye jamaa au wanafamilia ambao wanaishi au kuathiriwa na VVU Hivyo basi vyuo vikuu. vinawajibika kujengea wanafunzi uwezo kama wahitimu wa taaluma ya sheria ili kukabiliana na VVU. na pia kutambua na kuunga mkono juhudi za jamii yetu hasa za watu wanaoishi na VVU na athari zake. Kama Mwongozo huu unavyoonyesha sheria ina nafasi kubwa katika suala la mwitikio wa kitaifa juu ya. VVU Vyuo vikuu na hasa shule ama vitivo vya sheria wana wajibu wa kuhakikisha kuwa wakufunzi na. wahitimu wana ujuzi wa kutafiti kufundisha na hata kushauri jamii juu ya masuala ya kisheria yanayohusiana. na VVU Mwongozo huu sio tu unabainisha mambo muhimu kisheria kitaifa bali pia umeyabainisha mambo. hayo katika muktadha wa sheria na sera za kimataifa Hata hivyo mwongozo mmoja hata kama ungekua. na mapana kiasi gani hauwezi kushughulikia masuala yote yenye changamoto kwenye eneo la sheria. na sera za VVU Hivyo basi tunatarajia kuwa mwongozo huu utakua ni chachu ya tafiti nyingine katika. sheria za jinai sheria za familia sheria ya kikatiba na utawala sheria ya kimataifa na haki za binadamu. afya na maeneo mengine ya kisheria yanayohusiana moja kwa moja na janga la VVU na UKIMWI Utafiti. huu utaonyesha tena umuhimu wa sheria katika kukabiliana na changamoto kubwa za kijamii kama za. usawa ukosefu wa haki na ubaguzi Zaidi sana mwongozo huu utakua chachu ya utoaji wa huduma bora. za msaada wa kisheria katika kliniki za misaada ya kisheria Muongozo huu utajenga utajenga utamaduni. makundi yote katika jamii zetu ni muhimu na sehemu ya ulinzi na uendelezaji wa haki za binadamu. Kwa hiyo tunapendekeza muongozo huu kwa wafanyakazi wetu wa kitaaluma wanafunzi wa sheria na. kwa jumuiya nzima ya Chuo Kikuu Kwa hakika muongoz huu ni chombo cha ziada na rasilimali muhimu. katika jitihada za kupambana na VVU na UKIMWI nchini Tanzania. Prof Hamudi Majamba Mr Victorino Kuluchumila, Dean School of Law Dean School of Law.
University of Dar es Salaam Tanzania University of Dodoma Tanzania. Tafsiri ya Maneno, ACHPR Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu. UKIMWI Upungufu wa Kinga Mwilini, ARV Vidonge vya Kuongeza Kinga. HAART Tiba ya kupambana na virusi vya ukimwi, HAPCA Sheria ya Kuzuia na Kupambana na VVU na UKIMWI. VVU Virusi Vya Ukimwi, IDLO Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Sheria. ILO Shirika la Kazi la Kimataifa, KVP Kundi la Watu Maalum.
MSM Wanaume wanaojamiiana na Wanaume, PWID Watu wanaojidunga Sindano za Madawa ya Kulevya. PLHIV Watu wanaoishi na VVU, PMTCT Kuzuia maambukizi toka kwa mama kwenda kwa mtoto. SDG Mpango wa Maendeleo Endelevu, STI Magonjwa ya Zinaa. TACAIDS Tume ya UKIMWI Tanzania, UN Umoja wa Mataifa. UNAIDS Mpango wa Umoja wa Mataifa wa UKIMWI, SEHEMU YA 1.
UELEWA WA TATIZO, 1 1 Je VVU na UKIMWI ni nini, VVU ni virusi ambavyo hushambulia mfumo wa ARV na ambao VVU vimefubazwa kutokana na. kinga ya mwili wa binadamu Kama havikupatiwa matumizi ya dawa za ARV hawana virusi vya VVU. tiba mtu aliyeambukizwa VVU anaweza kupata katika damu yao na hawawezi kuambukiza VVU. UKIMWI ambao ni kundi la maambukizi na kwa kiwango kikubwa cha mpaka asilimia 94 kwa. magonjwa yanayotishia maisha Mgonjwa wa njia ya kujamiiana. kwanza wa UKIMWI alitambuliwa nchini Marekani, mwaka 1981 na kirusi kijulikanacho kama VVU. 1 2 Epidemiolojia ya VVU, kilijulikana mwaka 1985 Kwa sasa VVU vimeenea. duniani kote na huathiri watu wa matabaka yote nchini Tanzania. jinsia mwelekeo wa kijinsia na kabila 1, Kwa mujibu wa ripoti ya UNAIDS mwaka 2016. VVU huambukizwa kwa njia kuu zifuatazo watu milioni 1 4 waliishi na VVU nchini Tanzania. Bara ambao ni karibu ya asilimia 4 7 ya idadi ya, Kujamiana bila kutumia kinga yaani bila watu Kwa hiyo mwaka 2016 pekee watu 55 000.
kutumia kondomu waliambukizwa VVU na watu 33 000 walikufa. Matumizi ya damu kupitia uchangiaji damu kutokana na magonjwa yanayohusiana na UKIMWI. isiyo salama matumizi ya sindano za madawa nchini Mkakati wa Taifa wa VVU na UKIMWI. ya kulevya au kwa kutumia mabomba ya Tanzania Third National Multi Sectorial Strategic. sindano yaliyotumiwa na waathirika uwekewaji Framework for HIV and AIDS 2013 14 2017 18. damu au uzembe katika huduma za afya ulitoa picha kamili ya VVU katika Jamhuri ya. Maambukizi ya wima yaani kutoka kwa mama Muungano wa Tanzania. kwenda kwa kiumbe kilicho tumboni mwa, mama mtoto kabla au wakati wa kuzaliwa na Viashiria kadhaa vya kitabia kijamii kiutamaduni. kunyonyesha kwa mama aliye na maambukizi na kitabibu huchangia katika kusababisha janga. hili 6 p 14, VVU inaweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja. hadi mwingine kwa njia mbalimbali ya vimiminika Sababu za kitabia. mwilini damu shahawa ikiwa ni pamoja na Mahusiano mbalimbali ya kingono bila. majimaji yatokayo kabla ya kufika kileleni majimaji kutumia kinga. ya uke majimaji ya haja kubwa na kunyonyesha Uhusiano wa kijinsia ngono wa kizazi kimoja. maziwa Mtu hawezi kuambukizwa VVU kwa njia za au tofauti. kawaida za kugusana au mawasiliano ya kawaida Ngono katika umri mdogo. ya kijamii k m kushikana mikono au kuchangia Biashara ya ngono. vyakula au vinywaji kwa hiyo hakuna uwezekano Unywaji pombe. au hatari ya kuambukizwa VVU kwa wanafunzi wa Viwango vya chini vya matumizi ya kondom. chuo kikuu au wafanyakazi katika kutoa ushauri na na utumiaji mbovu wa kondom. huduma za kisheria kwa watu wanaoishi na VVU Ngono kinyume na maumbile na zisizo na. Tiba dhidi ya virusi vya ukimwi ARV HART, ambayo inahusisha mchanganyiko wa madawa Sababu za kijamii kitamaduni. matatu tofauti ya ARV huzuia VVU kuzalishwa na Unyanyapaa na ubaguzi. huruhusu mfumo wa kinga kuzuia au kurejesha Athari zitokanazo na Uhamiaji. nguvu na kumfanya mtu awe na afya Ingawa kutokuwa na usawa wa kijinsia. HAART haiui au kukomesha VVU sasa inakubalika Ukosefu wa usawa na umaskini. kuwa watu waishio na virusi vya ukimwi wanaotumia, Miongozo ya usimamizi wa kliniki ya VVU ikiwa ni pamoja na. mapendekezo kuhusu matibabu ya ARV Miongozo hiyo pia inatoa. mapendekezo kwa makundi maalum k m watoto wachanga na watoto. wanawake wajawazito au wanaume wanaojamiiana na wanaume na. mazingira maalum k m mipangilio mindogo ya rasilimali kwa mfano. WHO imetoa miongozo juu ya lini wataaanza tiba ya kupambana na. VVU na kuzuia maambukizi ya VVU kabla ya kujifungua 2. Sababu za Kitabibu, Viwango vya chini vya tohara kwa wanaume.
kutokuwa na huduma bora sahihi na salama, katika uchangiaji wa damu. matumizi ya sindano zisizo salama katika, huduma za afya. Kuenea kwa magonjwa ya zinaa, Maambukizi ya VVU kutoka kwa mama. kwenda kwa mtoto, Viwango vya juu vya kutokuwa wawazi. yaani mpenzi mmoja ana VVU na mwingine, Kiwango cha chini cha uelewa juu ya.
serostatus ya VVU, SEHEMU YA PILI, VVU HAKI ZA BINADAMU NA SHERIA. Umoja wa mataifa UN una malengo makuu Huduma za VVU na afya zinazozingatia hali. endelevu ya maendeleo SDGs 17 yenye za watu na kuunganishwa katika mazingira ya. malengo 169 na nchi wanachama 191 wa mifumo yenye nguvu ya afya k m mipango ya. umoja wa mataifa UN wamekubaliana kufikia utoaji wa afya duniani kote inayozingatia VVU. malengo hayo mwaka 2030 Lengo la 3 juu ya, masuala ya afya na linalenga maisha yenye afya. na kukuza ustawi kwa wote katika kipindi chote Katika mkakati wake UNAIDS imesisitiza zaidi kwa. Lengo dogo la 3 katika lengo kuu la 3 linalenga kusema kwamba sheria za adhabu sera na taratibu. kumaliza maambukizi ya UKIMWI kifua kikuu TB zetu vimeendelea kukiuka haki za binadamu na. malaria na magonjwa ya kitropiki na kupambana kudumisha mtazamo ambao huacha idadi ya watu. na ugonjwa wa ini magonjwa yatokanayo na maji bila kupata huduma za VVU Ubaguzi unaohusiana. na magonjwa mengine ya kuambukiza Kumaliza na VVU mara kwa mara huingiliana na aina. UKIMWI mwaka 2030 kutafanikiwa tu kama nyingine za ubaguzi kutokana na jinsia mwelekeo. malengo madogo yatafikiwa kufikia mwaka 2020 na utambulisho wa jinsia utaifa ulemavu matumizi. Katika hali hii mpango wa Pamoja wa Umoja wa ya madawa ya kulevya hadhi ya uhamiaji b. Kama Mwongozo huu unavyoonyesha sheria ina nafasi kubwa katika suala la mwitikio wa kitaifa juu ya VVU Vyuo vikuu na hasa shule ama vitivo vya sheria wana wajibu wa kuhakikisha kuwa wakufunzi na wahitimu wana ujuzi wa kutafiti kufundisha na hata kushauri jamii juu ya masuala ya kisheria yanayohusiana na VVU Mwongozo huu sio tu unabainisha

Related Books

Operating Instructions Cyfrowe pl

Operating Instructions Cyfrowe pl

Operating Instructions Digital Camera Model No DMC FX33 VQT1J82 Before connecting operating or adjusting this product please read the instructions completely For USA assistance please call 1 800 272 7033 or send e mail to digitalstillcam us panasonic com For Canadian assistance please call 1 800 99 LUMIX 1 800 995 8649 or send e mail to lumixconcierge ca panasonic com P PC DMC

Operating Instructions First acquire pictures to PC

Operating Instructions First acquire pictures to PC

covered in these operating instructions may differ from actual ones depending on the operating environment of your PC Please be aware of this beforehand zNo information is provided about basic PC operations and terms Please refer to the relevant PC manual zThe contents of these operating instructions may be subjected to changes without prior notice zReproduction of these operating

DMC FX33 Panasonic USA

DMC FX33 Panasonic USA

Model No DMC FX33 VQT1K01 Before use please read these instructions completely GN Before Use 2 VQT1J01 Before UseDear Customer We would like to take this opportunity to thank you for purchasing this Panasonic Digital Camera Please read these Operating Instructions carefully and keep them handy for future reference Information for Your Safety Carefully observe copyright laws Recording

Guide to the Sverre O Braathen Circus Photo Collection

Guide to the Sverre O Braathen Circus Photo Collection

Guide to the Sverre O Braathen Circus Photo Collection 1850 1983 Location Special Collections amp Rare Books Room at Illinois State University Accession ID 46 SC 2015 08 Creator Braathen Sverre O 1895 1974 Extent 32 boxes 4090 photographs Abstract Photographs of circuses performers crews animals wagons and other materials by a variety of creators compiled by Braathen

Rare Books and Manuscripts Library

Rare Books and Manuscripts Library

Books and Manuscripts Library RBMS acquired two outstanding research collections I do note that Library administration has always strongly supported RBMS as you will observe by mention of other significant acquisitions in this current Newsletter But the two collections described forthwith are of especial recognition The Ohio State University Libraries OSUL and the Columbus Museum of

Some Assorted Books on books graphiC design type and

Some Assorted Books on books graphiC design type and

Some Assorted Books on books graphiC design type and other Subjects For Sale at 18k books books at 18k books by appointment Jamaica Plain Massachusetts 02130 ring 617 522 4236 during waking hours always open ping books interrobangletterpress com catalog v 1 september 2016 an array of books on books graphiC design type amp typography and other interesting subjeCts All descriptive

Cotropia Christopher 1 7 2013 For Educational Use Only

Cotropia Christopher 1 7 2013 For Educational Use Only

Cotropia Christopher 1 7 2013 For Educational Use Only Universal City Studios Inc v Reimerdes 111 F Supp 2d 294 2000 2000 Copr L Dec P 28 122 2001 Copr L Dec

TEXARKANA AR BFA FUTURITY Location Four States

TEXARKANA AR BFA FUTURITY Location Four States

Wooten Lori HeavensLilPistolFire 777 TOTAL ENTRIES 42 Generated by Barrel Jackpot Software on February 26 2018 Page 1 Alphabetical Draw List TEXARKANA AR FUTURE Location Four States Fairgrounds Texarkana Show Date March 2 2018 Producer Lucky Dog Productions Contestant Horse No Contestant Horse No Barnes James Money On The Six C O Brooks Craig Wood Bea French Girl C O

Journal of Management http jom sagepub com content 34 3 325

Journal of Management http jom sagepub com content 34 3 325

Kevin G Corley Department of Management W P Carey School of Business Arizona State University Tempe AZ 85287 4006 The literature on identification in organizations is surprisingly diverse and large This article reviews the literature in terms of four fundamental questions First under What is identification it outlines a continuum from narrow to broad formulations and

LIBER AL vel LEGIS sub Figur CCXX Erreur 42 Le cin ma

LIBER AL vel LEGIS sub Figur CCXX Erreur 42 Le cin ma

LIBER AL vel LEGIS sub Figur CCXX as delivered by XCIII 418 to DCLXVI Aleister Crowley A A Publication en Classe A Liber CCXX Le Livre de la Loi